Huyu ni msanii wa kiume..

Maadili? Juzi kwenye siku ya wanawake Adolph Mkenda alivaa kitenge begani kama Mmama, mbona haikuwa hot issue? Mnamsakama huyo dogo as if its a new issue

Huyo Platform ni attention seeker tu. Hukutakiwa hata kumuanzishia uzi because all he wanted ni PUBLICITY na umempa.

Kila mtu alinde mtoto wake. Artists are not there to raise your kids. Kama hataona kwa PLATFORM ataona kwa wasanii wa nje.

Hakuna such thing as "maadili ya kitanzania" BTW!
 
Acheni vijana watafte pesa, Kila mtu ana mbinu yake ya utaftaji
 
Kitendo cha kuwafungulia nyuzi kama hivi ni kuwapa promo...
 
Sheria na taratibu za nchi yao zinasemaje juu ya jambo hili?
 
Maadili yenu wabongo yameandikwa wapi??
Ni wapi huyo platform anaweza kushtakiwa kwa kuvunja maadili, kakosea kip??

Mnaweza kua mnapigania kitu ambacho hakipo.
Nadhani ni jukumu la BASATA maana ndiyo wasimamizi wa wasanii,kwamba hupaoni alipokosea?

Wewe mwanao wa kiume akikuvalia maua maua kama nyuki macho ameyarembua mabega wazi macho ameyalegeza utafurahi eti?!!!
 
Wazaz linden mik*nd ya wanenu huku nje watu wanajali pesa hivyo mwanao akizubaa ataiga visivyoigika mf huyo jamaa usikute sio sh*g kabsa ila attention na ameipata had uzi kafunguliwa ila mwanao akiiga tu bas diara kaaga
 
Nadhani ni jukumu la BASATA maana ndiyo wasimamizi wa wasanii,kwamba hupaoni alipokosea?

Wewe mwanao wa kiume akikuvalia maua maua kama nyuki macho ameyarembua mabega wazi macho ameyalegeza utafurahi eti?!!!
Mwanangu wa kiume hawezi kufanya hivyo labda wako mkuu.

Basata hawajaona kosa.

Mzee shida ni kua hamnaga maadili jumuishi hii nchi, ndio maana kila msanii anaibuka na kioja chake ili atrend.

Hilo la kuuliza yupo sahihi kufanya hivyo ndio tatizo linapoanzia hapo, hilo litajibiwa kulingana na utashi wa kila mtu anavyoona na sio sheria, makatazo au kifungu fulani.
Wengine wa kiume watavaa mawigi, hereni, watatoga masikio na pua na mengine mengi.
 
Bwabwa
No REFORMS No ELECTION
 
Mkononi mweusi lazima aachie ngazi
No reforms no election ⚒️ 💯
Tutakuwepo 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…