Huyu ndiye Mungu wa Israel!

Huyu ndiye Mungu wa Israel!

Nakupeleka ignore list, unaharibu viwango vya mazungumzo hapa. Inawezekana una matatizo ya akili.

Umepoteza privileges za kuwasiliana nami moja kwa moja.

Kuanzia hapa sitaona unachoandika.
Bwana Mdogo, sikupi nafsi ya kumtumia Silverstone Mkapa kama kichaka cha kukwepea Hoja ya msingi.
Silverstone Mkapa nimemtaja mimi ila ghafla tu umekuwa na Mahaba nae, unataka tuache hoja ya msingi tumjadili yeye.
Haya Mahaba kati yako na Silverstone yameanzia wapi?.
Unamjua?


Nb:- system za Jf hazifanyi kazi.. Unaweza ignore mtu na bado ukaendelea ona anachopost.
Nashauri utafute njia nyingne, uliyoichagua haifanyi kazi.
 
Ghadhabu yake Haina huruma hata kwa wanawake na watoto. Rejea wakati wa NUHU katika Ile gharika wanawake na watoto wa waovu wote waliangamia kwa maji.

Sodoma na Gomora wanawake na watoto wote waliteketezwa Kwa moto na kiberiti.

Ni Mungu ambaye hatamwesabia mtu mwovu kwamba hana hatua Bali mwenye kuwapatiliza kizazi Cha tatu Hadi Cha nne Cha waovu.

Katika ghadhabu Kuna rehema.

Tuombe rehema na toba Kwa kile walichofanya Hamas October 7 huenda ila akaghairi mabaya dhidi Yao.
Wenzako wanasema hao si wana wa Islael, ni wazungu waliojikusanya hapo na kufanya himaya yao.
Ila ni wazungu wanaoongea kiebrania.
 
Wenzako wanasema hao si wana wa Islael, ni wazungu waliojikusanya hapo na kufanya himaya yao.
Ila ni wazungu wanaoongea kiebrania.
Tukisoma Bible hatuna shaka kwamba hao ndiyo wenyewe waisraeli wamerudi katika ardhi Yao sawasawa na Neno la Mungu. Baada ya kuasi Mungu alifukiza mbali na nchi yao. Lakini ahadi yake Kwao hatawatupa milele amewarudisha Tena kama alivyaahidi.
Hao wanaosema kwamba hao ni wazungu watuoneshe waisraeli halisi wako wapi? Wanadhani walifutika juu ya uso wa Dunia! Israel hawawezi kupotea juu ya uso wa Dunia wataendelea kuwepo Sawasawa na Neno la unabii. Na bado wengine wapo katika mataifa mbalimbali, wanataka kurudi katika ardhi yao.
 
Ghadhabu yake Haina huruma hata kwa wanawake na watoto. Rejea wakati wa NUHU katika Ile gharika wanawake na watoto wa waovu wote waliangamia kwa maji.

Sodoma na Gomora wanawake na watoto wote waliteketezwa Kwa moto na kiberiti.

Ni Mungu ambaye hatamwesabia mtu mwovu kwamba hana hatua Bali mwenye kuwapatiliza kizazi Cha tatu Hadi Cha nne Cha waovu.

Katika ghadhabu Kuna rehema.

Tuombe rehema na toba Kwa kile walichofanya Hamas October 7 huenda akaghairi mabaya dhidi Yao.

View: https://twitter.com/Yonatan_Touval/status/1766524315837632754?t=9gmLzPLwF81Ogs70TR6JoQ&s=19
 
Nimekufuatilia muda mrefu nimeona wewe ni miongoni mwa wale wapambavu ambao wanasema hakuna Mungu

Mpambuvu hawezi kuelimika hata akijua ukweli hata wewe NDANI yako nafsi yako tu inakushuhudia kwamba Kuna kiumbe kingine chenye nguvu kilichokuumba lakini unakaza kwa sababu hauko tayari kuijua kweli

Vilevile napata mashaka level yako elimu na uelewa wako wa kawaida wa mambo ya kawaida tu kabla hujazungumzia hoja nzito za mambo ya kiroho zilizokuzidi uwezo wako


Watu wenye elimu ,na hekima uwezo mkubwa wanasayansi na watu wenye uwezo mzuri wa akili walikubali kwamba Kuna Mungu ambaye ana nguvu ya asili ambao chanzo Cha Kila kiumbe

Hata shetani anajua uwepo wa Mungu aliye hai

Sasa wewe na elimu yako ya kuunga unga unabisha bila hoja uwepo wa Mungu na matendo yake ya ajabu na kazi zake

Ila Mungu ni wa ajabu amekupa uhuru ufanye maamuzi yako ili MWISHO Kama usipotubu ulipwe sawa sawa na matendo yako
Umepaniki vibaya sana
 
Back
Top Bottom