Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,315
- Thread starter
- #81
Ye hana utemi?Mchepukaji sana harafu watu flani wanapenda kupigwa kila muda
Ye hana utemi?Mchepukaji sana harafu watu flani wanapenda kupigwa kila muda
Ushasema wa kanda maalumu hiyo romantic utapata wapi? Hapo vita ni vita mura
Inataka moyo kuishi na mtu ambae hajui asante nilishawah kuishi na mtu hajui asante samahan wala karibu binafsi niliona kama najipendekeza tu nilishindwa kuishi naeAsa kweli umfundishe na mtu kusema asante dah
SureInataka moyo kuishi na mtu ambae hajui asante nilishawah kuishi na mtu hajui asante samahan wala karibu binafsi niliona kama najipendekeza tu nilishindwa kuishi nae
Mpotezee...Bado kaka anabana kweli
ila leo ndo nataraji labda naeza zindua ulbum
Unapewa wa kufanana nawe.Afu hayuko romantic kbsa yan ukipeleka kiss anaona kma kitu cha ajabu mno anaeza kukupush
Asije tafuta sababu ya kuniadhiri bureMpotezee...

Ko ndo huyo auUnapewa wa kufanana nawe.
ndio umfundishe sasa.Dah yan kizuri kwake ni kuwa hana shobo na wanaume ila sasa mambo mengine yale ya kimahaba mahaba ndo hana kbsa![]()
Ye hana utemi?
Si kweli mkuuMla vya watu na vyake huliwa pia!!
Mkuu kama ni mjasiria mali mzuri huyo anafaa kuoa.Ukimpa mtaji atahakikisha anaparangana kuzalisha na mwishowe kama familia mnaweza kusonga mbele.Hazo kasoro ulizotaja ni ndogo ndogo zinarekebishika.Songa mbele mkuu umuweke malkia ndani.Habari wakuu
Niko kwenye usahili wa kutafuta mwanamke wa kuoa mnamo mwakani kama Mungu atajaalia.
Sasa kuna binti ambae anaongoza kura za maoni mpaka sasa kukabidhiwa nafasi hiyo,Ila kiukweli ana changamoto kadhaa ambazo naziona kama kikwazo kwangu.
1-Kwa kua amekulia katika mazingira ya utafutaji tangu anakua yani ni kama imempunguzia ule uromantic wa kike+ na asili yao ni watu wa kanda maalumu(Mara).
2-Unaweza mtumia pesa au chochote ila hawezi sema asante au nimeipata mpaka umuulize
mfano leo asubui nimemnunulia kifurushi ila hata kujibu kwamba nimeipata hamna na sio kwamba hanipendi ila tu ndo asili yake.
Binafsi naona kumwambia siwezi ila naona tu nipige chini japo hana sifa zingine mbaya.
Ushauri tafadhali
Asante ina kiwango?
Mwanamke kama huyo ndio mzuri kuoa, kwa maana inaonekana anabidii kwenye kutafuta, na hata ukimtumia kidogo anaridhika nacho na kushukuru kimya kimya vile vile ni mficha siri, shukuru huyo ambae halopoki mpaka umuulize, kuliko kuja kumpata ambae kidogo umtumiacho atakuja juu na kuropoka badala ya kushukuru au kukaa kimya. Muda mwingine kukaa kimya ni busara.Kiaje kaka
labda wanyakyusa wa Tukuyu ila siyo wa Kyela
Kweli mwayaMungu mwenyewe mbinguni anapenda asante
Dah yan kizuri kwake ni kuwa hana shobo na wanaume ila sasa mambo mengine yale ya kimahaba mahaba ndo hana kbsa![]()
Unataka kumng'ata au kumtemea mate mdomoni kwakeYan unaeza peleka mdomo kumkiss akaona kama unataka kumfanya cjui nn![]()


Awe na vitu basics na awe na sifa za kike