Huyu Rais kageuka lini jamani!?

Huyu Rais kageuka lini jamani!?

Mungu ibariki Tanzania, wa bariki viongozi wake. Mungu ibariki Afrika na watu wake
 
Naona ameanza kurudi nyuma kwenye teuzi, aliwahi nena mtu akiharibu huku anahamishwa huku,sasa wa kuwateua wameisha ameanza na yeye kuwabasilishia majukumu
Huyu jamaa kashafeli mkuu
 
Rais Magufuli hakugeuka ila hali ya nchi alipokabidhiwa alikuta hakuna pesa kabisa .
Ninaimani na Rais Magufuli pindi mambo ya kiuchumi yakiwa mazuri tutegemee neema
Hakuna kitu kama hicho. Subiri maumivu maana haya ya sasa ni dalili tu.
 
Ccm ni ile ile ndg yangu, utasubili sana mabadiliko chanya ndani ya ccm maana fikra, uwezo wao umegota hawana tena fikra mpya, walichobakia nacho ni uongo, ulaghai, wizi na ufisadi wa Mali za umma
Akili ya ccm ndipo ilipooshia. Hawawezi kufanya kitu kipya kwenye nchi hii
 
Ningekujibu sema ameshasaini lile bomu la kutuangamiza ngoja ni escape
 
Nilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale heslb sio watanzania!?
Ndio kauli yake ipo sahihi kabisa.
Wanafunzi walisumbuliwa ktk mikopo ambao hawastahili wanapata wenye vigezo hawapati.
Na sio hilo tu wanafunzi hewa walikuwa wengi.
Palikuwa hakuna utaratibu.
Au wewe kutokana na kauli hiyo ulitaka wenye sifa na wasio na sifa wapewe? Kauli hii hajaitoa
 
Ndio,Na Nitafia Tanzania!
Kuna Uhusiano Gani Kati ya Komenti Yangu na CCM?
Kwa jinsi ulivyomtetea mwenyekiti wako ni dhahiri kbsa.
Ww na mwenyekiti wako meshasahau kila kitu.
Meshalewa madaraka kbsa, sasa hiv mnapunguza mishahara ya watu. Halafu mnatudanganya hii nchi itakuwa nchi ya viwanda.
UKIWA NA ROHO YA KIMASKINI, UTATAMAN MATAJIRI WOTE WAO MASKINI KM WW
 
Ndio kauli yake ipo sahihi kabisa.
Wanafunzi walisumbuliwa ktk mikopo ambao hawastahili wanapata wenye vigezo hawapati.
Na sio hilo tu wanafunzi hewa walikuwa wengi.
Palikuwa hakuna utaratibu.
Au wewe kutokana na kauli hiyo ulitaka wenye sifa na wasio na sifa wapewe? Kauli hii hajaitoa
MTOTO WAKE ALIPATA MKOPO KWA VIGEZO GANI?
 
Back
Top Bottom