Ntaluke.N.
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,340
- 552
Muda mwingine anangangania kucheza nyuma ya goli akiamini yeye ni mchezaji namba 12.
Kiukweli haeleweki huyu djemba djemba wa man u.
Hayo mambo ya kichuya, Pogba hana kiwango hicho..POGBA anataka kupiga kona na afunge yeye
Vardy hahahahahaHayo mambo ya kichuya, Pogba hana kiwango hicho..
Japo nasikia alienda kwa "Vardy" yule tolu wa ile timu ndogo iliyopanda daraja kwa kasi na kubeba "ndoo" hapo jirani kuchukua maujuzi, sasa sijui kama anatumia mbinu alizopewa ipasavyo? Au kwa kuwa timu yetu ya manyuu ni kongwe sana ukilinganisha na ile reisista ya Vardy, inataka maujuzi mapya na sio C&p? maana kule Vardy nasikia anaheshimiwa wakati Pogba anazomewa
Pogbaaaa!!!
,......Man ya POGBA haiwezi kushuka daraja kwa sababu zifuatazo:-
1.huyu mchezaji amezuia timu washindani wasifanye mazoezi hadi 2020 ila MAN U wanaendelea na mazoezi
2.man u hulazimisha refa achezeshe wanavyotaka wao
......Dah ngoja nipite zangu. tusubiri dirisha dogo la usajili..
huyu pogba ni PIMBI kabisaWanajamvi mtakumbuka wakati wa usajili tuliambiwa hii timu yetu sasa inasajili bonge la fowadi anayekuja kumaliza matatizo yote.
Hata kuingia kwake ktk timu alikuja na mbwembwe kibao, Mara kufanya mazoezi ya ghafla klabuni usiku au mchana akiwa na waandishi Wa habari ili mradi ajioneshe tuu kwa mashabiki kuwa anauwezo.
Cha kushangaza ligi ilipoanza ameanza kuja na Masharti kibao klabuni eti ili aonekane kuwa yeye ni mchezaji mzuri kuliko Wa timu pinzani tumtimizie mambo yafuatayo.
1. Mabeki wa timu pinzani wote wafungwe miguu na mikono wawapo uwanjani.
2. Timu yetu iwe inapewa penati kila mechi na marefa ili yeye awe mfungaji bora.
3. Timu pinzani zisiruhusiwe kuleta mashabiki uwanjani.
Sasa wenye Akili hapa klabuni tukaanza kuhoji huyu kweli ni fowadi au garasa?
Mbona fowadi tuliye muacha alikuwa anafunga magoli huku mabeki Wa timu pinzani wakicheza japo tulimuona kama kashuka kiwango?
Tena timu pinzani ziliruhusiwa kwenda kwa ndege helcopta au usafiri wowote kokote hapa nchini kuchukua mashabiki na kuwaleta uwanjani katika mashindano mbali mbali.
Uchumi Wa klabu umeshuka ghafla mashabiki hawana imani naye tena kabisa. Wanajiuliza fowadi gani hawezi cheza mechi za kimataifa anag'ang'ania mechi za mchangani tuu.
Huyu Pogba klabu imepata hasara kubwa Sana kwa kusajili mchezaji bila hata kuangalia uzoefu na historia yake hapa klabuni. Anazua hofu ubabe na kushabikia magoli ya mikono eti yawe halali kwa timu yake tuu.
Mmmmh dua la kuku halimpati mwewe.....Hapa Kazi Tu.Wanajamvi mtakumbuka wakati wa usajili tuliambiwa hii timu yetu sasa inasajili bonge la fowadi anayekuja kumaliza matatizo yote.