bro_A
JF-Expert Member
- Nov 5, 2015
- 1,371
- 1,063
Hana shida huyo mkuu, sote tunaathiriwa na maisha tuliyokulia na ndivyo sehemu.kubwa ya tabia ya mtu inasukwa na mazingira/shughuli yake...
Angalia haya;
1. Anakuheshimu?
2. Ni muaminifu?
3. Anafanya majukumu yake kwako, mf kupika, kufua,
Kama hayo yote ni chanya basi endelea nae tu
Angalia haya;
1. Anakuheshimu?
2. Ni muaminifu?
3. Anafanya majukumu yake kwako, mf kupika, kufua,
Kama hayo yote ni chanya basi endelea nae tu