Huyu ndiye Rais anayetufaa 2015

Huyu ndiye Rais anayetufaa 2015

kura yangu ndiyo itakayo amua siku hiyo ya nov 2015 nani awe Rais bado cjaamua.
 
Hilo jina unalotumia mkuu linanikumbusha mbali. wale wenzetu wa manyara(wairaqw) kwao ni tusi kubwa sana, huwezi tamka mbele za watu. hata kuandika hapa naogopa. anyway turudi kwenye mada, we mtazamo wako ukoje ikitokea magamba wamemsimamisha shein 2015.

mkuu DASA mbona hilo halina kigumizi kuwa chaguo langu ni Dr. Slaa,huyu jamaa sijafahamiana naye barabarani.., mkuu nini maana jina hili?
 
Yani mkuu sijui hata nitaandika vipi humu. Jua tu ni tusi kubwa. Labda tafuta mwiraqw yoyote atakueleza vizuri. mi nilibahatika kukaa maeneo yao kwahiyo najuajua baadhi ya vitu kidogo.
 
Ndiyo shida ya magamba hiyo. Mwingine alijiandaa kwa miaka kumi kuwa rais lakini hakuwa na dira hakuwa na vision. Matokeo yake ndiyo tunayaona leo. Badala ya kujiuliza nani atakuwa rais tujiulize tunataka Tanzania ya aina gani na baada ya hapo ndipo tutafute ni nani anayefaa kutufikisha huko.

You said it all!! 😛oa
 
Basi naona mjadala huu umetushinda tuachane nao tusubiri hadi atleast 2013 labda kuna vyama vingine strong vitakuwa vimekwisha anzishwa. Au tusubiri Katiba mpya labda itaruhusu mgombea binafsi.
 
Ndugu Juma Kilaza naomba usichanganye mambo hapa, unaposema "Mama Migiro Being a woman" unamaanisha nini? na unaposema, "Rais mwenye roho ngumu na asiye na huruma" unamaanisha nini? Je, unamaanisha kwamba tabia zinazowakilishwa na maneno, "Roho ngumu" na "ukosefu wa huruma" ni attributes za jinsia ya kiume na si ya kike pia? kwangu mimi maneno "....being a woman" yanamaanisha kuwa mwanamke yeyote hawezi kuwa kiongozi ambaye anaweza kuchukua maamzi magumu, kwa sababu mwanamke anahuruma na roho nyepesi. hivyo hata akiona nchi yake inaliwa hawezi kufanya chochote kwasababu ya uanauke wake. kwa mtazamo wangu haya ni maneno kandamizi na baguzi. Maneno hukosefu wa huruma, na roho ngumu aweza kuwa nayo mtu wa jinsia yoyote, hivi fikiri mama anayemtupa mtoto wake chooni au jalalani je anakuwa na huruma au roho nyepesi? si kweli mama huyu anaroho ngumu kwasababu amefanya maamuzi magumu ya kumtupa mtoto wake. labda tumjadili Migiro kama Migiro na si uanuke wake. Ninachotaka kusema ni kuwa mtu yeyote bila kujali jinsia aweza kuwa kiongozi mwenye kuchukuwa maamuzi magumu au mepesi kullingana na ulivyo wake. tusilete dharau hapa
 
Nakubali mkuu. Hoja yako iko sahihi. Suala hapa ni uwezo wa mtu na sio jinsia wala kabla la/ya mtu
 
Unajua urais ni kazi rahisi sana mtu yeyote anaweza ilmradi uskilize washauri ulionao. Pale ikulu kuna kla mtaalamu wa fani zote. Tatizo linakuja unapoanza kutegemea ushauri wa akina shehe Yahya (mnajimu). Huwezi kuendesha nchi kwa utabiri
 
Ukweli kiongozi Kama Nahodha ni Lulu iliyojificha na kama atakuwa Raisi Tanzania tuitakayo itapatikana watanzania Tuamke Tukipata Rais kuwa Nahodha waziri Mkuu Magufuli Tanzania isiyo namakundi na yenye kujali Wananchi inawezekana.
 
Mmmh!!!!! na wewe unataka kuwa nani?
 
akauze visheti huko znz..amuongoze nani hapa
 
Ni wazo zuri, Lakini huyu Nahodha, jambo gani amelisimamia kwa mafanikio? Ameshindwa kusimamia wizara ya mambo ya ndani muda huu wote? Askari polisi wanafanya kazi kiholela, yeye yupo tu.

Uhamiaji, anawajua wala rushwa ( amekiri mwenyewe), hataki kuwatimua Magereza hayastahili kuishi binadamu, anafurahia, hatoi hata kauli. Kwa nini awe Rais mtu kama huyu, hana hata utendaji wa kutukuka?
 
Acha usenge, huyo hastahili hata kuongoza banda la kuku. Ni upuuzi uliofanywa ili awe mbunge. tuondolee upupu wako hapa.

Hivi wewe unaonglea upuuza gani asa yeye ukajifananishe na ww usiyeweza ata kujadiliwa katika mitandao ya kijamii. ivi unafikiri Nahodha samani yake katika hii Tanzania ni zaidi kuliko ata Nyerere kwa muda huu.

Na kama hastahili ana stahili ivi sasa kuku mmoja nayekuongoza ni wewe mana yeye ndo waziri wako wa mambo ya ndani Asa sijuwi kuku wewe utatoka bandani ukapandiwe na majogoo ya nje auu utabaki katika banda analoliongoza yeye...................

"Think before saying" wewe usikurupuke tu kuchangia huu mtandao wa watu wenye akili kama sisi. changia yenye kuleta maani Mpime kwa Udhani unaeleweka si kusema tu. I hope Mungu Ambariki Awe RAIS
 
Hafai hata kwa dawa!!hana tofauti na huyu wa sasa!labda awe rais wa zanzibar!
 
Hivi wewe unaonglea upuuza gani asa yeye ukajifananishe na ww usiyeweza ata kujadiliwa katika mitandao ya kijamii. ivi unafikiri Nahodha samani yake katika hii Tanzania ni zaidi kuliko ata Nyerere kwa muda huu.

Na kama hastahili ana stahili ivi sasa kuku mmoja nayekuongoza ni wewe mana yeye ndo waziri wako wa mambo ya ndani Asa sijuwi kuku wewe utatoka bandani ukapandiwe na majogoo ya nje auu utabaki katika banda analoliongoza yeye...................

"Think before saying" wewe usikurupuke tu kuchangia huu mtandao wa watu wenye akili kama sisi. changia yenye kuleta maani Mpime kwa Udhani unaeleweka si kusema tu. I hope Mungu Ambariki Awe RAIS

Mkuu sijui umesoma shule gani, lakini natatizwa sana na lugha iliyotumika katika posti yako.
 
Back
Top Bottom