chakufia nini
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 692
- 456
kweli bro alikuwa na haki ya kumtema
oh my god, hapo kama sio mtoto kumkana mama basi ni kuwa kichaa zaidi yake maana hapo hawezi kumuonya chochote mtoto wake.
Kweli Sugu aliona Mbali....
Hapana hawa wawili akili zao zinafanana sugu katulia kwa sasa kwasababu ya CHADEMA ila ikitokea akatoka utamjua vema
Jamani itabidi niache sasa maana nyuzi zangu zitanikosanisha na mabest wangu wengi tu lol
Hivi ni kweli ndivyo faiza alivyovaa hivyo hadi makalio yakawa wazi?
katako kadogoo kama ndimu
Umejuaje ni dada?????