Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Including you! Huko shuleni ulisomea ujinga? What is "Great tinker"?
Hatutaki ushabiki wa kijinga wa kutoka Lumumba. Mada inayojadiliwa hapa ni taarifa from BOT with FACTS&FIGURES, sasa cha ajabu nini hapo? Kama Makusanyo hakuna hiyo hela ya kuwapa Wanachuo vitatoka wapi? Kinachofanyika ni kuchakachua idadi ya Wanufaika wa mikopo kwa visingizio vya wanafunzi hewa, sijui wengine hawastahili na longolongo nyingi tu! Hivi kama mwanafunzi yuko 2nd&3rd year na alikuwa analipiwa miaka yote, why today unasema hastahili? Huu ndiyo umburula! Ulitakiwa uwaulize HESLB kwanini wasitumbuliwe kwa uzembe kuliko kuanza kutetea ujinga! Wacha hiyo wewe!
Unaweza ku-define ushabiki wa kijinga? Nikikwambia wewe una ushabiki wa kijinga utasemaje? Yaani kusema Lumumba ndio kunatuliza roho yako? Makusanyo yapi unayoongelea? Serikali zote ulimwenguni lazima zithibiti ulipaji wa kodi na hili limekuwa ni donda ndugu Tanzania. Watu wakope tu wasirudishe, are you serious? Then mnalalamika Tanzania masikini. Ajabu na kweli. Hao wanafunzi ambao sio hewa si waende na vitambulisho vyao na kama HELSB wakigoma kwa nini wasiwashitaki mahakamani. Yaani mnategemea rais afanye kila kitu wakati mahakama zipo washitakini HESLB. Ndio umburula huo sasa mnalalamika bila kufuata sheria imekula kwenu.