Clouds fm ni station ya kipumbavu I can say that, kuna mtangazaji nimemsikia anawadhihaki vijana wetu eti kama ulivaa joho na mpka leo hujapata kazi basi hilo lilikuwa dela, msilete masihara wakati vijana wetu wako mtaani na hawana ajira, huna ethics za utangazaji mpuuzi sana siyo kauli za kuongea kwenye media.
Mkuu mbona povu jingi sana,kwani hiyo sms wewe hujakumbana nayo kwenye WhatsApp jana?Je kama angesikia kuwa wanasema kuwa baba yake na mama yake walikuwa wakiingia chumbani kwao mchana kucheza mchezo wa kumtafuta yeye angeirusha hewani?
jamani msiseme tu hivyo, fikirieni kuna watu wengi tu wametoka familia duni sana na kujiajili kunahitaji mtaji asikudanganye mtu hata kama una ujuzi kichwani, na nyie mliobahatika aidha wengine kwa nafasi za baba na mama zenu msiwazihaki wenzenu. Niliacha kazi miaka mnne iliyopita na kujiajili kutoka na taaluma yangu najua changamoto za kujiajili,Kwa maana nyingine mtoto wa kiume kama umemaliza chuo na bado unakaa nyumbani bila kazi yeyote ya maana ukiwa unasubiri ajira basi wewe hamnazo.
mama wewe, ni wewe unaandika huku jamiiforums siku hizi ?maana mwandiko wako unaanza kubadilika kidogo kidogo hukuwa hivi.Ukisikia puu ujuwe limempata.
mama wewe, ni wewe unaandika huku jamiiforums siku hizi ?maana mwandiko wako unaanza kubadilika kidogo kidogo hukuwa hivi.
Nikweli si haki kwa chombo cha habari kufanya dhihaka vile. Maadili hakunaClouds fm ni station ya kipumbavu I can say that, kuna mtangazaji nimemsikia anawadhihaki vijana wetu eti kama ulivaa joho na mpka leo hujapata kazi basi hilo lilikuwa dela, msilete masihara wakati vijana wetu wako mtaani na hawana ajira, huna ethics za utangazaji mpuuzi sana siyo kauli za kuongea kwenye media.
Ni bora mara mia ulione joho kwenye Tv halafu uwe na kazi unayotegemea kipaji kama Mzee Majuto kuliko uvae joho alafu huna kazi unalialia unataka uajiriweLakini msiwalaumu watangazaji wa clouds waliowengi shule hawana hata ilo joo hawajawai kulishika. Wanaliona kwenye Tv. Clouds wanaamini kwenye vipaji na si elimu. Wengi ni form four. Wakulaumiwa ni boss wao.
Mkuu mbona povu jingi sana,kwani hiyo sms wewe hujakumbana nayo kwenye WhatsApp jana?
Ukisikia puu ujuwe limempata.
Basi cheicheiHaya na wewe ungekumbana na sms inayosema 'najua wanachofanya baba yake na mama yake youngblood wakiingia chumbani usiku' halafu ungekuwa presenter ungetangaza redioni? Povu jingi kwa vile nimelamba sabuni ya unga kwani kile kitu cha chumvi ya dada ko nilichokula jana usiku full kukereketa ulimini
hahahaha kwakweli ninashangaa hayaThink Big.
Uko sahihi mkuu, tatizo humu watu mihemko mingi.Tofautisha kati ya KEJELI na UKWELI kama aliongea aliyosema mtoa mada basi ile ni Kejeli na sio Ukweli