Huyu ni Kibo Marreale

Huyu ni Kibo Marreale

Nasubiri hilo andiko ila jamaa ukichek picture zake utajua mtoto wa mjini

Ila Thomas itosi na Petro itosi ni ndugu wale au ?? Mfn hizi gari za marangu coach ni kwa Marialle yupii mleu ndege maake kwenu si hapo marangu kitemboni
Ni ndugu but petrol is like uncle child, for instance petro was born in 1906, but Thomas was born in1915
 
Kwenye the right to privacy public officials paid by taxpayers money wanaweza kuzungumzwa,Kibo ni private individual,his right to privacy must respected!
P
Nimeona umeelezea jamaa alikuwa anamvizia mercy ebu niambie mkuu, bint kida alikuwa aje kipindi Cha udada wake maake km saa hz wa moto tuu 😂
 
Kwetu moshi hamna ni ya wavunjo (hao marangu wanavyojiita) Kule Mushi ndo ukoo wa kimangi mbona 😂 Ila Mushi kule hamuiskii maake ipo zaidi usseri na huku Tarakea
Moshi ipo mkuu sana, mushi ipo na ni ukoo wenye nguvu mno
 
Back
Top Bottom