Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,315
- Thread starter
- #61
Kiaje kakaKijana jaribu kubadili changamoto kuwa fursaVijana mnafeli wapi??!
Kiaje kakaKijana jaribu kubadili changamoto kuwa fursaVijana mnafeli wapi??!
Unawapendea nini mkuu watu dont care attitudenatamani ningempata huyo..hao ndo dezain ninaowapenda...
Me kiukweli asante ya kuomba hapanaWanaume sio wavumilivu, kitu kidogo anabadilika balaa, hilo swala mwambie, mtu asieshukuru sio mzuri.
Mkuu ahsante ina maan sana ujue ukimpa hata mama ako pesa au zawad yako kitendo cha kukwambia ahsante tyr n barakaSasa mkuu ukishampiga chini huyo itabidi uanze usaili tena upya kwamtu mwingine? Acha tabia kama zawatu wamagu wamwanza kupenda kuabudiwa neno asante litakusaidia nn
Unajihakikishiaje kuwa hana shobo na wanaume?? Mwenyewe niliwah kuwa na demu nikawa najiaminisha hana shobo...bwanaweeeeee kumbe anatiwa hatari.Dah yan kizuri kwake ni kuwa hana shobo na wanaume ila sasa mambo mengine yale ya kimahaba mahaba ndo hana kbsa![]()
Hahahhaa atachanganyikiwa mwenzio akishukuriwa kwa magoti
Mla vya watu na vyake huliwa pia!!Ndio mzuri huyo wa kutunza familia, huku ukipiga show za pembeni



labda wanyakyusa wa Tukuyu ila siyo wa Kyela
Mchepukaji sana harafu watu flani wanapenda kupigwa kila mudaKo nae ni mtemi au
Mkuu acha kufananisha mama yako mzazi nakitu kingine. Mama yako kabla ujawaza kumpatia chochote yeye tayari alishakuombea upate.Mkuu ahsante ina maan sana ujue ukimpa hata mama ako pesa au zawad yako kitendo cha kukwambia ahsante tyr n baraka
Afu hayuko romantic kbsa yan ukipeleka kiss anaona kma kitu cha ajabu mno anaeza kukupush
kbsa asee sio ya kuombaMkuu ahsante ina maan sana ujue ukimpa hata mama ako pesa au zawad yako kitendo cha kukwambia ahsante tyr n baraka
Ila kweli dah
Unajihakikishiaje kuwa hana shobo na wanaume?? Mwenyewe niliwah kuwa na demu nikawa najiaminisha hana shobo...bwanaweeeeee kumbe anatiwa hatari.
Endelea kujifariji mkuu
Mungu mwenyewe mbinguni anapenda asanteHahahhaa atachanganyikiwa mwenzio akishukuriwa kwa magoti
Awe na vitu basics na awe na sifa za kikeKwahiyo wewe unataka upate mwanamke mkamilifu??
Asante ina kiwango?Unatuma vocha ya buku unalilia asante!