Huyu ni nani na huyu mrembo

Huyu ni nani na huyu mrembo

Duu, huyu mama! Usafiri wake ni one-to-one na dada zetu wa kimatumbi!! Halafu she seems to be sexy.
 
Halafu kitu kipo kama chotara flani vileeeeeee?!!!!!!!!

Ni mfaransa huyu mama si unajua Ufaransa huwa haiongopi kwenye hili eneo?!! Kisiasa hii rangi ya huyu mama ilileta shida kidogo kwa kuwa jamaa ameishi sana nje na wife naye ni mzungu basi ikaonekana kama vile nchi inataka kuuzwa.
 
kumbe wafaransa walikuwa wanamtafutia dada yao makazi - ikulu!
 
Ni mfaransa huyu mama si unajua Ufaransa huwa haiongopi kwenye hili eneo?!! Kisiasa hii rangi ya huyu mama ilileta shida kidogo kwa kuwa jamaa ameishi sana nje na wife naye ni mzungu basi ikaonekana kama vile nchi inataka kuuzwa.
Bobby nakusahihisha kidogo,huyu ni chotara na baba yake ni mzungu mfaransa ila mama yake ni mcameroon na alizaliwa na kukulia ufaransa mpaka alivyomove na jamaa Ivory Coast.
 
Huyo mama ndiye atakayeongoza nchi.Unafikiri aki demand kitu,jamaa ataweza tia neno?
 
Bobby nakusahihisha kidogo,huyu ni chotara na baba yake ni mzungu mfaransa ila mama yake ni mcameroon na alizaliwa na kukulia ufaransa mpaka alivyomove na jamaa Ivory Coast.

Kwa kuwa Baba yake ni Mfaransa, maana huyu Mama alikuwa Mfaransa kabla ya kupata jiko, na kwa maana hiyo Rais wa Ivory Coast ni Shemeji wa Wafarnsa; na kuwa kuwa Rais wa Ivory Coast ni Shemeji ya Wafaransa, basi katika vita ya kumng'oa Gabgo walikuwa wanamsaidia Shemeji yao ambaye akikalia kiti hawapinga kwa lolote.
 
Rais katoka Burkinafaso na mwanamke katoka Ufaransa halafu wanaitawala Ivory Coast, hivyo ndivyo Ivorians wengine walivyokuwa wanaiona hasa wale amabo wanajua mambo mengi lakini sasa ilishakuwa too late mpaka jamaa karuhusiwa kugombea urais halafu baada ya kushinda ndo wanapiga kelele!
 
Ngoja na mie nikaoe Mmarekani mweupe ili nisaidiwe na mimi kuingia Ikulu maana bila ya kutumia mbinu hii kuing'oa CCM itakuwa ndoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom