huyu paka anaenda wapi!!!!

huyu paka anaenda wapi!!!!

Zamaulid

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
20,334
Reaction score
16,788
396399_250882664994917_1036621581_n.jpg

wakuu huyu paka atafika anakoenda kweli!!!!
 
Hafiki kokote, huyo ni miongoni mwa walioachwa yatima kutoka kwa bibi nyau wa Tandale.
 
Kwa kuwa ni mweusi, na ni usiku basi atafika, kama vipi tuambie anenda wapi tukamsubirie aendako.
 
Atafika tu, maana anasikia harufu ya panya hapo kwenye kona, akishamla atarudi alikotoka.
 
Kumbe huyu ndiye anayezuia treni ya Mwaikyembe duuuh...
 
mkuu kupita tu ni ishara mbaya!!mi nasikia ukiwashuhidia wanafanya yale mambo ya kuendeleza kizazi ndo ishara mbaya zaidi!!



Maoni ya watu tu,lakini hakuna lolote litakalotokea endapo ukiwashuhudia,ni vile tu paka ni viumbe wastaarabu na wanapenda kujiheshimu na ndio maana ni vigumu kuwashuhudia.Lakini mimi nishawashuhudia mara nyingi tu na hakina lolote lililotokea..
 
Back
Top Bottom