Huyu ni Kibo Marreale

Huyu ni Kibo Marreale

kuna kipindi niliona news Moja kutoka rombo kids waliandikishwa vidudu ni 6 kwa shule Moja nikatafakari sana ni ishu ya family plan au iko mambo ingine🤔
Hahahaha

Issue ya ulevi inachangia kwa asilimia fulani sio hundred percent km mnavyoaminishwa

Pia watoto wa kule wengi wanaenda Kenya siku hz wazazi wakiamini kujua English ndo akili,

Kingine wengine tupo nje ya mkoa km hv ko unakuta nikipata familia ntakaa nayo huku ukilinganisha na enzi sisi tunakua wazazi wetu walikuwa pale pale au hata km yupo nje ya mkoa basi mtaish na bibi au mama atakaa nyumbn kitu ambayo siku hz hamna

Kwa mm nilivyo ona inaweza kuwa sababu kubwa maake kule mm nimekulia huko na ninaenda hata twice a year
 
Shukrani
 
Back
Top Bottom