Huyu ndiye Rais anayetufaa 2015

Huyu ndiye Rais anayetufaa 2015

Huyo namba 4 ana Phd ya Kanisani hatutaki Udini hapa! Hatuchagui Padre hapa aende kugombea Cheo cha Kadinal Pengo atashinda kwani alisha wahi kuwa Padre

Hahahahhahaha nimeipenda hii! Hivi kweli Dr Slaa Phd yake ni kanisani nasikia alikua Padre? Wadau naomba msaada kwa anaejua Phd ya Slaa ni ya nini? Au ya Church kimtindo?
 
Wengine wote wana hadhi ya kuwa raisi isipokuwa huyo mwizi wa mke wa mtu. Anahamasisha vurugu pia ni mdini.
Hivi ni kweli kuwa baba yako mzazi anaugomvi mkubwa na huyo jamaa na anahisi kuwa wewe sio "biological offspring" wake?Mshauri dingi wako aache hasira aende na wewe mkacheck DNA ugomvi utaisha.
 
Magufuli ni jembe la kutosha Kuongoza Tanzania 2015-2025!
Baada ya kuuza nyumba za serikali, sasa atauza barabara, viwanja vya ndege na ofisi zote za serikali. Nawasihi sana msije mkathubutu hata kutaja jina lake maana balaa litatuandama milele.
 
CCM ina hazina ya kutosha na viongozi makini
wasio na doa katika utendaji wao.I hope atapatikana mtu wa kumreplace aliyepo kupitia vikao halali vya chama huku masharti yote kuzingatiwa.

Dr. Shein kwa level aliyofikia na pitia sidhani kama ni busara kumlinganisha na Dr. Slaa kwa kweli.Shein amekuwa mbunge wa wawi kama alivyo kuwa slaa (hapa wanafanana kama wabunge).Baada ya hapo Shein kawa Waziri mdogo Zanzibar,Makamu wa Rais Tanzania na sasa Rais wa Zanzibar.Hivi kweli comparison ina tally kweli kati ya Mlima kilimanjaro (Shein) na kokoto (Slaa)?.Elimu zao pia tofauti mbali ya tittle Dr kwani mmoja ni universal wakati mwingine phd yake ipo kiimani zaidi tena RC (in application not appropriate to Muslim and then).
 
Hahahahhahaha nimeipenda hii! Hivi kweli Dr Slaa Phd yake ni kanisani nasikia alikua Padre? Wadau naomba msaada kwa anaejua Phd ya Slaa ni ya nini? Au ya Church kimtindo?
Mzee wa posho unachekesha kweli, kwani hujui Mkandara na Mwenzie Kabudi waliamua kutoa rushwa ya PhD kwa mkware wa nchi wakidhani atawakumbuka katika ufalme wa ikulu? Na yeye akaipokea kwa kejeli kubwa, ati atakugawia wewe mjinga wake na wajinga wenzenu mliompigia kura.
 
Ukisema nani atakuwa rais 2015 inategemea na mwamko wa wapiga kura kuelimika kufikia 2015. Kwa hesabu ya haraka ni kuwa wanaounga mkono CCM wanashuka na wanaounga mkono CDM na upinzani wanapanda kwa kasi. Kwa mwendo huu wa maendeleo hafifu wananchi wanazidi kuijua CCM kuwa ndio inadidimiza maendeleo ya nchi. Ikifika 2015 kama vijana waliokuwa na umri wa miaka 13 hadi 17 watakuwa na umri wa kupiga kura na itategemea chama gani wanaushawishi kwao. Kwa inavoonekana hawa na vijana wengine watakuwa kaburi la CCM.
Ukisema nani anafaa kuwa rais wa Tz 2015 ni Dr. W.P.Slaa
 
Maghuguli hafai kuwa rais hana busara hizo. Hivi tunajua serikali inapata hasara ya shilingi milioni ngapi kwa cku kutokana na uamuzi wa Maghufuli na fisadi mwenzake BM kuuza nyumba za serikali?
Ni mbinafsi mkubwa ametumia madaraka yake kutenga wilaya ya Chato toka Biharamulo kwa kuchukua sehemu nzuri za rasilimali ambazo zingepaswa kibaki Bhrml
Pia kwa ubinafsi wake huo alikuwa anapigania makao makuu ya mkoa wa Geita yawe nyumbani kwao Chato. Si ajabu akichukua urais atataka makao makuu ya Tanzania pawe Chato. Hafai hata c ajabu moto wa mageuzi ukiendelea akatemeshwa hata ubunge huko kwao.
 
Ni swali lililoulizwa na idhaa ya kiswahili ya radio ujerumani leo,, lilihusisha viongozi 5 wa vyama vya siasa,
NI NANI ATAKUWA RAIS 2015 KATI YA HAWA:?

1. BERNAD MEMBE
2. EDWARD ROWASA
3. PM PINDA
4. DR SLAA
5. PROF. LIPUMBA

wote hawana hadhi ya kushindana na Dr.Slaa.
 
Mkuu, unachoshangaa nini? Huyu jamaa mbona kabla ya kuwa rais wa nchi jirani alikuwa makamu wa rais wa nchi nyingine? Nadhani katika sera za "changu chetu", "chako chako" linawezekana kabisa.

he he mfumo wa kijinga kabisa huu..tunaonekana wapuuzi sana kwenye jumuia ya kimataifa..Wampe Shein urais (Tanganyika) halafu EL mgombea mwenza-hapo ndiyo utasikia Rais amekufa TZ hii na makamu amechukua kiti
 
dr slaa atakua rahisi 2015 wote hao niwatuwadogo sana compared to him..na ni mwaka 2015 CCM watakapo anguka sio huko 2020 ambako wanasema wanaccm..vijana 2015 niwakati wetu wakufanya mabadiliko tukowengi zaidi yawale wazee wetu wanaodanganyika kirahisi na CCM it does not cost u a thing kupiga kura tu.
 
Hapo slaa atakuwa kichekesho aisee..

Atatupwa mbali kwa aibu..

Dr Magufuli ni mtoto wa kisiasa wa Mkapa, Mkapa na RA zinaiva, RA na EL ni mapacha sasa FISADI inc inakua na CEO mpya wanabodi wale wale Tz tutakua hatupiga hatua yeyote uozo ule ule
 
Good anaylsis on my side...is true I appreciate the works of Dr Shein he is good but,not good as Dr Slaa.......
Mkuu naomba unisaidie tu; hivi Dr. Slaa zaidi ya kuwa mbunge na katibu mkuu waCDM ana historia gani nyingine ya uongozi ukimlinganisha na Dr. Shein.
 
Hamna wa maana hapo, kweli tz imefilisika kiuongozi. Tz baada ya Nyerere haijwahi kua na Rais kiongozi wa kweli mwenye dira..wote wanakuja wanafanya madudu yao maka 10 inaisha wanastaafu na kuendelea kutusumbua na ving'ora vyao mjini hapa

tumefilisika kisiasa na kiuongozi hadi tunafikiriaviongozi mafisadi,(EL), viongozi boya, (Pinda), viongozi bora liende,(BM), viongozi siasa ni mtaji (Lipumba), viongozi wa kinadharia ili nipate, (slaa ambaye alidanganya pale mzumbe kua watapunguza bei ya simenti wakati haiwezekani bila kuondoa kodi na uongo mwingine kama huu)

Tumefilisika
Mhadarati hebu jitahidi kuwa positive thinker zaidi!
 
Mkuu naomba unisaidie tu; hivi Dr. Slaa zaidi ya kuwa mbunge na katibu mkuu waCDM ana historia gani nyingine ya uongozi ukimlinganisha na Dr. Shein.

Kushika Nyadhifa kubwa kubwa serikalini siyo kigezo cha kuangali anayefaa kuwa rais nafikiri utendaji wa mtu na uadilifu wake.
 
Kushika Nyadhifa kubwa kubwa serikalini siyo kigezo cha kuangali anayefaa kuwa rais nafikiri utendaji wa mtu na uadilifu wake.

Hilo jina unalotumia mkuu linanikumbusha mbali. wale wenzetu wa manyara(wairaqw) kwao ni tusi kubwa sana, huwezi tamka mbele za watu. hata kuandika hapa naogopa. anyway turudi kwenye mada, we mtazamo wako ukoje ikitokea magamba wamemsimamisha shein 2015.
 
Huyo namba 4 ana Phd ya Kanisani hatutaki Udini hapa! Hatuchagui Padre hapa aende kugombea Cheo cha Kadinal Pengo atashinda kwani alisha wahi kuwa Padre
Ingefaa kutomhukumu mtu kwa Elimu yake, wala dini yake, wala mke alieoa (Kama wewe siyo mume halali wa huyo mke!), la sivyo unakuwa na umbea! Huisaidii nchi yako!
Uwezo wa kuongoza ndiyo tunaotaka! Hisia pumbazishi, na kauli tishio changanyiko na kauli nyamazishi sawia na za CCM ndiyo zimeifikisha nchi yetu hapa ilipo. Tumetishiwa na kupumbazwa na kauli za amani na utulivu kumbe nia ni ili wa-CCM waendelee kupokezana vijiti na kulindana pale wanapokuwa wameifikisha nchi mahali pabaya. Chama cha siasa kimejiwekea dhamana ya kukaa na ufunguo wa Raslimali zote za nchi, finguo za Benki zote za nchi, funguo za BOT?? Wanaamua kufungua wakati wowote hasa kipindi cha uchaguzi?? Na kufanya wanavyotaka? Tunatarajia nini?
Zaidi ya yote tumeshaona wazi kuwa tunataka hata kutawaliwa na watoto wa viongozi hao hao, tena ni kama imeshatimia, bila kuwapo sababu nzito zenye kuthibitisha uwezo wao.
Sipo kutetea mtu hapa lakini nadhani ni wakati kwanza kujua tunachagua mtu atufanyie nini kwanza. Na sote sasa tunajua kitakachotuwezesha kupata kiongozi wa kweli nchi hii ni katiba mpya peke yake! Pungufu ya hapo CCM itachagua atakayeendelea kuwafichia siri, kuwalinda, na kuhalalisha maovu yoootee bila kujali matatizo ya mwananchi wa kawaida. Kibaya zaidi, taratiibu, na mmoja baada ya mwingine wataendelea kutokomeza wale wachache walioko ndani ya hicho chama na ambao ni wapenzi wa kweli na wazalendo wa nchi hii. Na kauli nyamazishi na tishio zitafuata na wanategemea watanzania watanyamaza tena. Washauriwe CCM kujaindaa kuwa wastaarabu zaidi. Wasiimbe nyimbo tupu za amani na utulivu wakati inaonekana wazi kuwa wao ndiyo wanaokwenda kuchafua nchi.

Mungu ibariki kweli Tanzania!
 
Baada ya kashfa zote hizi, ambazo hazijakanushwa ipasavyo, kufikilia Lowasa anaweza kuwa Rais. Amechafuka mno hastahili kuwa rais wetu.
 
Baada ya kuuza nyumba za serikali, sasa atauza barabara, viwanja vya ndege na ofisi zote za serikali. Nawasihi sana msije mkathubutu hata kutaja jina lake maana balaa litatuandama milele.
Ili uza serikali na sio Magufuli yeye alikua waziri tu maamuzi yote yalifanywa na baraza la Mawaziri! Hamna ujanja huyo ndie atakae wakimbiza na Magwanda yenu!
 
Back
Top Bottom