Huyu ndiye Ruge ninayemfahamu!

Fabian the Jr

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
756
743
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Hata kama kwa ubinadamu wetu tutatashindwa kusimama na huyu ndugu hususan kwa kipindi hiki yupo Mungu aliye hai atamtetea.

Ndio, Hakuna binadamu asiye na mapungufu, Ruge kama binadamu inawezekana ana mapungufu yake lakini katika hili suala la Clouds Vs "Yule Bwana" kwa binadamu mwenye akili za kawaida tu utakubaliana nami kwamba Ruge ameonyesha hekima na busara ya kiasi cha juu sana.

Alichoamua Kukisimamia Ruge ni kusema UKWELI, Ukweli kwamba "Yule Bwana" alikosea, pamoja na kwamba walikuwa marafiki lakini Ruge aliamua kusimama katika misingi ya ukweli, misingi ya kikazi, Kwamba "Yule bwana" alikosea. Kuna vitu wala havihitaji degree kuvielewa, yaani kule tu kwenda pale tena usiku tena na silaha bila mhusika kujua, na bila warrant ni kosa kisheria.

Leo baada ya kumsikia Ruge akijibu shutuma za "Yule Bwana" nimejisikia amani sana, Maana badalaa ya kujibu kwa jaziba, kwa matusi, kwa mhemko, Ruge kajishusha kaongea kwa ustaarabu kama binadamu, Pamoja na kuambiwa hana akili, anaimba ngonjera, na maneno mengine mengi ya kuudhi lakini jamaa kajibu ki proffesional na kwa unyenyekevu. U have my respect brother.

Mi nafikiri kama taifa kama tunakuwa na viongozi wa namna hii, ambao wanashindwa kuwa na akiba ya maneno na kuongea tu kama vijana wa mtaani bila kuangalia kuwa kuna watu wengi sana tunawaangalia ili kujifunza kwao, tutakuwa tunaelekea pabaya sana.
 
Kama 'yule bwana' na Ruge ni marafiki kwa nini Ruge hakumuita chemba wakamalizana kirafiki badala ya kumuexpose kwenye jamii?usidhan tunaakili za nyumbu !tunajua kilichokuwepo nyuma ya pazia!Ruge anatumiwa!ametumika!
 
Akili za panyabuku pekee ndo zinaweza kukufanya uende chemba ukaongee na mtu aliyekujia kwa shari na mitutu ya bunduki.
 
Ruge ni mnafiki Mkuu, alipokubali kutumikia magwiji wa Dawa za kulevya kwa kusingizia kituo chake kimevamiwa.

Kushindwa kuthibitsha tukio hilo, au kufungua jalada polisi
Wakati mwingine akili ya mtu uwa kama ugolo Fulani hivi. Vipi ile video ilikuwa ya kuigiza au hujawahi kuiona??????
Mwenyewe kasema kweli aliingia studio na skari wake wa ziada ili asiongwe 10b na watu wamihadarati sijui hapo ndiyo makazi yao?. Masikio yazizidi kichwa waweza ehuka!!!!!!!!!!!
 
Kama 'yule bwana' na Ruge ni marafiki kwa nini Ruge hakumuita chemba wakamalizana kirafiki badala ya kumuexpose kwenye jamii?usidhan tunaakili za nyumbu !tunajua kilichokuwepo nyuma ya pazia!Ruge anatumiwa!ametumika!

Hahahahahaha kwanini alitokea mlango wa Chooni alipoitwa na ile tume??Nimeamini kweli kabisa alitaka kuwaweka wale vijana ndani kwa kuwasingizia madawa ya kulevya. Hakika penye uongo ukweli hujitenga.

Haya na yule rafiki anayeitwa Almasi kwa kiswahili ameenda kumpongeza Ruge na wameona umuhimu wa Ruge na akasema yupo pamoja na Ruge sasa sijui Almasi atapona kweli!

Halafu Rafiki wa Mzee wa kuzungusha ndiyo drug Lords wanaompa tiketi na pesa za kuchezea.
 
Back
Top Bottom