Jethro
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 2,219
- 371
Mimi naona tunatoa hukumu mapema angekuwa mgeni kutoka nje ya nchi nadhani mambo yote haya yasingetokea angalieni mambo mengine yanayotokea watu wanachukua kilaini mfano angalieni madini hakuna hata faida kwa waTz.
Huyu ni kijana wa TZ kama ana nia njema ya kufufua UDA mimi sioni tatizo. Pia kunasehemu ya historia yake umekosea siyo kwamba alikuwa kaka mkuu wakati akiwa Mirambo Sekondari bali alikuwa mwanafunzi wa kawaida na alimaliza form six kwa kufanyia mtihani Pugu sekondari baada ya usaliti kwa wanafunzi.
Mkuu tatizo ni kwamba toka Mwl.Nyerere kawaachia nchi hawa viongozi wetu walipo ndio wametupotezea uzalendo mbele ya macho yetu wemtupa imani haba 100% leo hii nikuulizi kila kitu serikali ikianzisha after 2 to 3 years hilo shilika au huo mradi unakufa sasa unategemea kumwamini mtu kweli katka serikali ya CCM?
Kila kukicha wao ni madhambi chungu mzima mfano harisi General Tyre Arusha kiko wapi na kimeishi muda gani leo ukienda huko arusha ni watu kutumia viwanja kwa Harusi na kucheza mpira ya bonanza period ila ukikitizama kiwanja unaweza lia mtu mzima wapi na lini unaweza kuwaaamini hawa viongozi wa sasa kazi yao ni kuthamini familia zao na matumbo yao mali za UMMA wao wanakula na kuzi ua na ndio maana watanzania wengi esp lika la vijana wamehamia CHADEMA na sio CCM mtu yuko CCM ni kijana muulize kama anaweza kujisfia na CCM yake mtaaa kama hawaja mfurusha na mimawe.
My Take:
Viongozi walioko CCM wanajua fika kuwa CCM siku hizi hakipendwi, Katika hili CCM wao still wanajiweka nyuma badala ya kurudisha imani kwa wananchi wao CCM kwa wao wanajimaliza kwa makundi makubwa sana kuna lile kundi la kumsupport Membe na lile kundi la kumsupport Lowassa na kundi jingine ndio hilo sasa lahamia CHADEMA limeshindwa himili GUTTER POLITICS za CCM mfano Mzuri nilio uona kwa macho nilipo kuwa Arusha kuan kundi linalo mpinga JK wazi wazi na lina msupport Lowassa Live ndie kiongozi kuliko JK na ukionekani mwana CCM hauko kundi lolote basi wao hujua wewe ni CHADEMA. Sasa wapi leo mtu awe na imani na viongozi tokea CCM??
Leo hiii still naaamini kuna majimbo CHADEMA inatisha CCM DAR ingawa wanachakachuliwa,Mbeya-Mjini,Iringa-Mjini,Arusha-Mjini-Arumeru,Moshi yote,Mwanza,Kigoma,Musoma.
Hayo yote still CCM hawajifunzi kabisa na kulitambua hilo kadri siku ziendazo CCM wana poteza watu