Huyu ni wakuoa kweli?

Huyu ni wakuoa kweli?

Unatusingizia mweeh
Hahahaha unajua kwanini nakwambia hivyo?? Kwa sababu na mimi ni mmoja wao japo mimi siyo mbabe ila wengi wetu ni wababe ni kama wanavyosema eti wanawake wachaga wa rombo ni wabaya huwa hawamaanishi wote lazima kutakuwa na wachache ambao ni wazuri kwahiyo labda mimi na wewe na wengine baadhi yetu siyo wababe ila wengi wetu mwee mbombo jilipo!!
 
kuna watu wapo hivyo,mm kuna mmoja nilimpiga chini juzi kati fulani mbabe balaaaaa yani,yani hata ukiwa nae ukimuita baby anakwambia SITAKI KUBEBISHWA,asa jitu kama hilo la nn,ila jaribu kumwambia wengine wapo hivyo,hizo habari za denda anaogopa umejiangalia na ww KINYWA KIPO SALAMA MKUU???KIPO SAFIIII au unamlaumu tu mtoto wa watu bure🤪🤪🤪🤪😚😚😚😚
 
Hahhaa kumbe ni gwa kukaja kabisa. Unadhani nabisha basi; najua tulivyo watata. Now naelewa why you always stand your ground no matter how many people oppose you; it's in our veins hahaha
Hahahaha unajua kwanini nakwambia hivyo?? Kwa sababu na mimi ni mmoja wao japo mimi siyo mbabe ila wengi wetu ni wababe ni kama wanavyosema eti wanawake wachaga wa rombo ni wabaya huwa hawamaanishi wote lazima kutakuwa na wachache ambao ni wazuri kwahiyo labda mimi na wewe na wengine baadhi yetu siyo wababe ila wengi wetu mwee mbombo jilipo!!
 
Hahhaa kumbe ni gwa kukaja kabisa. Unadhani nabisha basi; najua tulivyo watata. Now naelewa why you always stand your ground no matter how many people oppose you; it's in our veins hahaha
Yeah mimi ni mbishi tu ila siyo mbabe huwa sikubali kushindwa kama nikijua kuwa mimi ndiyo niko right ila kama niko wrong huwa sihangaiki kubisha nakuwa mpole tu
 
Weeeeh! Kuna uzi wa wanaume wanaupigwa na waume zao humu, wanyaki mliwakilisha vyema kabisa.
Hao wanaume nao sijui ni wa makabila gani basi, maana wanaume wa kinyakyusa nao kwa ubabe wanaume wa kisukuma wanasubiri...yaani ni watemi balaa tena bora wasukuma ni wababe ila wanajua kupenda (ukiwatoa lizarazu na yule rais wa nchi ya buzilayombo), wanyakyusa ni wababe halafu kupenda hawajui sasa ndipo shida inapoanzia hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom