blackberry m
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 563
- 415
- Thread starter
- #41
Yule wa kwenye Nokia au?Snake Xenzia
Yule wa kwenye Nokia au?Snake Xenzia
Uhakika mkuu.Mie sicoment chochote mpka nipate uhakika wa uwepo wake..isije kuwa kaonekana kwenye movie
Hivi mbona mnakuwa wagumu kuelewa? Nimesema tusubiri wataalam wa mambo hayo watupe jibu sio kuandika uongoSasa wewe kwanini hukumpa na badala yake unamlaumu?
Tupe jibu mkuu
Majibu mujarabuAise nawe wajiita Great Thinker!? Nilienda kutafiti kwenye mtandao wakasema ni aina ya nyoka. Kama sio sahihi ungesema tu sahihi ni nini lakini sio kutumia lugha isiyo na ustaarabu. Hunijui sikujui tuheshimiane.
Unaniogopesha mkuuHuu ndo mwisho wa Dania tutaona mengi
Usipende kufanya hivyo mkuu.Nimechukua Kama sample awakilishe wengine wote wenye tabia Kama yake
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Hili dudu linaogofya bhanamkuu tusubirie agentina wampe jina huku kwetu sijamuona

Kwa hiyo ni wadudu wawili tofauti?huyo ni kiwavi jeshi.. ni mdudu muharibifu .. pia ni hatua ya ukuaji wa kipepeo
Watu wamezoea kuandika upupu hapa nimejipa jukumu la kuwakemeaHuyo atakuwa ana matatizo naye
Maana hilo povu si la kawaida
Hapo tu kwenye red panazungumza mengi.Ajabu kweli. Mtu ambaye anaamka tu asubuhi na kuanza kutumia lugha mbovu kwa watu it tells you how life frustrates him.
Swadaktaa,huyohuyoYule wa kwenye Nokia au?
Jibu sina Ndio maana nasema tungoje wataalamUsipende kufanya hivyo mkuu.
Jaribu kutoa suluhu ya kitu au majibu yake na wala si lawama
Mkuu mbona unakuwa mkali hivyo?Hivi mbona mnakuwa wagumu kuelewa? Nimesema tusubiri wataalam wa mambo hayo watupe jibu sio kuandika utumbo wa nguruwe hapa
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Hasa ukikutana nalo uso kwa machoHili dudu linaogofya bhana![]()
![]()
![]()
![]()
Umelipenda hilo dudu?wow!
Una maana kuwa uumbaji wake haukukamilika?Hujafa hujaumbika, Mola Mkuu!
Ina maana kwamba aliamua kujitokeza hadharani au alipotea njia na kutoka kwenye Nokia?Swadaktaa,huyohuyo