Huyu ni nani hapa JF?

Huyu ni nani hapa JF?

Huyo ni mmoja wa vibinti vya mjini ameenda kufanya interview mahali imekuwa hola. Mie sio huyo mie kwanza ni mnene kidogo kwa huyo halafu nina usafiri wa haja kama ile ya wanaotokea Mbeya au Bukoba.

Mie tatizo au mtu hanifanyi nikawa stranded barabarabi hivo ntatoka eneo la tukio hata ikiwa kwa kutembea kisha ntakuwa stranded home kwangu na glass ya wine.
 
  • Thanks
Reactions: ram

Similar Discussions

Back
Top Bottom