Uchaguzi 2020 Huyu ni mgombea ubunge wa jimbo la Kilolo kwa tiketi ya Chadema Jully Mpugulla

Vicoba vyote hali mbaya na wanaume wammewakimbia
Wanalima mchicha mabondeni mboga haziuziki Hadi zinakomaa kuharibikia mashambani sababu watu wamepunguza milo,ula mihogo tu Tena jioni Hadi kesho ili wasife njaa,Sasa Hawa wakulima wa mbogamboga kuwaita eti walikuwa ni wapiga dili Ni kumkufuru Mungu kwa kweli
 
Wanawake wamekuwa na mwamko wa kusikiliza kampeni kukiko miaka yoyote ile. Jr hii ni dalili mbaya kwa ccm?
Kaangalie mikutano ya Lisu wanawake na wasichana unamulika na tochi Ni vivulana ndio vinajaa

Huoni watu wazima akina mama Wala wasichana .Chukua video yeyote ya kampeni ya Lisu tizama
 
Kaangalie mikutano ya Lisu wanawake na wasichana unamulika na tochi Ni vivulana ndio vinajaa

Huoni watu wazima akina mama Wala wasichana .Chukua video yeyote ya kampeni ya Lisu tizama
Wanawake wanojaa ccm ni wale wa kusombwa na kijaza vivhwa tu. Wale wa buku 10
 
Wanalima mchicha mabondeni mboga haziuziki Hadi zinakomaa kuharibikia mashambani sababu watu wamepunguza milo,ula mihogo tu Tena jioni Hadi kesho ili wasife njaa,Sasa Hawa wakulima wa mbogamboga kuwaita eti walikuwa ni wapiga dili Ni kumkufuru Mungu kwa kweli
Kwa mfano Kyela wamevuna mno mpunga mwaka huu , lakini hakuna wateja wa kununua , Hata wale wapemba waliokuwa wanakuja kununua wakati wa mavuno kwa malori na malori mchele wa Kyela , sasa hivi hawaji tena baada ya kufirisika
 
kujifariji.com

Viva Magu
Jiulize faida aliyopata Polepole na Bashiru kwa kutumia pesa nyingi kununua watu kama akina Katambi, Mashinji,Nasari, Lipumba, na kuwahonga vyeo huku CCM ikiwa na Maelfu ya watu wenye uwezo mkubwa sana waliofungwa kwa hofu na vitisho tuu na kunyimwa fursa ya kuonyesha uwezo wao eti wataonekana wamefanya kampeni. Jiulize Wagombea ubunge tu walikua 43000+ ndani ya CCM .

Wengine wametoka mpaka ndani ya vyombo vya Dola kinyume na Katiba ya nchi. MTU kama anafunguo za stoo ya bunduki halafu ni mwanachama wa Chama cha siasa na anagombea unategemea nini kama sio kutumika kuwapiga risasi wapinzani? Umma usiopenda dhulma hauwezi kusimama na dhulma kama hiyo eti kwa sababu ya kumpa maslahi ya MTU mmoja na familia yake kwamba atawale miaka kumi. Hata mitano ni mstaafu na atapata haki zake .

Kinachofanyika ni kukamilisha ulaji wa marafiki lakini sio maslahi ya umma. Tumeshtuka kuwa CCM mnajali maslahi yenu baada ya kumwona Salma Kikwete akitafuta Ubunge wa Mchinga kule Lindi wakati anakaa Msoga . Anatafuta nini kama sio tamaa tu. Lini alitetea maslahi ya Lindi kabla ya kuwa First Lady ? Watu wameporwa pesa zao za Korosho hatukumwona akizungumzia suala hilo wala kupigania haki zao zaidi ya kujipanga kuwatumia watu wa Mchinga walionyimwa Elimu Tangu mkoloni .

Tumewashtukia kuwa mnataka kuchukua Kodi za watanzania na kuzilimbikiza kwenye familia chache na nyie mnatumika kuhalalisha mipango hiyo ya kupora Uhuru ,rasilimali na haki za watanzania kupitia familia za watu wasiozidi 20.

Hussein Mwinyi ni mfano mwingine . Mtoto aliyekulia ikulu zote mbili ya Zanzibar na ya Tanzania Leo hii anakubali kwenda Zanzibar kupewa Urais kwa kutumia hila za Tume na nguvu ya vyombo vya Dola.

Tajiri aliyekulia kwenye utajiri na madaraka anakwenda kutumia watoto wa maskini( polisi na wanajeshi wale wa chini ) kuendelea kuvuna utajiri wa nchi. Halafu eti wapenda haki tumuunge mkono.

Hapo ndipo Mabeberu wanapotuona waafrika hatuna akili. Huwezi kumuua maskini mwenye hekima na busara ili utajiri apate madaraka. Wenzetu wanatoka kwenye familia za watawala na familia za kitajiri lakini wanagombea kwa haki na kwa Uhuru na wakishindwa basi wanajipanga tena .

Hakuna kulazimisha eti kwa sababu ni mtoto wa Bushi basi tutampiga risasi atakayempinga na tutatumia jeshi kuwatisha watu ili ashinde kwa nguvu . Huu ujinga uko Afrika halafu tunasema vita vinasababishwa na mabeberu kumbe ni ushetani na uroho wa madaraka na ulevi wa Mali wanaoupata waliopo madarakani.
 
2015,mlisaidiwa na ukawa. Safari hii hata wabunge 10 mkipata, shukuruni Mungu. Mmetepeta Sana, hamna Sera za kutuambia mmebaki kuomba huruma za wananchi tuwachague. Mtakula jeuri yenu.
2015 utailinganisha na 2015. Unaota au vipi?
Kwani Mlishinda kwa kura halali?
Nilikua sehemu moja kura za Jumla za Mkoa Fulani zilizotumwa ni tofauti na zilizosomwa kwenye Tume.

Masanduku yalikua yana kura nyingi bandia. Wakurugenzi walifanya uhuni mwingi sana . Kampeni za kikabila zilifanyika wazi wazi na Kuna mkanda kabisa ulikua unapelekwa kwa wafugaji kule Home ukidai kuwa wasimchague Lowsa mana atawanyang'anya ng'ombe zao na kuwapa Wamasai.

Ujinga mtupu. Mwaka huu kimekuja Chuma chenya Risasi mwilini na nyingine kumi na taona zipenya . Kinatembea kwa uwezo wa Mungu na kina hoja za kila MTU. Ukiongea asubuhi jioni kimekujibu. Hoja kwa hoja . Watu wanashindana kumpenda . Sio huyo wa CCM analazimisha Kura kwa nguvu na kutisha watu.

Watu mil 29 wamejiandikisha kupiga kura sasa hofu imehamia CCM mana wengi ni vjana .Hila zinafanywa kila kukicha.
Sioni mbunge wa CCM wa kumwangusha mpinzani. Hakuna hata mmoja. Hata majaliwa alitumia uovu ili apate muda wa kuwapigia kampeni wenzake mana mawaziri wote wetumia uovu na ushetani kuvunja haki za watu ili wazunguke kupiga kampeni kwa wengine. Rushwa inaendelea kuibeba CCM lakini Sasa Basi. Mnataka mshinde kwa 95 % ili iweje.?! Muue watu ili mpate 95% ili iweje? Kwa faida ya nani kama sio kulinda uovu wenu!!

Mpaka 28/10/2020 mtanyooka mana mlisema oooh kalale tu Chato mana hakuna Upinzani ?
Mara oooh hatutatumia wasanii tutatumia TOTI . Sasa Mwaka huu mtamtafuta mpaka Bishanga .
Mtagawa mpaka magazeti ya Sani .Mumpate Komredi Kipepe awasaie kuvuta watu kwenye mikutano.
Lisu ni Muujiza wa Mungu mwenyewe.
Ooh Korona imekoromewa na mtu !!
Ni nchi gani Afrika ina vifo vingi vya Korona??
Acheni kumdhihaki Mungu!!
Nyie mnasali kuliko Maka na Vatican kwa Papa anayesujudiwa na marais wa dunia nzima.
 
2015,mlisaidiwa na ukawa. Safari hii hata wabunge 10 mkipata, shukuruni Mungu. Mmetepeta Sana, hamna Sera za kutuambia mmebaki kuomba huruma za wananchi tuwachague. Mtakula jeuri yenu.
Wewe endelea kujidanganya hivyo hivyo ukidhani wanao hudhuria mikutano ya Lissu watawapa kura ccm na wanao hudhuria mikutano ya ccm hawatampa kura Lissu. Jidanganye .Ila lipo la kujifunza angalia nyuso za wanaohudhuria mikutano ya ccm nyuso zao hazina furaha ukilinganisha na wale wanao hudhuria mikutano ya lissu nyuso zao zina furaha na jamani, kuanzia Iringa hadi katavi ,kigoma
 
2015,mlisaidiwa na ukawa. Safari hii hata wabunge 10 mkipata, shukuruni Mungu. Mmetepeta Sana, hamna Sera za kutuambia mmebaki kuomba huruma za wananchi tuwachague. Mtakula jeuri yenu.
Ccm mwama huu mnalo, tunawapiga spana tu mpaka mchakae. Jiwe kazomewa kule Kagera

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hahaaaaa kajengeni ofisi kwanza na mtuambie pesa za ruzuku mnapeleka wapi.
Viwanja mtajenga sasa ndio iwe misused of taxpayers money kama mnavyoimba humu kiwanja cha chato?
Magu is the Man....oct 28 save the date.
Nakwambia hivi, jiwe hafai kuongoza hata familia yake.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Jiulize faida aliyopata Polepole na Bashiru kwa kutumia pesa nyingi kununua watu kama akina Katambi, Mashinji,Nasari, Lipumba, na kuwahonga vyeo huku CCM ikiwa na Maelfu ya watu wenye uwezo mkubwa sana waliofungwa kwa hofu na vitisho tuu na kunyimwa fursa ya kuonyesha uwezo wao eti wataonekana wamefanya kampeni....

Huu ndio ukweli...
 
Back
Top Bottom