Huyu ndiye Ruge ninayemfahamu!

Huyu ndiye Ruge ninayemfahamu!

Kama 'yule bwana' na Ruge ni marafiki kwa nini Ruge hakumuita chemba wakamalizana kirafiki badala ya kumuexpose kwenye jamii?usidhan tunaakili za nyumbu !tunajua kilichokuwepo nyuma ya pazia!Ruge anatumiwa!ametumika!
Mm nachukia watu wa aina yako unakulupikia treni kwa mbele mm ni mmoja wa watu waliokuwa wanamchukia ruge kumbuka tukio lilifanyika ijumaa ruge akaongea j3 na akasema alisubili kwa siku 2 aone kama jamaa ataomba msamaha kimya ndio akaamua kusema kilichotokea tusiwe wanafiki na tusilewe kwa ajili ya madaraka
 
Clouds waliishazoea kuwadhalilisha na kuwarudisha nyuma Kimaendeleo kwa baadhi ya Watu na Wasanii ila kwa Makonda wametua mizigo yao! Piga Kazi Makonda
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Hata kama kwa ubinadamu wetu tutatashindwa kusimama na huyu ndugu hususan kwa kipindi hiki yupo Mungu aliye hai atamtetea.

Ndio, Hakuna binadamu asiye na mapungufu, Ruge kama binadamu inawezekana ana mapungufu yake lakini katika hili suala la Clouds Vs "Yule Bwana" kwa binadamu mwenye akili za kawaida tu utakubaliana nami kwamba Ruge ameonyesha hekima na busara ya kiasi cha juu sana.

Alichoamua Kukisimamia Ruge ni kusema UKWELI, Ukweli kwamba "Yule Bwana" alikosea, pamoja na kwamba walikuwa marafiki lakini Ruge aliamua kusimama katika misingi ya ukweli, misingi ya kikazi, Kwamba "Yule bwana" alikosea. Kuna vitu wala havihitaji degree kuvielewa, yaani kule tu kwenda pale tena usiku tena na silaha bila mhusika kujua, na bila warrant ni kosa kisheria.

Leo baada ya kumsikia Ruge akijibu shutuma za "Yule Bwana" nimejisikia amani sana, Maana badalaa ya kujibu kwa jaziba, kwa matusi, kwa mhemko, Ruge kajishusha kaongea kwa ustaarabu kama binadamu, Pamoja na kuambiwa hana akili, anaimba ngonjera, na maneno mengine mengi ya kuudhi lakini jamaa kajibu ki proffesional na kwa unyenyekevu. U have my respect brother.

Mi nafikiri kama taifa kama tunakuwa na viongozi wa namna hii, ambao wanashindwa kuwa na akiba ya maneno na kuongea tu kama vijana wa mtaani bila kuangalia kuwa kuna watu wengi sana tunawaangalia ili kujifunza kwao, tutakuwa tunaelekea pabaya sana.
Angeuchuna na kuendelea na maisha ningepna wa maana, kwa kukimbia fasta na kujibu ninishara kwamba anacheza ngoma za wengine!
 
Ruge ni mnafiki Mkuu, alipokubali kutumikia magwiji wa Dawa za kulevya kwa kusingizia kituo chake kimevamiwa.

Kushindwa kuthibitsha tukio hilo, au kufungua jalada polisi
Muuza unga mkuu ni makonda acha kuwasingizia Uongo watu wengine
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Hata kama kwa ubinadamu wetu tutatashindwa kusimama na huyu ndugu hususan kwa kipindi hiki yupo Mungu aliye hai atamtetea.

Ndio, Hakuna binadamu asiye na mapungufu, Ruge kama binadamu inawezekana ana mapungufu yake lakini katika hili suala la Clouds Vs "Yule Bwana" kwa binadamu mwenye akili za kawaida tu utakubaliana nami kwamba Ruge ameonyesha hekima na busara ya kiasi cha juu sana.

Alichoamua Kukisimamia Ruge ni kusema UKWELI, Ukweli kwamba "Yule Bwana" alikosea, pamoja na kwamba walikuwa marafiki lakini Ruge aliamua kusimama katika misingi ya ukweli, misingi ya kikazi, Kwamba "Yule bwana" alikosea. Kuna vitu wala havihitaji degree kuvielewa, yaani kule tu kwenda pale tena usiku tena na silaha bila mhusika kujua, na bila warrant ni kosa kisheria.

Leo baada ya kumsikia Ruge akijibu shutuma za "Yule Bwana" nimejisikia amani sana, Maana badalaa ya kujibu kwa jaziba, kwa matusi, kwa mhemko, Ruge kajishusha kaongea kwa ustaarabu kama binadamu, Pamoja na kuambiwa hana akili, anaimba ngonjera, na maneno mengine mengi ya kuudhi lakini jamaa kajibu ki proffesional na kwa unyenyekevu. U have my respect brother.

Mi nafikiri kama taifa kama tunakuwa na viongozi wa namna hii, ambao wanashindwa kuwa na akiba ya maneno na kuongea tu kama vijana wa mtaani bila kuangalia kuwa kuna watu wengi sana tunawaangalia ili kujifunza kwao, tutakuwa tunaelekea pabaya sana.

Na wewe unamsifu....mwenzio ana linda maslah..
 
huu ujinga utatumaliza, Makonda amesema Ruge amekuwa akisema yeye ndye master plan therefore master mind katka kudesign mipango yote ya Maendeleo DSM, so that means Makonda yeye yupo tu ofisini anakula hela za kodi bure, huo ni ......je ulitegemea amjibu nini? na Ruge kakiri mwenyewe kuwa kweli nyimbo anatunga na hata mashairi anawauzia wasanii angekanusha hilo ndyo tungesema Makonda ni Muongo.
 
"Ruge leo tunamkomesha" nasikia Mheshimiwa aliyatamka hayo maneno off mic.
 
Watu wengine ni wavivu kusikiliza kama vile walivyo wavivu kwenye kusoma vitabu, na huyu mleta mada cjui kama ulisikiliza mahojiano yote?
 
Ahsante kwa taarifa...

"Yule bwana" ni mtoto wa "Bwana yule"

Yule bwana leo kalikana jina la baba yake mzazi.

Kuna mambo mengine hata shetani anayaogopa, sema tunamsingizia tu.
Aise ni hatari...unamkana baba yako
Jamaa kilimo.chake cha LAANA anakilima kwa ustadi wa hali ya juu, na atapata MAVUNO MAZURI SANA YA LAANA ANAYOLIMA
 
Ahsante kwa taarifa...

"Yule bwana" ni mtoto wa "Bwana yule"

Yule bwana leo kalikana jina la baba yake mzazi.

Kuna mambo mengine hata shetani anayaogopa, sema tunamsingizia tu.
Sheitwani huwa anasingiziwa mambo mengi sana na binadamu sema yeye ni mstaarabu sana huwa ananyanaza kimya hajibu kitu
 
Ruge ni mnafiki Mkuu, alipokubali kutumikia magwiji wa Dawa za kulevya kwa kusingizia kituo chake kimevamiwa.

Kushindwa kuthibitsha tukio hilo, au kufungua jalada polisi
Pepo lako ni la kutolewa kwa makofi.We ktk ishu ya madawa ya kulevya unajua nini? Funga domo lako
 
Sheitwani huwa anasingiziwa mambo mengi sana na binadamu sema yeye ni mstaarabu sana huwa ananyanaza kimya hajibu kitu
Afu huwa anaangalia anayemsingizia ni nani. Kama ni kichwa maji wala haangaiki naye... ndo kama hivi sasa mtu anakana jina la baba yake wakati baba alishakiri ni lake. Unaweza kuta anadhani Samwel Sitta ndo baba yake, au kaamua kuwa mtoto wa Bwana Yule
 
Naona haya mambo nyuma ya pazia yako tofauti na wanavyotulisha sisi wananchi.

Kuna sehemu yule bwana alisema alimsaidia Ruge kupambana na maadui zake. Picha ya haraka haraka moja ya Maadui wa Ruge ni Efm.

Je inawezekana Yule Bwana alichomeka jina la Majizzo ili kuchafua Efm.

Mambo ni mengi na vita haikuwa ya Madawa.
 
Back
Top Bottom