Huyu Rais kageuka lini jamani!?

Nilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale helb sio watanzania!?
mkuu usishangae sana kwani hautambui neno mtu MNAFKI huwa linamaanisha nini

Basi ndo huyo baba kubwa linasadifu kwake
 
Nilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale helb sio watanzania!?

Unaweza Weka Ushaidi Wa Habari Hii?Picha,Video au Link?
 
Nilimskiliza sana wakati wa kampeni huyu bwana alieleza kwa hisia sana eti "sitaki kuona wanafunzi wakisumbuliwa kupata hela,tena hela yenyewe ya mkopo!!?" sitakubali kwenye serikali yangu!. Kwani wale wanaolia pale helb sio watanzania!?
Wenye sifa wote mbona wamepata mkuu
 
Naona ameanza kurudi nyuma kwenye teuzi, aliwahi nena mtu akiharibu huku anahamishwa huku,sasa wa kuwateua wameisha ameanza na yeye kuwabasilishia majukumu
Si Umeona C.I.D Baada ya Kutumbuliwa,Amepewa uRAS Kule Kagera?
 
Rais Magufuli hakugeuka ila hali ya nchi alipokabidhiwa alikuta hakuna pesa kabisa .
Ninaimani na Rais Magufuli pindi mambo ya kiuchumi yakiwa mazuri tutegemee neema
 
Back
Top Bottom