huyu paka anaenda wapi!!!!

Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
18,654
13,475
396399_250882664994917_1036621581_n.jpg

wakuu huyu paka atafika anakoenda kweli!!!!
 
Kwa kuwa ni mweusi, na ni usiku basi atafika, kama vipi tuambie anenda wapi tukamsubirie aendako.
 
Atafika tu, maana anasikia harufu ya panya hapo kwenye kona, akishamla atarudi alikotoka.
 
mkuu kupita tu ni ishara mbaya!!mi nasikia ukiwashuhidia wanafanya yale mambo ya kuendeleza kizazi ndo ishara mbaya zaidi!!



Maoni ya watu tu,lakini hakuna lolote litakalotokea endapo ukiwashuhudia,ni vile tu paka ni viumbe wastaarabu na wanapenda kujiheshimu na ndio maana ni vigumu kuwashuhudia.Lakini mimi nishawashuhudia mara nyingi tu na hakina lolote lililotokea..
 
Back
Top Bottom