Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,699
- 126,539
Daaah ukweli mchungu, siku hizi ukiona mdada wa 30+ plus anaolewa ni mdada mdada kweli sio Mwajuma wa vichochoroni huko ChanikaMke wa sugu kaolewa mara mbili na zote na wadau.
Maana yake ana cha ziada maana wengine hata mara 1 hawaipati