Huyu ndiye Ruge ninayemfahamu!

Huyu ndiye Ruge ninayemfahamu!

Ruge amemwacha "bwana yule" mbali sana kifikra! Hata kama Ruge ni mtunga ngonjera, kuna haja gani ya kudharau hiyo kazi yake. Nakuhakikishia bwana yule, haendi mbali. Mwisho wake ulishafika na "karma" imeanza kumtafuna. Anajifanya kumjua mungu sana wakati anadharau na kwa hao hao watu wa Mungu. Na haya maneno yake ya kujikomba kwa Mungu mchana wakati usiku yupo kwa waganga ndo atajikuta anajenga Babel siku sio nyingi.

Big up sana Ruge kwa kuonyesha ukomavu na bwana yule hana uwezo wa kushindana na watu wenye weledi hata siku moja, mind at your passion brother!!
Hahahaaaa asante sana kwa neno lako ndugu!
 
Tunasubiri tamko la Ruge Ila namshauri na nilishamshauri kabla.....atafute mtu wa kati au kwa sas reference ya Magu itasaidia amwite Makonda wakae waongee.....amwambie Makonda Aombe radhi media akubali kujishusha.....hapo atasamehewa na kukubaliwa na jamii upya!! Akiwa kiburi cha Magu shauri yake awamu ya itapita mwenzake atakuwa kinga atalindwa milele yeye je?
 
Back
Top Bottom