Huyu ni nani hapa JF?

Huyu ni nani hapa JF?

MO11 wewe unamjua huyo....???
 
Last edited by a moderator:
Namhurumia sana japo jina lake limentoka. Alinisubiriiii ntoke ofisini ila nilikuwa na appointment nyingine mle ndani. Alipoketi akapitwa na usingizi nkapita na ile appointment. Sikujua jf mpo kazini mpaka ofisini kwangu. Duhhh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom