Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,258
- 125,023
Ni kweli weupe umemuongezea nuru ila hata angekuwa mweusi bado angekuwa pisi kali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio weupe umembeba kwelii
Ni kweli weupe umemuongezea nuru ila hata angekuwa mweusi bado angekuwa pisi kali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio weupe umembeba kwelii
Nini na wewe unatafuta kulala sebuleni?[emoji8]
😂😂😂😂😂😂😂 huu usawa utaupata peponi tu! Duniani ni vita tu mpaka tuumalize mwendo. Yani unalazimisha kabisa na shepu yako ya gunia😅Ukishashakubali kunioa maana yake ni kwamba nimekuridhisha, hupaswi kunipa mapenzi nusu eti kwa sababu sifanani na Klyn. Nina haki ya kupewa treatment anazopewa mwanamke mwingine yeyote hata kama nikiwa Asha Boko as long as una uwezo wa kufanya hivyo
Ukiweza fanya hilo kwa usahihi you are just a few yards to a man of your life. Wanawake wengi they are gold digging halafu wanajishangaa mbona inakuwa ngumu wao kuolewa.Hapa umenipa somo
Wadada upgrade value zenu 😂😂😂😂
Acha mambo yako[emoji1787][emoji1787] shepu ya gunia unafanya nayo nini ndani, si ndio umeipenda hiyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu usawa utaupata peponi tu! Duniani ni vita tu mpaka tuumalize mwendo. Yani unalazimisha kabisa na shepu yako ya gunia[emoji28]
Utashangazwa sana na mchepuko wa mumeo[emoji1787]
Hapa umenipa somo
Wadada upgrade value zenu 😂😂😂😂
Hujajibu swalii.... naona umepanik tuWee private jet upate wapi bwana...ungekuwa mzuri saa hizi wenye hela would have been wining and dinning u. Sasa unachapa marimba na sie wakina mzabzab waendesha bodaboda usiku huu wote
😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅 sijaipenda wala sema tu appetite yako ndio kiboko! Hamna menu inakatiza free lazma ubugie tuAcha mambo yako[emoji1787][emoji1787] shepu ya gunia unafanya nayo nini ndani, si ndio umeipenda hiyo?
😅😅😅😅😅😅😅 utu na utulivu umembebaHujajibu swalii.... naona umepanik tu
Nimeuliza rangi km zile za wanyaki haziwezi panda private jet?
Mke wa sugu si unamuona?? Ile sura na mali anazomiliki sasa chini ya sugu vinaendana?? Saa ingine ni bahati tu ya mtu
Hujajibu swalii.... naona umepanik tu
Nimeuliza rangi km zile za wanyaki haziwezi panda private jet?
Mke wa sugu si unamuona?? Ile sura na mali anazomiliki sasa chini ya sugu vinaendana?? Saa ingine ni bahati tu ya mtu
Hiyo ndio ilikuwa point yangu...Ukishashakubali kunioa maana yake ni kwamba nimekuridhisha, hupaswi kunipa mapenzi nusu eti kwa sababu sifanani na Klyn. Nina haki ya kupewa treatment anazopewa mwanamke mwingine yeyote hata kama nikiwa Asha Boko as long as una uwezo wa kufanya hivyo
He...!!?? Na ujanja wotee kumbe hili somo halikuwepo kwenye boga lakoHapa umenipa somo
Wadada upgrade value zenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi kesho ukirudi toka safari uje umeandika talaka kabisa fisi maji wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28] sijaipenda wala sema tu appetite yako ndio kiboko! Hamna menu inakatiza free lazma ubugie tu
😅😅😅😅😅 tutavumiliana tu kwa shida na raha😂 sindio maandiko yalivyosema.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi kesho ukirudi toka safari uje umeandika talaka kabisa fisi maji wewe
Nina ujanja gani mkuu ...me faller tuHe...!!?? Na ujanja wotee kumbe hili somo halikuwepo kwenye boga lako
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Daaah ukweli mchungu, siku hizi ukiona mdada wa 30+ plus anaolewa ni mdada mdada kweli sio Mwajuma wa vichochoroni huko ChanikaMke wa sugu kaolewa mara mbili na zote na wadau.
Maana yake ana cha ziada maana wengine hata mara 1 hawaipati
Whereby:😃😃 nacheka kama mjinga....eti utu na utulivu
Haki ya nani
Daaah ukweli mchungu, siku hizi ukiona mdada wa 30+ plus anaolewa ni mdada mdada kweli sio Mwajuma wa vichochoroni huko ChanikaMke wa sugu kaolewa mara mbili na zote na wadau.
Maana yake ana cha ziada maana wengine hata mara 1 hawaipati