Huyu ndiye mwanamke na thamani yake!!.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu ndiye mwanamke na thamani yake!!..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, Jul 28, 2011.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Kila kukicha kumekuwa kukitotea mambo mengi sana mema na mabaya katika maisha ya mwanadam,lakini wataalam wa saikolojia wamekuwa wakisema kila siku kuwa binadam huwa kama alivyo kutokama na malezi yake,na tatizo kubwa la matukio yanayotokea leo,ikiwemo kwenye mahusiano ni malezi yaleyale,asilimia yetu kubwa hatukupata malezi ya baba na mama kutokana na wazazi wetu kukosa muda wa kuwa nasi,kazi zao ndo zimekuwa shida!Mama ndie alikuwa na jukumu hili,lakini leo ameicha kazi hii ya thamani ya kumjenga mwanadamu nae anaenda kwenye mapilika ya mwanaume akidhani ndiyo maisha bora,kumbe hakujua kuwa,alipoonekana raisi bora ni mama alimfanya awe bora,as well as meneja yoyote,waziri,mwanamuziki na wagunduzi wa vifaa mbalimbali na n.k,hawa walikuwa ni matokeo ya ubora wa kazi ya mama,thamani yake ilikuwa halisi ndo maana kukawa na kauli kama 'nani kama mama'?Hii ilitokana na shughuli nzuri ya malezi ya mama,ndio maana walisema ukimuelimisha mwanamke umeelimisha jamii nzima,hii ilitokana na nafasi aliyokuwa nayo!Huyu ndie mwanamke mwenye thamani ya ukweli!Leo wanadamu tumekuwa na tabia za ajabu coz tumekosa hayo,tumelelewa na mahause girl ambao wanamatatizo mengi huku mama akienda kufanya kazi asiyomhusu,tena kazi isiyokuwa na thamani yake,Nani alimdanganya mwanamke kuwa uwaziri au urais ni bora kuliko kutengeneza tabia ya huyo waziri ambayo uadilifu wa kazi yake ni sifa tosha kwa mama?Wanawake amkeni mmedanganywa!
   
 2. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 80
  To Summarize
  So in essence what you mean to tell us is
  1. Office jobs are for the men
  2. The shaping of our children's lives, is the sole responsibility of women
  3. Most importantly....................."Unless a woman stays home, and rear her kids then she is useless and/or worthless as a mother???"
  Eiyer
  Two things
  • If you are a woman, then please wake up and smell the coffee. Providing a home, clothes and education for one's children's is as important as hayo malezi unayoyaongelea, especially in this day and age.
  • If you are a man, please man up and stop blaming women for your failures and/or lack of provisions. Just know unless otherwise very a few women will choose jobs over taking care of their kids
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  nemo,thanks.
  eiyer,if there is one thing a woman can do perfectly is multi-tasking! kuwa na nafasi ya kisiasa, ama kazi ofisini haizuii mwanamke kutimiza majukumu yake kama mama, mke na mwanamke katika jamii yake. hebu turudi kwanza kwenye mzizi: je wako wapi wanaume providers, wenye kutunza familia zao? kila kukicha wanaume wanalalamikiwa kuwa 'marioo',anataka lifti apige na honi! kila ukicha, wanaume wanahamia nyumba ndogo na kuzitukuza kwa bidii. na kama mwanaume akifariki bahati mbaya,mjane atanyanyaswa japo wakati mwingine kipato chake kilikuwa kikubwa kuliko cha mume watamnyng'anya hadi masufuria!! sipati picha kwa 'golikipa' manake nadhani hadi nguo za ndani watachukua!gggrrrhhh!
  my take is: the blame game will not take us anywhere.
  1 lakini hali ilivyo inalazimisha mwanamke kutoka ndani na kutanua wigo wa kipato. maisha yamekuwa magumu sana,kipato cha mwanaume pekee hakitoshi kwa mahitaji ya familia (read 'extended familia ya kiafrika,lol).
  2 malezi ya watoto ni kusaidiana baina ya baba na mama. wamama tujitahidi, na wababa msinawe mikono.
  3 malezi ya watoto ni kumuomba Mungu tu na kufanya sehemu yako kama bin adam! kuna familia inalelewa vizuri sana, mwisho wa siku unakuta mtoto mmoja katokea tofauti kabisa. sidhani kama anakuwa kakosa malezi bora...
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  NEMO,this is reality,kama tunataka kupafanya duniani kuwa mahali pa amani na pazuri pa kuishi hayo ndo ya kufanya,turudi kwenye ukweli na uhalisia,wala Mungu hakukosea kupanga hayo majukumu,simlaumu mwanamke kwa kufeli kwetu wanaume bali nazungumzia hali hailisi,huko kuamka unakokusema wewe sijui ni kupi,wataalam wamezungumzia tatizo hili kuwa chanzo chake ni kukosa malezi hasa ya mama,na matatizo yalianza pale mama alipoanza kutoka kuzurula nje,nani alikuambia kuwa kazia maofisini ni bora?Ondoa uongo huu kichwani!
   
 5. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,648
  Likes Received: 5,242
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo na uongozi mbovu wa "baba riz" umetokana na malezi ya house girl wao au wife wake????
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  King'asti,belive me,mwanamke anaefanya kazi anaondoka nyumbani asubuhi ni tatizo,mtoto anazaliwa baada ya miezi 3 mama anaanza kumwacha!Hii nini?Malezi ya mtoto yanahitaji pande mbili sawa,wewe unalitafsi vipi hili?Mgawanyo uko wazi,mama majukumu yake ni ya myumbani,kumjenga mtoto kisaikolojia,namna ya kujitambua,nidhamu n.k,baba yeye ni kuleta hela ya chakula na kulipa ada za shule,hebu niambie yapi ni ya muhimu kwa mtoto?Wanaume marioo bado ni zao lilelile la matatizo ya kimalezi ya mama!Unyanyasaji wa mwanamke ni matatizo ya kijamii ambayo haya yana solution yake!Tatizo ni uongo mliolishwa!
   
 7. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Every day when the children go to sleep, u find their fathers have not yet come back home. And when they wake up in the morning, their fathers have already left the house! If it happens coincedently that the children wake up during the midnight, what they witness is their mothers being beaten by their fathers, plus the threatening of divorce followed by that craziest smell of alcohol....!! Imagine that kind of life! What do you expect for these children?
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Mfano Marekani kati ya vijana 10,7 wana matatizo ya kimalezi yanayotokana na akina mama kutokuwalea,wanajiingiza kwenye majanga kama madawa ya kulevya n.k,Japani nako ni hivyohivyo!
   
 9. Amanda

  Amanda Senior Member

  #9
  Jul 28, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Eiyer kama sikuelewi vile!!
   
 10. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Kipipi,tatizo usichokijua ni kuwa hao wanaowapiga wake zao nao ni zao hilo hilo la matatizo la malezi ambayo mama ndio msingi wake!Huwezi kutofautisha kati ya tabia ya mtu na malezi yake,mfano Adolf Hitler,malezi ndo yalimfanya awe kama alivyo,hiyo ndo shida tuliyonayo!
   
 11. Amanda

  Amanda Senior Member

  #11
  Jul 28, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mmh! Labda mama maana wake ni wengi na hawapati muda wa kumlea, anarukaruka.
   
 12. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Fungua akili yako utanielewa tu!Wakati mwingine matatizo tunayasababisha sisi!
   
 13. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #13
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Kwani mama yake unamjua?Tatizo wanawake hamtaki kuamini kuwa umuhimu wenu mmeupoteza wenyewe kwa kufikiri kuwa wanaume ndo wanafanya kazi nzuri!
   
 14. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  If thats so, then let us blame the whole society! Coz kwa case kama ya Hitler hiyo ilikuwa facilitated na hali ya Ulaya ilivyokuwa kipindi hicho. Alichokiamini yeye ni ukombozi through militarism kama mataifa mengi yalivyokuwa yakifanya. Kama mama yake alimjengea ujasiri basi jamii yake ilimdictate zaidi kifikra kutokana na competition iliyokuwepo. Kwa hao wanaopiga wake zao bado nakataa sio kwa sababu ya mama zao. Unataka kuniambia wababa wa kiafrika kushinda ama kukesha vilabuni wamefundishwa na mama zao? Issue ni kwamba wababa mlijisahau sana na kumtwisha mzigo mkubwa sana mama mkasahau kuwa kila mtoto anazaliwa na akili yake na anahitaji full control inayotoka kwa baba na kwa mama pia. Sasa product yake ndo hiyo tunaiona coz kuna watoto ambao wanawadharau mama zao kiasi kwamba hata akimkanya hasikii, hivyo we baba ungekuwepo si ungesaidia? Unamlaumu nini mama kwa huyo mtoto?
   
 15. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #15
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Eiyer, we ni mwanamke? Basi sisi wanawake hatujasababisha matatizo ila uzembe na ujeuri wa kina baba ndo unachangia yote haya.
   
 16. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #16
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Matumizi hapati au anapata kwa nadra sana. Pesa yenyewe haioni inaishia nyumba ndogo, kwa hiyo watakula mawe? Mama kasafiri baba anahamia nyumba ndogo achilia mbali kuleta vimada ndani huku watoto wakishudia. Leo hii bado mama anazidi kulaumiwa tu!
   
 17. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #17
  Jul 28, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Eiyer sijapata ni ujumbe gani unataka tuupate hapa. Why one sided msg kwa nini umezungumzia wamama tuu kama ndio chanzo cha kila kitu ukajiacha wewe mwanaume ukiwa mikono misafi. may be unifumbue zaidi ni nini ulitaka kusema hapa naona kizungumkuti
   
 18. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #18
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Dah! hapa kweli kazi ipo. mie nahisi mama wa karne hii hatakiwi kulaumiwa kwani kulingana na hali halisi mwanamke hawezi kukwepa jukumu la utafutaji wa kipato. Wanaume wengi wamekuwa wakilalamika na wengine kujikuta waizikimbia familia kutokana na ufinyu wa kipato. Wanawae wengi wamepachikwa majina kama GOAL KIPPERS kwa sababu hawaingizi kipato chochote. Ndoa nyingi zimefarakana kwa sababu ya ufinu wa kipato. Je, ni halali kumlaumu mwanamke tk hali kama hii?

  My take, malezi ya mtoto ni jukumu la baba na mama, ingawa mama ana influence kubwa ktk malence hayo.
  Swali. Je tukirudi ktk kumweka mama ndani kwa minajili ya kulea watoto, wababa wataridhika????????
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Eiyer mtazamo wako uko very interesting....

  na nimependa saana the way King'asti kaelezea....
   
 20. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #20
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ni kweli mimi nina kazi lakini i wish nipate mume mwenye uwezo nikae tu home nitunze family ila njaa tu ndo ivo
   
Loading...