Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,274
Wakilijua hili bora wakae kimya kwani hakuna atakayepona ktk vita vyaoThe best friend always becomes the worst enemy.
Sisi yetu macho.
Wakilijua hili bora wakae kimya kwani hakuna atakayepona ktk vita vyaoThe best friend always becomes the worst enemy.
Sisi yetu macho.
Mambo mengi sijamuelewa RC ila hili la tume linaukakasi mwingi sana.Hahahahahaha kwanini alitokea mlango wa Chooni alipoitwa na ile tume??Nimeamini kweli kabisa alitaka kuwaweka wale vijana ndani kwa kuwasingizia madawa ya kulevya. Hakika penye uongo ukweli hujitenga.
Haya na yule rafiki anayeitwa Almasi kwa kiswahili ameenda kumpongeza Ruge na wameona umuhimu wa Ruge na akasema yupo pamoja na Ruge sasa sijui Almasi atapona kweli!
Halafu Rafiki wa Mzee wa kuzungusha ndiyo drug Lords wanaompa tiketi na pesa za kuchezea.
Kweli bashite kawbashite kweeeli, siamini km hizi zinazoongea hivi nazo ni akili.Hiyo haikua kamati, lilikua genge la wahuni na ufafanuzi wake RC Makonda kaelezea kwa ufasaha
Namimi nataka Ruge atuwekee clip tuone jinsi wafanyakazi wake walivyoteswa na kutishiwaRuge ni mnafiki Mkuu, alipokubali kutumikia magwiji wa Dawa za kulevya kwa kusingizia kituo chake kimevamiwa.
Kushindwa kuthibitsha tukio hilo, au kufungua jalada polisi
Hapo mie sielewi kabisa,eti miaka nenda rudi tunatembeleana kwangu unakula kwako nakunywa halafu ghafla unanituhumu eti nimekuja kwako bila taarifa,ebo!si ndiyo urafiki au.Kama 'yule bwana' na Ruge ni marafiki kwa nini Ruge hakumuita chemba wakamalizana kirafiki badala ya kumuexpose kwenye jamii?usidhan tunaakili za nyumbu !tunajua kilichokuwepo nyuma ya pazia!Ruge anatumiwa!ametumika!
halafu Sudi siku ya pili kaenda kupiga story na Makonda hahaha kweli ilikuwa isidingoNawe naomba uwe na akili kama umeonyeshwa clip mtu anavyoingia ndani na askari, why wasionyeshe clip ya kilichojili ndani, wameishia kulalama tu oooh! tumetishiwa na mitutu ya bunduki, mara Soud kapigwa, why wasionyeshe kilichoendelea ndani?
Ndio maana wapo hata wanao mwamini shetani. Yale maneno matatu ya Luge yana maana kuliko yale yaliyo ongewa zaidi ya masaa matatu, "nikiamua kutumia vyombo vyangu nani atasimama" ni kweli anavyo vyombo na walikuwepo waliokuwa navyo kabla yake, na hakuna chombo kitakacho mkatalia kumwangusha yeyote, lakini siku huwa hazigandi yana mwisho.Akili za nyumbu pekee ndio zinaweza kuamini igizo hilo.
Tukio litokee ijumaa,malalamiko yatolewe j'3. Alievamiwa amtembelee mvamiaji j'mosi akae kwake hadi SAA 4 usiku wakipiga story wakati ni usiku tu uliopita alimvamia. Kisha j'tatu mvamiwa apewe muda wa kupumzika eti kachanganyikiwa.
Hapo wataamini igizo hilo manyumbu pekee. Ruge anabusara kunyamaza kwani angezidi kujiaibisha
Mwisho wa siku bwana yule atakua pamoja tena na bwana huyuNa bwana yule anamlinda yule bwana
Vita ina mbinu nyingi saana kwa waelewa haya matokea yote ni mbinu za kivita ya wauza ngada na makondaRuge ni mnafiki Mkuu, alipokubali kutumikia magwiji wa Dawa za kulevya kwa kusingizia kituo chake kimevamiwa.
Kushindwa kuthibitsha tukio hilo, au kufungua jalada polisi
Muhuni ni yeye anaekwenda kuvamia studio na bunduki,nikukaribishe kwangu alafu baada ya muda unakuja kunivamia na mabunduki eti baadae nije nikae na wewe tuyamalize,pumbavu Bashite,MTU anamkataa mzazi wake Lana tupuHiyo haikua kamati, lilikua genge la wahuni na ufafanuzi wake RC Makonda kaelezea kwa ufasaha
bwana huyu amevunja rekodi ya kumbeba bwana yuleMwisho wa siku bwana yule atakua pamoja tena na bwana huyu
Please use your brain, awali clip inaanza kutembea kwenye mitandao ya kijamii, na maelezo ya kuwa mkuu wa mkoa amevamia kituo cha runinga, hakuna aliekuwa anajua, wala aliewaomba waonyeshe, pili kwa uwelewa wako kama kungekuwa na clip nyingine Makonda na askari wake, wakiwapiga wafanyakazi na vitako vya bunduki unadhani clouds wasingeionyesha? think twice brother!Kwanini wasimshtaki ili atoe clip yote???
Kwanini wamekaa kimya km kweli bashite ameonewa??
Uniona kimya wakati Polisi wao basi ujue clip INA makubwa ya bashite.
Zero in paper is translate zero in brain.Namimi nataka Ruge atuwekee clip tuone jinsi wafanyakazi wake walivyoteswa na kutishiwa