Sasa mpaka unamuoa si maana yake kwako ni wa level ya juu??Status ya mke kihuduma imegawanyika kwa levels
Kuna levels za high class,middle class, na low class
So itategemea ww uko kundi gan kati ya hayo matatu
Usitegemee hata siku moja eti upewe hadhi ya high class wakati we mwenyewe low class
Mbona pisi ya kawaida sana!? Ukiacha hizo filters demu hajafika level za kukodiwa jet.Huyu mwanamke mwenzetu ndio amejua kuolewa na kuifaidi ndoa..yani mume anajua kabisa mkewe Anafanya booking ya ndege ya kawaida halafu aka mute tu ..mda wa safari anamwambia hapana uende na private jet...! Yani kupeti peti kama koteee na kumjali kama kote.
Sasa wanaume wetu hawa akina fundi juma ukiomba hata hela ya boda au ya kutolea unaitwa gold digger au mdangaji. Ngoja tubaki kuwa ndugu watazamaji.
Sisi tukifika mbinguni tutakuwa tumechoka sana asee
Nyie kaka na baba zetu jifunzeni kwa mwanaume mwenzenu mume wa Regina Daniels.View attachment 2123470
Weupe, tabia, kujituma kwake, heshima kwa mume lazima aneemeke[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio weupe umembeba kwelii
Huyu mwanamke mwenzetu ndio amejua kuolewa na kuifaidi ndoa..yani mume anajua kabisa mkewe Anafanya booking ya ndege ya kawaida halafu aka mute tu ..mda wa safari anamwambia hapana uende na private jet...! Yani kupeti peti kama koteee na kumjali kama kote.
Sasa wanaume wetu hawa akina fundi juma ukiomba hata hela ya boda au ya kutolea unaitwa gold digger au mdangaji. Ngoja tubaki kuwa ndugu watazamaji.
Sisi tukifika mbinguni tutakuwa tumechoka sana asee
Nyie kaka na baba zetu jifunzeni kwa mwanaume mwenzenu mume wa Regina Daniels.View attachment 2123470
Atavhakaa vipi wakati anapamada private jet wewe🤣🤣🤣Hahahah kwani anayeolewa hachakai?
BabaaaakeWewe kigezo chako ni chura peke yake au na madili kama huyu?
Kwanza yeye alifanya booking ya ndege na kulipia kwa hela yake. Gharama aliyoimudu sasa nyie wenzetu hamna dili yoyote unataka kila kitu mwanaume akufanyie matokeo yake mume akifa, mke anaishia kuwa omba omba na mdangaji, familia inayumba.
Dada zetu, dunia ya leo mkiwekeza kwenye makalio ya kichina mtachakatwa ngozi sana na bado hutoki kimaisha.
Pambana na wewe uwe na private jet kama ni rahisi.Baba yako alishindwa unataka mtoto wa mwenzako umupatie shida 😂😂,wewe utapanda boda boda ya buku jero tu.Huyu mwanamke mwenzetu ndio amejua kuolewa na kuifaidi ndoa, yani mume anajua kabisa mkewe Anafanya booking ya ndege ya kawaida halafu aka mute tu muda wa safari anamwambia hapana uende na private jet!
Yani kupeti peti kama koteee na kumjali kama kote.
Sasa wanaume wetu hawa akina fundi juma ukiomba hata hela ya boda au ya kutolea unaitwa gold digger au mdangaji. Ngoja tubaki kuwa ndugu watazamaji.
Sisi tukifika mbinguni tutakuwa tumechoka sana asee nyie kaka na baba zetu jifunzeni kwa mwanaume mwenzenu mume wa Regina Daniels.
View attachment 2123470
Hakuna mtu asiye na pesa.We sema pesa huna ila usikimbie mada ya msingi
Babaaaake
Umemchana
Je kama binafsi ninaweza kujikatia kiketi ya ndege kwenda dar, (na nilishafanyaga hivyo huu ndo ukweli) lakini siku nyingine nikataka nitoe nusu na mwanaume huyo ninaemfata atoe nusu hiyo imekaaje?Sifa ya kuwa mwanamke expensive unayestahili treats ni lazima uwe unaweza ku clear bills zako bila kusumbua hilo la kwanza.
Then baada ya hapo tutaendelea ku retain value yako bila pressure 😅 you don’t have to mention it. We on service 24/7 lazma ule apple tu.
Akina mwajuma ndala ndefu kuja on date tu lazma utangulize elf 50 ya nauli. Humo akabandike kucha na kusuka ndio aje kwako. Humo hamna kitu lazma tukereke tu😅