Huyu ndiye Simon Kisena mnunuzi wa UDA?

Mwenye kafotografu kake akamwage hapa tusije kupoteza salamu zetu njiani kusalimia maharamia wazalendo
 
watanzania lazima tujue kuchanganua mambo! mimi nikiangalia madhaifu ya viongozi ne mengi sana! tukuamua kumfatilia kila mtu katika uongozi wake klafanya nini nadhani itabidi tujenge mahabusu zingine make watu wameoza mno!

ombi langu! kama hawa jamaa simon group wamefata sheria na kama mkataba unaonekana unatija kwa wakazi wa dar es salaam ambao ndo wadau wakuu wa uda basi tumuache tuangalie, madini yamechukuliwa hadi sasa yanaenda kuisha na hakuna kinachoendelea! uda irudi mikononi mwa wananchi ni mkakati upi upo kufufua uda mpaka sasa huku hali bajet ya wizara husika imesomwa na hatukuona fungu hata cent moja ya uda???

sisi ndo tunakwamishana wenyewe na hayahaya ndo yalitokea kwa mengi na kilimanjaro! tusiongee tu kwa kusoma magazeti na forums kama hizi bali twende nje ya mipaka tufanye due deligence then from there you can speak na sio mambo ya siku hizi kila mtu mwndishi wa habari, kila mtu mwanasiasa, kila mtu mwanasheria. hatuwezi kufika tuache vyombo husika vifanye kazi yake!

mermart ametoa ya uda na msome mmjiridhishe

nawasilisha

Mkuu muwekezaji wa UDA inabidi tuwe na uhakika nae (sio kwamba hatutaki uwekezaji lakini tumeona kampuni nyingi zimekuwa sikifilisiwa kwa jina la uwekezaji). Kwahiyo mkuu uzalendo au utanzania sio kigezo cha kupewa UDA

Alafu nadhani kuna kampuni ambayo ilichunguza kama hii Simon Group wanaweza kuendesha UDA na wakasema kwamba management yake haiwezi kuendesha UDA (correct me if am wrong)

Na kuhusu tuache vyombo husika vifanye kazi bahati mbaya vyombo husika havifanyi kazi... na uzuri wa Forum ni kwamba hapa kuna Jamii nzima.., kuna wanasiasa, kuna wanasheria, kuna waandishi wa habari n.k. (kwahiyo JF ni yote hayo...)
 
JMK, amrisha nguvu ya UMMA, la sivyo wape hiyo Tenda CDM!
 
mkubwa ungetupa zaidi ni wapi huyu robert kisena alisoma shahada ya kwanza? au hakuendelea tena na shule baada ya kufukuzwa? ili pia tujue inawezekana kachakachua hadi shahada ya kwanza n katumia jina lingine kabisa kwa sababu nchi yetu in mifumo dhaifu ya kugundua wezi
 
mkubwa ungetupa zaidi ni wapi huyu robert kisena alisoma shahada ya kwanza? au hakuendelea tena na shule baada ya kufukuzwa? ili pia tujue inawezekana kachakachua hadi shahada ya kwanza n katumia jina lingine kabisa kwa sababu nchi yetu in mifumo dhaifu ya kugundua wezi
<br />
<br />
Alikuwa ana elimu ya sekondari mpaka uchaguzi mkuu uliopita.Sidhani kama inaweza kuwa tofauti na sasa.
 
Bavicha mkijikita kwenye investigation story kama hizi kwa wafanyabiashara, wafanyakazi na wanasiasa uchwara tija itaonekana, na kama mnanihitaji kwenye timu ni pm
 
Nadhani hii issue kaisuka Manji(mhindi) hasa baada ya Simon Group kuhoji kulikoni milioni 20 kwa mwaka kwa heka zaidi ya 12 kapangishwa manji hali yakuwa wao wanalipa 200 kwa robo tatu ya Heka.

Manji akadai wao ni nani kuhoji hili,na hiyo UDA hawataichukua.Habari ndiyo hiyo Mhindi anachomeka watanzania wachang'anyikiwe kisha baadae achukue kiulaini kupitia mlango wa nyuma.
Rubbish argument, kwahiyo aurumiwe kwa hilo tu!?atahukumiwa kwa makosa aliyotenda na haki itasimama!
 
Ni true......
Namfahamu sana huyu bwana historia yake ni ya kuunga unga tu.
 
Kisena Mzee wa "New Era".Ginneries za Mwanza zote kawatapeli NYANZA CO-OPERATIVE UNION(?)
 
Kapuya anabisha nini?mbona ukienda ktk kitabu cha wageni pale TIC(Tanzania Investment Centre) siku ya 3/08/2011,saa 13:25 aliingia na kujitambulisha kutoka ktk kampuni ya ROBESIKA?Kwenye hili dili na mtu mzima Kapuya yumo!
Hii ndio inatakiwa -"facts ... facts....facts"
 
Kapuya anabisha nini?mbona ukienda ktk kitabu cha wageni pale TIC(Tanzania Investment Centre) siku ya 3/08/2011,saa 13:25 aliingia na kujitambulisha kutoka ktk kampuni ya ROBESIKA?Kwenye hili dili na mtu mzima Kapuya yumo!
Kuna watu wana data za uvunguni
 
Duh!mkuu nasita kuamini kuwa historia yake kielimu imeishia hapo alipofukuzwa milambo.Kama unajua endelea kutujuza mkuu.
hakufukuzwa, aliondoka katika mazingira ya kutatanisha, ni kweli huyu jamaa alikuwa ni msaliti mbaya sana nakumbuka ilikuwa ni mwaka 1993 na 1994, vikao vyote vya migomo vilivyokuwa vinafanywa na wenzake wa A-level, taarifa zilikuwa zinapenya zinamfikia mkuu wa shule enzi hizo alikuwa mr. Msemakweli, wakajiuliza huyu taarifa anazipata vipi na kipindi hicho hakuna mambo ya simu za mikononi, nakumbuka siku hiyo kikafanywa kikao usiku na wengine wakazunguka njia zote za panya pale milambo ndo hapo akaonekana na watu wakamfatilia mpaka anaingia kwenye makazi ya mkuu wa shule, hivyo walimuita na wakamwambia kijana tumeona kila kitu ukiendelea yatakukuta, baadae tukasikia kuwa jamaa kahamishiwa pugu kwenda fanya mitihani, ila hakufukuzwa kama alivyosema hapo juu, alihamishwa na nilisikia kuwa alimalizia pugu na ilikuwa ni mwaka 1994, ila yaliibuka maneno kuwa jamaa anaweza akawa ni usalama wa taifa, na huo ndo ukawa mwisho wa mr. Msemakweli kuwa mkuu wa shule ya milambo
 
Ina maana kaishia O-Level au?
hapana hakuishia O-level, alikuja Milambo mwaka 1991 kuanza form 5 na mwaka 1994 akaondoka katika mazingira ya kutatanisha, ila hakufukuzwa, kwani kipindi cha mgomo wa milambo secondary mwaka 1993 - 1994 hakuna mwanafunzi aliyefukuzwa, kipindi hicho alikuwa ni mwembamba sana, yani mumesema hapa ndo nimemkumbuka na alikuwa anaongea kama kameza redio, nahisi alikuwa anachukua mchepuo wa kifaransa au EGM, nimemkumbuka huyu kaka,
 
hahahahaaa namkumbuka sana bwana KISENA...ni mzuri wa kujenga hoja,mtu wa lobbying,ata kitendo cha kuondolewa MILAMBO ni kuwa na trust ya mgt!enzi hzo mi nipo TABORA SCHOOL...tulimuhfadhi bweni la Sina House il warambo wasmpe kipgo,akapga kombat zetu,akapga kwata sku kadhaa mpaka alpopata testmon ya kwenda Pugu sec.Ana tabia ya usalit na kautapeli
....Nikiwa 2nd Chief pale Boys 1992......
 
SIMON GROUP CO.LTD inayojitambulisha kununua shirika la usafiri Dar es Salaam ni wawakilishi wa viongozi wa Tanzania katika kufisadi mali za Umma.

Anae jitambulisha kama Robert Simon Kisena ambae alisoma Nsumba Sekondari School akijulikana kwa jina JOKALA KISEANA na kumaliza Kidato cha Nne mwaka 1991 baada ya hapo alijiunga na Kidato cha Tano Shule ya Sekondari Mirambo Tabora mwaka 1992, hapa alifukuzwa akiwa Kaka Mkuu baada ya kuwasaliti wanafunzi wenzake aliokuwa kiwachongea kwa mwalimu mkuu na wanafunzi kuungana na kusababisha kusimamishwa, baada ya hapa JOKALA KISENA ambae leo anajulikana kwa majina ya Robert kisena bila kutoa sababu za kubadilisha jina lake la awali alikuwan akikaa na rafiki yake uku akifanya kazi NCU Ushirika kanda ya ziwa-Nyanza,walikosana na rafiki yake aliyekuwa anakaa kwake baada ya kumpa mimba dada wa rafiki yake aliyekuwa akikaa kwake.

Katika Uchaguzi mkuu wa 1995 Kisena alichukuliwa na John Cheyo wakati huo Cheyo akiwa mgombea urais na kumuweka kuwa kama masidizi wa kusimamia mali zake Shinyanga,hapa ndio kisena alipata pesa kidogo isiyoweza kununua UDA.kisena katika kusimamia mali za cheo alifanikiwa kujenga nyumba Tatu zote zipo Nyegezi mwanza eneo lijulikanalo kwa jina la CALIFONIA.

Baada ya hapo ndio akaanzisha SIMON Agency iliyokuwa inajishughulisha na uuzaji wa spare za magari kwa muda na baadae akajiunga na Profesa Juma Kapuya akiwa waziri ambapo walifanikiwa kuanzisha kampunin iliyofahamika kwa jina la ROBASIKA-Robert Simon Kapuya na kufanikiwa kuchota bilioni 13 za wananchi kupitia Benki ya NMB mwanza kwa ushawishi wa kapuya na kuanzisha ginery ya pamba katika jimbo la kapuya .

Ndio maana ukifuatilia pesa zilizolipwa kwenye account ya Iddy Simba imelipwa na Robasika kwa niamba ya Simon Group ili wafanikiwe kuchukua UDA na Kapuya akiwamo uku Simon Group wakidai kuwa ni malipo iliyokuwa ikidaiwa na Simon Group kutoka kwa Robasika kutokana na mkataba kati ya Simon Group na Robasika wa kusafirisha mizigo.Robet kisena ni chambo tu katika kuwafanikishia watu maalum kazi.

Watanzania hapa kuna ujambazi wa mchana, tunaibiwa, Juma Kapuya, Iddy Simba, Didas Masaburi wanahujumu watanzania kupitia UDA.
na kuongezea hakuwahi kuwa kaka mkuu milambo wala kuwa kiongozi yoyote kuanzia monitor darasani wala kiranja wa bweni, nimesoma milambo 91-94 namfahamu sana huyu kaka kwa usaliti, na alihamishwa na mkuu wa shule kipindi kile kunusuru maisha yake na kumalizia pugu, kulikuwa na vichwa vya kikurya na vilikuwa havipendagi ujinga
 
Back
Top Bottom