theCriticalOne
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 206
- 285
Boss, kila mmoja ana kasoro. Hamna anaetiki kote
Mke mwema ni yule anayekifanya kichwa chako kifanye kazi ya ziada ukiona hafanyi hormone ya kiume kudinda acha kuoa atakufanya kuwa mwanamke sijui unanisikia?
Naona niongeze sauti kabisa msela baba hakikisha mkeo anakufanya ufikirie sana jinsi ya kuishi naye hata ukidanganya unakuwa na tahadhari ukiona hawezi kukufanya hivyo aise mkimbie mpaka miguu yako igonge matako yako hivi unanielewa au nipunguze sauti?
Dah huyu wangu kwa kweli hapanaBoss, kila mmoja ana kasoro. Hamna anaetiki kote
Mkuu acha tu,mimi nimemrudisha jana hukohuko mara na ndoa tumefunga 16/2/2019 we acha tu nilikuwa mbishi nikaacha waruguru wenzangu na kwenda huko nipo hapa nyumba imeniinamiaHabari wakuu
Niko kwenye usahili wa kutafuta mwanamke wa kuoa mnamo mwakani kama Mungu atajaalia.
Sasa kuna binti ambae anaongoza kura za maoni mpaka sasa kukabidhiwa nafasi hiyo,Ila kiukweli ana changamoto kadhaa ambazo naziona kama kikwazo kwangu.
1-Kwa kua amekulia katika mazingira ya utafutaji tangu anakua yani ni kama imempunguzia ule uromantic wa kike+ na asili yao ni watu wa kanda maalumu(Mara).
2-Unaweza mtumia pesa au chochote ila hawezi sema asante au nimeipata mpaka umuulize
mfano leo asubui nimemnunulia kifurushi ila hata kujibu kwamba nimeipata hamna na sio kwamba hanipendi ila tu ndo asili yake.
Binafsi naona kumwambia siwezi ila naona tu nipige chini japo hana sifa zingine mbaya.
Ushauri tafadhali
Bado bikra?Yan unaeza peleka mdomo kumkiss akaona kama unataka kumfanya cjui nn![]()
natamani ningempata huyo..hao ndo dezain ninaowapenda...

Watu tunatofautiana sana wa kwangu mimi anasema nalalamika sana hapo ni baada ya kumtafuta
Mkuu acha tu,mimi nimemrudisha jana hukohuko mara na ndoa tumefunga 16/2/2019 we acha tu nilikuwa mbishi nikaacha waruguru wenzangu na kwenda huko nipo hapa nyumba imeniinamiaView attachment 1209386
Ko nae ni mtemi auWewe umeunga kifurushi tu hajasema ahsante akati wenzio wanatoa Laki hata kuambiwa imefika hakunaa...na simu inazimwa inakuja kupatikana jioni akiomba vocha tena![]()
Dah asa hizi c dharau kabisa za kiwango cha fly overBado bikra?
mtumie kifurushi, kaa dakika kumi na tano mtumie mesej mwambie asante kwa kifurushi.
asipoanza kujishtukia basi anakudharau.
Kuna tunapiga nae mishe alinishauri kama wwe janaBado kaka anabana kweliLakini unamgonga kama kawa!??