Habari wakuu
Niko kwenye usahili wa kutafuta mwanamke wa kuoa mnamo mwakani kama Mungu atajaalia.
Sasa kuna binti ambae anaongoza kura za maoni mpaka sasa kukabidhiwa nafasi hiyo,Ila kiukweli ana changamoto kadhaa ambazo naziona kama kikwazo kwangu.
1-Kwa kua amekulia katika mazingira ya utafutaji tangu anakua yani ni kama imempunguzia ule uromantic wa kike+ na asili yao ni watu wa kanda maalumu(Mara).
2-Unaweza mtumia pesa au chochote ila hawezi sema asante au nimeipata mpaka umuulize
mfano leo asubui nimemnunulia kifurushi ila hata kujibu kwamba nimeipata hamna na sio kwamba hanipendi ila tu ndo asili yake.
Binafsi naona kumwambia siwezi ila naona tu nipige chini japo hana sifa zingine mbaya.
Ushauri tafadhali