[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ukisikia puu ujuwe limempata.
Kwa maana nyingine mtoto wa kiume kama umemaliza chuo na bado unakaa nyumbani bila kazi yeyote ya maana ukiwa unasubiri ajira basi wewe hamnazo.Ukweli upi sasa
Inaweza ikawa ndo Mara yako ya kwanza kuusikia huu msemo...Clouds fm ni station ya kipumbavu I can say that, kuna mtangazaji nimemsikia anawadhihaki vijana wetu eti kama ulivaa joho na mpka leo hujapata kazi basi hilo lilikuwa dela, msilete masihara wakati vijana wetu wako mtaani na hawana ajira, huna ethics za utangazaji mpuuzi sana siyo kauli za kuongea kwenye media.
We bibi matusi rejaleja hayo.Ukisikia puu ujuwe limempata.
Hata mimi sijapenda tabia zao pia Kile kituo wajinga wengi sana wamepubanzwa na Jongo Papai Mkaa. Kuna kipindi tuliwapiga marufuku kufika UDSM kwasababu ya ujinga Wao. Mbwaaaa hao.Clouds fm ni station ya kipumbavu I can say that, kuna mtangazaji nimemsikia anawadhihaki vijana wetu eti kama ulivaa joho na mpka leo hujapata kazi basi hilo lilikuwa dela, msilete masihara wakati vijana wetu wako mtaani na hawana ajira, huna ethics za utangazaji mpuuzi sana siyo kauli za kuongea kwenye media.
Kama ulimaanisha kwamba mtangazaji amekutukana siyo kweli.We mkurupukaji kweli unajua nachomanisha au umekula kiporo cha makande
Ukweli upi sasa
Hapo hakuna tusi zaidi ya ukweli.Ko tusi mpka utukanwe wewe, akitukanwa mwengine siyo tusi.
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]