Huyu ndiye Ruge ninayemfahamu!

Huyu ndiye Ruge ninayemfahamu!

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Hata kama kwa ubinadamu wetu tutatashindwa kusimama na huyu ndugu hususan kwa kipindi hiki yupo Mungu aliye hai atamtetea.

Ndio, Hakuna binadamu asiye na mapungufu, Ruge kama binadamu inawezekana ana mapungufu yake lakini katika hili suala la Clouds Vs "Yule Bwana" kwa binadamu mwenye akili za kawaida tu utakubaliana nami kwamba Ruge ameonyesha hekima na busara ya kiasi cha juu sana.

Alichoamua Kukisimamia Ruge ni kusema UKWELI, Ukweli kwamba "Yule Bwana" alikosea, pamoja na kwamba walikuwa marafiki lakini Ruge aliamua kusimama katika misingi ya ukweli, misingi ya kikazi, Kwamba "Yule bwana" alikosea. Kuna vitu wala havihitaji degree kuvielewa, yaani kule tu kwenda pale tena usiku tena na silaha bila mhusika kujua, na bila warrant ni kosa kisheria.

Leo baada ya kumsikia Ruge akijibu shutuma za "Yule Bwana" nimejisikia amani sana, Maana badalaa ya kujibu kwa jaziba, kwa matusi, kwa mhemko, Ruge kajishusha kaongea kwa ustaarabu kama binadamu, Pamoja na kuambiwa hana akili, anaimba ngonjera, na maneno mengine mengi ya kuudhi lakini jamaa kajibu ki proffesional na kwa unyenyekevu. U have my respect brother.

Mi nafikiri kama taifa kama tunakuwa na viongozi wa namna hii, ambao wanashindwa kuwa na akiba ya maneno na kuongea tu kama vijana wa mtaani bila kuangalia kuwa kuna watu wengi sana tunawaangalia ili kujifunza kwao, tutakuwa tunaelekea pabaya sana.
Haukatazwi kuwa na mahaba naye mko wengi
 
Kama 'yule bwana' na Ruge ni marafiki kwa nini Ruge hakumuita chemba wakamalizana kirafiki badala ya kumuexpose kwenye jamii?usidhan tunaakili za nyumbu !tunajua kilichokuwepo nyuma ya pazia!Ruge anatumiwa!ametumika!

Amuite chemba wa nini sasa wakati CCTV zilishamuonyesha wazi akivamia ofisi ya watu na mitutu??
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Hata kama kwa ubinadamu wetu tutatashindwa kusimama na huyu ndugu hususan kwa kipindi hiki yupo Mungu aliye hai atamtetea.

Ndio, Hakuna binadamu asiye na mapungufu, Ruge kama binadamu inawezekana ana mapungufu yake lakini katika hili suala la Clouds Vs "Yule Bwana" kwa binadamu mwenye akili za kawaida tu utakubaliana nami kwamba Ruge ameonyesha hekima na busara ya kiasi cha juu sana.

Alichoamua Kukisimamia Ruge ni kusema UKWELI, Ukweli kwamba "Yule Bwana" alikosea, pamoja na kwamba walikuwa marafiki lakini Ruge aliamua kusimama katika misingi ya ukweli, misingi ya kikazi, Kwamba "Yule bwana" alikosea. Kuna vitu wala havihitaji degree kuvielewa, yaani kule tu kwenda pale tena usiku tena na silaha bila mhusika kujua, na bila warrant ni kosa kisheria.

Leo baada ya kumsikia Ruge akijibu shutuma za "Yule Bwana" nimejisikia amani sana, Maana badalaa ya kujibu kwa jaziba, kwa matusi, kwa mhemko, Ruge kajishusha kaongea kwa ustaarabu kama binadamu, Pamoja na kuambiwa hana akili, anaimba ngonjera, na maneno mengine mengi ya kuudhi lakini jamaa kajibu ki proffesional na kwa unyenyekevu. U have my respect brother.

Mi nafikiri kama taifa kama tunakuwa na viongozi wa namna hii, ambao wanashindwa kuwa na akiba ya maneno na kuongea tu kama vijana wa mtaani bila kuangalia kuwa kuna watu wengi sana tunawaangalia ili kujifunza kwao, tutakuwa tunaelekea pabaya sana.
Miiko iwe upande wote,miiko gani wakati mtu anatumia rushwa ya ngono kwa wafanya kazi wake hadi anazaa nao.
 
hivi jina la bashite a.k.a Makonda liko censored? naona watu wanaandika kwa mafumbo sana! huyo pimbi (makonda) alitakiwa awe ameshakula kitu cha 9MM (shaba) kitambo sana. some other people have to die for public interest....
 
Bangi mnazovuta zitawaehua kwa sababu hamli chakula Bora.

Jifunze kutafakari jambo kiundani na si kuwa shabiki
Waza nje ya box
Watakulaje chakula bora wakati hali ya maisha ni magumu? Hali hii imesababishwa na Bwana yule.
 
Wewe haujui chochote,
mie naanzia hapa... unamjua Saida Karoli?
Ruge kwa kushirikiana na Felician Mutta wamemtapeli mpaka leo kawa mkaanga chips, labda akapige shoo kuzimu lakini hapa duniani pesa yote itakayoingizwa ni ya kwao. jiulize why Ruge.

Unamjua Joseph Mbilinyi (Sugu) Huyu aliingia mgogoro wa wazi wazi na Ruge na kundi la Vinega, jiulize why Ruge
Unamjua Lady Jay Dee mpaka kesho hutoisikia nyimbo yake ikipigwa na vituo vya clouds? jiulize why Ruge

Unamjua Albert Mangwair, Huyu alitumwa naniii na ruge south......... ......... after that clouds ikagharamia na msiba na kumaliza mambo kimyakimya
Wasanii kama akina Juma Nature, AY, n.k n.k namaanisha wakongwe wanamjua kwa mikwala yake ukienda kinyume na matakwa yake ni lazima akupoteze enzi hizo za akina mabaga fresh, solid family n.kn.k

Pamoja nayo pia Ana mazuri yake.

Ukitaka kumchambua mtu lete historia yake ndio utapata picha yake halisi yukoje,
Hata hivyo jamaa mnafiki, na anatumiwa
Well said! Clouds kwishney!
 
Uhusiano wa uliyoandika Na uvamizi clouds ukoje hapa
 
Muhuni ni yeye anaekwenda kuvamia studio na bunduki,nikukaribishe kwangu alafu baada ya muda unakuja kunivamia na mabunduki eti baadae nije nikae na wewe tuyamalize,pumbavu Bashite,MTU anamkataa mzazi wake Lana tupu

Well said Jana amepata laana ya kumkataa baba Yale aliyekubali bashite ni mwanae kwa mwandishi wa mtanzania,huyu ni mtoto wa shetani
 
Hao marafiki.wameshatumiana sana.waacheni wapambane

Wakati walipo kuwa marafiki mliongea sana
Leo wamegombana.bhado mnaongea
Si mngeweka sherehe
 
Kuna tatizo la malezi kaka.haihitajiki kwenda veta kujifunza adabu na hekima. Bwana yule anasumbuliwa na kiburi ambacho mwisho ni maangamizi yanayomnyemelea.
 
Kama Ruge anasimamia ukweli atueleze uhusika wake na Kinje kuhusu yule aliyepasukiwa na madawa South Afrika! Nini kilimsababisha akaingia gharama kuhakikisha mwili unarudi na kituo chake kutoka coverage ile? Ruge ni vizuri ukanyamaza kuna Mengi wasiyoyajua WENGI JUU YAKO, UKIBISHANA SANA WATAYAANIKA ITAKUWA SHEEEDA!
 
Kama bwana yule aliemuweka ana ka chembe ka busara amtoe Dar haraka...........ni busara tu itamlinda huyo Bashite aliemsaliti Baba yake Mzazi mchana kweupe!!!
 
Back
Top Bottom