Huyu ndiye Ruge ninayemfahamu!

Anajijua alivyo na akijibu hovyo wakimuunganishia doti atapotea, ukijijua mapungufu yako lazima uwe mpole. Hujiulizi kwanini kesi ya uvamizi haikuripotiwa polis? Hujiulizi kwanini taarifa ya uvamizi waliitoa wengine wakati mmiliki alitoa ufafanuzi tu? Hujiulizi kwanini bwana yule ametumia maneno chokozi kwa Ruge?. Bwana yule amefanya vile kama mtego na Ruge angejichanganya tu huenda tunge yasikia mengi. Hawa jamaa wanacheza na akili zetu tu, ngoja niingie shamba nikafanye yanayo nihusu
Yaani umeokoteza uwongo wa Bashite halafu unauleta hapa? Utasemaje kesi ya uvamizi haijaripotiwa polisi wakati Sirro anasema polisi wanaendelea na upelelezi? Kwa akili yako wewe na Bashite mwenzako polisi wanafanya upelelezi kwa tukio ambalo halikuripotiwa polisi?
 
Achana na Chuki binafsi mbona RC Jana kajieleza vizuri sana na mwenye kutaka kuelewa tulimuelewa sana hatukutegemea kuwa hizo zilikuwa fitina za madawa ya kulevya tumuache achape kazi mbona mazuri haya sifiwi acheni fitina Mungu anawaona
Eti fitina za madawa ya kulevya, hamuoni hata hata aibu au mnadhani watu wote wanatoka Kolomije?
 
Yaani umeokoteza uwongo wa Bashite halafu unauleta hapa? Utasemaje kesi ya uvamizi haijaripotiwa polisi wakati Sirro anasema polisi wanaendelea na upelelezi? Kwa akili yako wewe na Bashite mwenzako polisi wanafanya upelelezi kwa tukio ambalo halikuripotiwa polisi?
Nazungumzia time frame toka kutokea kwa tatizo mpaka kuripotiwa, ujue iliripotiwa siku tofauti na ya uvamizi na taarifa za awali zilitolewa na watu wa nje ya clouds.
 
Acheni ujinga ninyi,hapa hakuna kinachoendelea ni usanii mtupu,hakuna mtu anaevamiwa na asiende kutoa taarifa kituo cha polisi,na kingine unavamiwa ijumaa usiku,jumamosi asubuhi unaenda kw aliekuvamia na kupiga soga,hii inawezekana kweli?siku zote adui hawezikuwa rafiki ila rafiki anawezakuwa adui.wabeja sana
Nenda kamuulize kamanda Sirro, kwanini anasema polisi wanaendelea na upelelezi bila kesi au tukio hilo kuripotiwa polisi! Ndio maana nchi hii inaongoza kwa idadi ya wajinga, kama sio ujinga huwezi kuamini uongo wa Bashite kwamba kesi haikufunguliwa polisi wakati polisi wanasema wanaendelea na upelelezi!
 
Hilo jibu litamuuma bashite mpaka anaingia kaburini maana alidhani atajibishwa ...kama yule mgogo anavyojibishana na kina lulu na mange ili apate kiki safiii tumeonyeshwa kiwango cha kufikiri cha ruge na hili yai letu...la taifa(viza)... Hakuna kujibishana naye apotelee startimes na tbc...ruge ungekuwa hapa karibu ningekugee zawadi tamuu
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Hata kama kwa ubinadamu wetu tutatashindwa kusimama na huyu ndugu hususan kwa kipindi hiki yupo Mungu aliye hai atamtetea.

Ndio, Hakuna binadamu asiye na mapungufu, Ruge kama binadamu inawezekana ana mapungufu yake lakini katika hili suala la Clouds Vs "Yule Bwana" kwa binadamu mwenye akili za kawaida tu utakubaliana nami kwamba Ruge ameonyesha hekima na busara ya kiasi cha juu sana.

Alichoamua Kukisimamia Ruge ni kusema UKWELI, Ukweli kwamba "Yule Bwana" alikosea, pamoja na kwamba walikuwa marafiki lakini Ruge aliamua kusimama katika misingi ya ukweli, misingi ya kikazi, Kwamba "Yule bwana" alikosea. Kuna vitu wala havihitaji degree kuvielewa, yaani kule tu kwenda pale tena usiku tena na silaha bila mhusika kujua, na bila warrant ni kosa kisheria.

Leo baada ya kumsikia Ruge akijibu shutuma za "Yule Bwana" nimejisikia amani sana, Maana badalaa ya kujibu kwa jaziba, kwa matusi, kwa mhemko, Ruge kajishusha kaongea kwa ustaarabu kama binadamu, Pamoja na kuambiwa hana akili, anaimba ngonjera, na maneno mengine mengi ya kuudhi lakini jamaa kajibu ki proffesional na kwa unyenyekevu. U have my respect brother.

Mi nafikiri kama taifa kama tunakuwa na viongozi wa namna hii, ambao wanashindwa kuwa na akiba ya maneno na kuongea tu kama vijana wa mtaani bila kuangalia kuwa kuna watu wengi sana tunawaangalia ili kujifunza kwao, tutakuwa tunaelekea pabaya sana.
Hii movie ndio sasa inaanza,kuna mambo yanakuja,na tusubiri kwanza,lakini bado kuna masuala mengi ya kuyatizama na Ni mchezo wa hatari sana,sijui niseme vipi,kwamba ni Fisi au panya amenasa katika mtego,time will tell us.
 
Anajijua alivyo na akijibu hovyo wakimuunganishia doti atapotea, ukijijua mapungufu yako lazima uwe mpole. Hujiulizi kwanini kesi ya uvamizi haikuripotiwa polis? Hujiulizi kwanini taarifa ya uvamizi waliitoa wengine wakati mmiliki alitoa ufafanuzi tu? Hujiulizi kwanini bwana yule ametumia maneno chokozi kwa Ruge?. Bwana yule amefanya vile kama mtego na Ruge angejichanganya tu huenda tunge yasikia mengi. Hawa jamaa wanacheza na akili zetu tu, ngoja niingie shamba nikafanye yanayo nihusu
Nenda shamba huku ukijua kesi inayofanyiwa upelelezi ni kwamba ilisharipotiwa polisi
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Hata kama kwa ubinadamu wetu tutatashindwa kusimama na huyu ndugu hususan kwa kipindi hiki yupo Mungu aliye hai atamtetea.

Ndio, Hakuna binadamu asiye na mapungufu, Ruge kama binadamu inawezekana ana mapungufu yake lakini katika hili suala la Clouds Vs "Yule Bwana" kwa binadamu mwenye akili za kawaida tu utakubaliana nami kwamba Ruge ameonyesha hekima na busara ya kiasi cha juu sana.

Alichoamua Kukisimamia Ruge ni kusema UKWELI, Ukweli kwamba "Yule Bwana" alikosea, pamoja na kwamba walikuwa marafiki lakini Ruge aliamua kusimama katika misingi ya ukweli, misingi ya kikazi, Kwamba "Yule bwana" alikosea. Kuna vitu wala havihitaji degree kuvielewa, yaani kule tu kwenda pale tena usiku tena na silaha bila mhusika kujua, na bila warrant ni kosa kisheria.

Leo baada ya kumsikia Ruge akijibu shutuma za "Yule Bwana" nimejisikia amani sana, Maana badalaa ya kujibu kwa jaziba, kwa matusi, kwa mhemko, Ruge kajishusha kaongea kwa ustaarabu kama binadamu, Pamoja na kuambiwa hana akili, anaimba ngonjera, na maneno mengine mengi ya kuudhi lakini jamaa kajibu ki proffesional na kwa unyenyekevu. U have my respect brother.

Mi nafikiri kama taifa kama tunakuwa na viongozi wa namna hii, ambao wanashindwa kuwa na akiba ya maneno na kuongea tu kama vijana wa mtaani bila kuangalia kuwa kuna watu wengi sana tunawaangalia ili kujifunza kwao, tutakuwa tunaelekea pabaya sana.
We ndo huna akili za kawaida. Umeshikwa maskio na ruge au ni muuza unga unashilikiana naye. Sisi tunaomuunga mkono makonda tuache
 
Dah...Kama alisema ukweli...Basi itakuwa kazi ngumu sana kumpata mtu muongo Bongo :D:D:D
Njia ya muongo wala si ndefu ni fupi sana.Angalau hili lina pia ushahidi wa picha japo sina hakika kama kimahakama utapokelewa.Ushaidi mwingine utapatikana kutoka kwa waliokuwa studio ilipovamiwa na wale ni mashaidi na kitakachotolewa kwao ni ushaidi ni hali halisi ya tukio iwe itambana ruge ama bashite huo ni ushaidi na ndio ukweli Ama uongo wa tukio
 
Ruge ni mnafiki Mkuu, alipokubali kutumikia magwiji wa Dawa za kulevya kwa kusingizia kituo chake kimevamiwa.

Kushindwa kuthibitsha tukio hilo, au kufungua jalada polisi
Unaweza kuthibitisha hilo? Its a very serious allegation! Kwa hiyo bwana "O" alienda kuwasabahi tuu?
 
Jamani nimecheka
Leo nimeamini kweli kuna binadamu na mifugo..

Ulichoandika kinaonesha wewe sio binadamu!
Mwenye tuhuma za kuvamia kituo hajakanusha lakini mifugo yake inakanusha licha ya kuwepo kwa ushahidi usioacha shaka yeyote!

Kweli kuna binadamu na mifugo!
Mimi, duh kweli hapana sio kwa maneno haya.
 
Mm nachukia watu wa aina yako unakulupikia treni kwa mbele mm ni mmoja wa watu waliokuwa wanamchukia ruge kumbuka tukio lilifanyika ijumaa ruge akaongea j3 na akasema alisubili kwa siku 2 aone kama jamaa ataomba msamaha kimya ndio akaamua kusema kilichotokea tusiwe wanafiki na tusilewe kwa ajili ya madaraka
Somo la kiswahili ulifaulu?std 7 ulimaliza?maksi zako je? Endelea kuchukia....nami naendelea kukukumbusha akili zetu si za nyumbu!
 
Kama kawa; propaganda at work. Nimeitafuta clip ya Ruge napata shida kuipata. Hilo tu linaashiria kitu fulani, naomba mwenye hiyo clip
 
Back
Top Bottom