Huyu ni wakuoa kweli?

Huyu ni wakuoa kweli?

Ila I'm proud to be a nyakyusa aisee na makabila ambayo kidogo ningetamani niwe kama nisingekuwa mnyakyusa basi ningetamani niwe kati ya mchaga, mrangi, mpare au mmeru tofauti na hayo sijaona kabila lingine hapa bongo linalonipendeza kwa kweli
Haha sisi ndo wanyaki
 
Najua tabu ya kuish na demu ambaye sio romantic wacha kabsa hapana kwa kwel mi mwenyew namuacha

Demu anakuwa kma mwanaume mwenzako bana
 
niachie ni mzoeshe tabia nzuri halafu ntakurudushia mtu wako akiwa vizuri
 
Najua tabu ya kuish na demu ambaye sio romantic wacha kabsa hapana kwa kwel mi mwenyew namuacha

Demu anakuwa kma mwanaume mwenzako bana
Yan ni hatar inabidi wwe ndo ujibebishe
ye anakuzoom tu
 
honger kwa kuwaza kuoa ndugu...wacha wengine tuendelee kupuyanga mpk Yesu arudi
 
Tuanzie hapa anakupenda? Kama anakupenda amini usiamini huyu ndio mke sasa....mke haandaliwi kwa wiki 2 mkuu tenga ata miaka 5
Inakua ngumu sana kujua kama ananipenda au lah maana haoneshi ishara zozote za kitofaut
 
Kama ushaona ni asili yake bas ona hayo ni kama mapungufu yake uyazoee huwez pata mtu perfect labda umuumbe mwenyewe.
If you seek good advice, consult this lady #MadameS.
How have you been my humble friend? Na umepoteamo sana!
 
Mrejesho:Nimemjuza tangu asubuhi kuwa naumwa jino ila mpka sasa hajataka kujua naendeleaje

Nimefunga rasmi usahili naanza1
 
Habari wakuu

Niko kwenye usahili wa kutafuta mwanamke wa kuoa mnamo mwakani kama Mungu atajaalia.

Sasa kuna binti ambae anaongoza kura za maoni mpaka sasa kukabidhiwa nafasi hiyo,Ila kiukweli ana changamoto kadhaa ambazo naziona kama kikwazo kwangu.

1-Kwa kua amekulia katika mazingira ya utafutaji tangu anakua yani ni kama imempunguzia ule uromantic wa kike+ na asili yao ni watu wa kanda maalumu(Mara).

2-Unaweza mtumia pesa au chochote ila hawezi sema asante au nimeipata mpaka umuulize
mfano leo asubui nimemnunulia kifurushi ila hata kujibu kwamba nimeipata hamna na sio kwamba hanipendi ila tu ndo asili yake.

Binafsi naona kumwambia siwezi ila naona tu nipige chini japo hana sifa zingine mbaya.

Ushauri tafadhali
Aisee jamaa demu wako kafanan na wangu kwa kila kitu hata wangu ana tabia hzo pia na pia yeye pia anaongoza kwa kura za maoni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom