Huyu Rais kageuka lini jamani!?

Huyu Rais kageuka lini jamani!?

Nilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale heslb sio watanzania!?[/QUOTE

Kufanya Kampeni ni jambo lingine na Kuanza kutawala nalo ni jambo tofauti kabisa.
Mtu akiwa nje ya utawala/Urais huona akishika YEYE ANAWEZA kurekebisha kila kitu. Hiyo ni hulka ya binadamu wote.

Mfano mzuri ni wakati timu za mpira zinacheza uwanjani. WATAZAMAJI huona makosa mengi sana na hata kulaumu wachezaji. Na kusema
"Ule mpira angepiga hivi goli lingeingia"
Nini ninasema hapa?
Si makosa yake Magufuli bali aliyokuwa anayatarajia kuyafanya na kuyapata SI YALE ALIYO YAKUTA Ikulu.

Ikulu ni gemu ingine kabisa na kampeni ni gemu tofauti kabisa. Anaingia anauliza
"Pesa iko wapi kwa ajili ya mradi ABCD?" Anaambiwa
"Mh.Rais pesa haitoshi"Hapo Ndo mwanzo wa kuahirisha mipango mingine na kuipa kipaumbele mengine. Ni STRESS!

Tumpe muda AUZOEE utawala na KUPANGA mambo maana ukweli ni kuwa si UNAFIKI bali utawala si mchezo ni kazi kubwa.
Hata kama mimi na wewe tungepewa leo pengine baada ya miezi kadhaa ungesema "NIMECHOKA" !!
 
Nilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale heslb sio watanzania!?
Tuliposema mtungi ni mpya ila mvinyo ni ule ule hamkutuelewa. Tukaenda mbali zaidi mkaambiwa chague elimu bure mkadanganya na wasanii wa bongo fleva wema,ant ezekiele,rey,chid benz,diamomd et al mkaichagua fisiem.

Sasa huu ni wakati wa kuvuna kwa kile tulichokipanda.
 
Hakuna majitu ya hovyo kama manasiasa ya kiafirika! Kwenye kutafuta kura unaweza kuyaambaia kuvua nguo na yakavua! Inauma sana mtu anasema kwa uchungu kabisa lakini akishapata anawaona wajinga wakutupwa. Na sisi mananchi tulivyo ma.ta.ko tutayapa tena mwaka 2020! Sasa hivi mheshimiwa anafanya kinyume na aliyokuwa anaahidi ngoja nijaribu kumwigiza alivyokuwa anahutubia na makiswahili yake ya kisukuma "Katika selekali yangu hakuna mwanafunzi atakayekosa mkopo, yaani umechaguliwa halafu unaenda chuoni mkopo haupo, huyo mkurugenzi wa mkopo ataugeuka kuwa bwana makopo". Fweza yenyewe ya mkopo halafu bado unamhangaisha mwanafunzi, hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! Leo wiki ya 5 kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza hawajapata fedha yao, wiki hii ya 4 kwa continuing bado wengine hata kusaini hawajasaini hata majina mengine hayajatoka. Huu ni wizi wa mchana kweupe! Tuache dhereu!!
 
Rais Magufuli hakugeuka ila hali ya nchi alipokabidhiwa alikuta hakuna pesa kabisa .
Ninaimani na Rais Magufuli pindi mambo ya kiuchumi yakiwa mazuri tutegemee neema
Msitufanye mafala.kama alikabidhiwa nchi haina pesa hao wanafunzi walikuwa wanapata mikopo pesa zinatoka wapi? Ajira zilikuwa kedekede na watumishi walipandishwa madaraja na kulipwa stahili zao kipindi hicho.
Leo kaingia huyu yote haya yamebaki history .
 
Jana nilikuwa naangalia wananchi gani huko mtwara sijuwi wamevunjiwa nyumba zao wanalazimishwa kuondoka kwa nguvu.
Wanalia huku wamevaa t-shirts na kofia za CCM. Nilicheka mpaka mwanangu akaamka usingizini.
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana. Sasa huyu hapa kaandika sentesi mbili ati naye ni Great Tinker na members wanalaumu tu bila hata kuhoji ni kwa nini mwandikaji au huyo asiyepewa hizo pesa hapewi kwa kigezo gani? Ni umburula tu unaoendelea hapa JF hivi sasa. Kila mahali ni lazima ufuate sheria kama hukupewa jiulize na fuata taratibu. JF inatumika na wapuuzi wachache. Then mnalialia kama kasuku ati hakuna democracy, what type of democracy do you want? Democracy ya kulikumbatia Jambazi Sugu? au serikali kutoa mikopo bila kufuata sheria? What a stupid idea. Wengi wenu mnasukumwa na personal dissatisfaction ya kushindwa maisha na kulikumbatia jambazi Sugu mlilouziwa kwenye gunia na Mbowe.
Unamwita lowassa jambazi sugu wakati ndio alihakikisha CCM inaingia madarakani 2005.?
Huu unafiki huu ndio utakaowamaliza nyie nawaambia.
 
Unamwita lowassa jambazi sugu wakati ndio alihakikisha CCM inaingia madarakani 2005.?
Huu unafiki huu ndio utakaowamaliza nyie nawaambia.

Unafiki upi? That does not make me mnafiki? Yeye Jambazi sugu pamoja na mambo mengine yote alijiuzulu kwa sababu ya kutokuweza kujitetea na uvundo wake, sasa wewe unataka tumsafishe. I mean you lancanshire ndio uliona mwezi ulipofika huko Lancanshire ulikochagua jina na kufikiri unaweza kutisha wengine ooops kutoa maoni yenye busara kumbe ni 0% kwa sababu ya kuchagua jina, I feel sorry for you. Mimi sio mnafiki lakini nafahamu fika uliuziwa Mbuzi kwenye gunia na hukushituka kwa sababu wewe ni moja wao katika chama cha kikabila. Huo ndio unafiki wenyewe, umekuwa mnafiki wa kupitiliza. Utapiga genge hapa lakini hutaambulia kitu kwa sababu tulio wengi ni werevu kuliko nyinyi punguani ambao mnafikiri ubinafsi wenu ndio nyenzo ya kujitajirisha. Imekula kwenu.
 
Jana nilikuwa naangalia wananchi gani huko mtwara sijuwi wamevunjiwa nyumba zao wanalazimishwa kuondoka kwa nguvu.
Wanalia huku wamevaa t-shirts na kofia za CCM. Nilicheka mpaka mwanangu akaamka usingizini.
Really? What a lie! Hizi shule zina tabu sana, yaani hata lugha tu ni tabu then ndio hawa wanasema ooooops wanachema ndio wataitoa hii nchi kwenye umasikini?
 
Nilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale heslb sio watanzania!?

mi ndo hata nilikuwa sisikilizi kampeni zake. Magufuli namjua.

ni tahira pekee ndo atakaeiamini CCM
 
Wakati wa kampeni alikuwa anaomba "kula"/(kura) sasa kama mlimpa kula na sasa ameshiba ni lazima awatolee "upepo" ili mzibe pua zenu.
Waswahili wana msemo wao, Mwenye shibe hamjui mwenye njaa.

Wakati wa kampeni alikuwa anapiga push ups, je baada ya kupata
"kula" umeshawahi kumwona akidondoka na kupiga push ups?

Ukimwamwini mwanasiasa, imekula kwako.
Ukipiga kelele sana, anakuletea kamanda 0 na gari ya maji washawasha.
Sasa hivi hajaribiwi na ukisema ukweli unafungwa bila hata tatizo.
 
Rais Magufuli hakugeuka ila hali ya nchi alipokabidhiwa alikuta hakuna pesa kabisa .
Ninaimani na Rais Magufuli pindi mambo ya kiuchumi yakiwa mazuri tutegemee neema
wajinga kama nyinyi ndo mnaompa kichwa
 
Back
Top Bottom