Huyu ni mdudu gani?

Huyu ni mdudu gani?

3E95F11800000578-0-image-a-1_1490353578301.jpg

Mdudu huyu wa ajabu kama mnavyomwona, ana vichwa viwili ambacho kimoja kipo mbele na kingine kipo nyuma (mkiani). Kimeonekana nchini Argentina katika mji wa Sante Fe.
Huyu atakuwa nyoka alizaliwa njiti yaani kabla hajatimiza siku za kuzaliwa
 
mkuu tusubirie agentina wampe jina huku kwetu sijamuona
Na kwa nn tusubirie paka Argentina wampe jina,huko ni kupoteza muda,mm naona ni vzuri waki kihoji,kitaje jina lake mwenyewe,wapi kina toka,wapi kina enda na kwa dhumuni gani?...na muda wote kilikuwa wapi paka kina kuja kustaajabisha watu Sasa hivi....
 
ha haha mkuu naomba ukakihoji wewe
 
Na kwa nn tusubirie paka Argentina wampe jina,huko ni kupoteza muda,mm naona ni vzuri waki kihoji,kitaje jina lake mwenyewe,wapi kina toka,wapi kina enda na kwa dhumuni gani?...na muda wote kilikuwa wapi paka kina kuja kustaajabisha watu Sasa hivi....
JF Raha sana
 
Yaani nimeona comment zako toka huko page za nyuma. Unajifanya kujua sana wewe,unajifanya wewe ndio wewe hakuna mwngine kwan lazima umvamie mtu kwa maneno ya ajabu kama hivo,hata kama kaandika upupu we inakuhusu nn? Simu ya kwake,bundle la kwake yet unampangia cha kucomment we Kuki nn. Marufuku kujitia kiranja hapa,acha mtu aandike anachojisikia. Where we dare to talk openly with no restriction and nonsense like yours, mpuuzibna mpumbavu sana wewe,umeamkaje na stress unataka umshirikishe kila mtu stress zako. kukemea upupu utakemea wangapi???, kumbe we mwenyewe kilaza hata kujua hujui I bet usinge comment kabisa kuliko huo utumbo wa mavi uliouandika. Shika adabu na adabu ikushike,sio lazima uheshimu kila mtu,lakini ukiichunga akili yako usimletee kila mtu uchizi wako basi inatosha. Uncircumcised baboon wewe
Hapo kwenye rangi umeenda mbali mkuu.
Tafadhali mtake radhi mwenzio
 
Back
Top Bottom