Huyu ndiye Mungu wa Israel!

Huyu ndiye Mungu wa Israel!

Ghadhabu yake Haina huruma hata kwa wanawake na watoto. Rejea wakati wa NUHU katika Ile gharika wanawake na watoto wa waovu wote waliangamia kwa maji.

Sodoma na Gomora wanawake na watoto wote waliteketezwa Kwa moto na kiberiti.

Ni Mungu ambaye hatamwesabia mtu mwovu kwamba hana hatua Bali mwenye kuwapatiliza kizazi Cha tatu Hadi Cha nne Cha waovu.

Katika ghadhabu Kuna rehema.

Tuombe rehema na toba Kwa kile walichofanya Hamas October 7 huenda akaghairi mabaya dhidi Yao.
Achana na Matango pori ya hawa wahuni.
 
Ghadhabu yake Haina huruma hata kwa wanawake na watoto.
Basi huyo Mungu ni katili sana na hana hata chembe ya huruma.
Rejea wakati wa NUHU katika Ile gharika wanawake na watoto wa waovu wote waliangamia kwa maji.
Waovu hao walitokana na kazi ya Mungu ya uumbaji iliyo na kasoro na dosari kwa kuumba binadamu wenye uwezo wa kutenda uovu.

Mungu huyo Alishindwa kuumba binadamu wasio na uwezo wa kutenda uovu.
Sodoma na Gomora wanawake na watoto wote waliteketezwa Kwa moto na kiberiti.
Mungu huyo ni mdhaifu sana na kazi yake ya uumbaji ina dosari na weaknesses kwa kushindwa kuumba binadamu wema tu, wasio na uwezo wa kutenda uovu.
Ni Mungu ambaye hatamwesabia mtu mwovu kwamba hana hatua Bali mwenye kuwapatiliza kizazi Cha tatu Hadi Cha nne Cha waovu.

Katika ghadhabu Kuna rehema.

Tuombe rehema na toba Kwa kile walichofanya Hamas October 7 huenda akaghairi mabaya dhidi Yao.
Mungu mwenye uwezo wa kuumba binadamu wema tu na dunia yenye mema tu, Kashindwa kufanya hivyo badala yake kaumba binadamu wenye uwezo wa kutenda uovu ili aje awaangamize....!!!

Mungu huyo hajielewi kabisa...!!!
 
Kwa nini hilo swali liwe na umuhimu? Kwani siwezi kufanya kosa nikalijutia katika ulimwengu ambao Mungu hayupo?

Unataka kusema kujutia kitu ndiyo ushahidi wa kuwapo Mungu?
Yohana 4:24
[24]Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
God is a Spirit: and they that worship him must worship him in spirit and in truth.
Kwa nini hilo swali liwe na umuhimu? Kwani siwezi kufanya kosa nikalijutia katika ulimwengu ambao Mungu hayupo?

Unataka kusema kujutia kitu ndiyo ushahidi wa kuwapo Mungu?
Naomba uelewe neno Roho wamjuao Mungu wanaona kazi zake na ukuu wake rohoni. Hauwezi kuwa mpinga kristo halafu ukajua kazi zake na ukuu wake.
 
Bro jitafakari sana juu ya kauli zako kwa Mwenyezi Mungu. Kumbuka mwanadamu ni zaidi ya mwili huu wa nyama uonekanao. Ipo nafsi, na Mungu karuhusu free will ya rohoni ili wewe mwanadamu uchague upande gani unakufaa.
Huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
 
Na wewe mlete na mthibitishe huyo Mungu au unasoma stori za kusadikika tu?
Kumbe wewe ni bora uamini vitabu vya wanadamu kisa vimeandikwa kwa nadharia fulani lakini kuhusu Mungu hutaki kuamini. Sasa huoni unajiweka kwenye kundi la vijana wabaya. Kipi kinafanya husiamini juu ya uwepo wa Mungu?
 
Mungu wa israeli alishindwa vipi kuzuia shambulio la October 7 kwa watu wake?
Kwanini atumie watu na asionyeshe ukuu wake?

Mungu mwenye nguvu zote za israeli mpaka sasa kashindwa kufahamu ni wapi watu wake waliotekwa walipo,

Ili ukubaliane na dini hizi si ukristo, uyahudi au uislamu inabidi akili isiwe sawa.
Huwezi kuwa kiumbe ambaye hukuumbwa na Mungu. IPO siku ufahamu utabadilishwa nawe utamjua na kumwabudu Mungu, Mungu wa kweli, Mungu wa Israel!
 
Kumbe wewe ni bora uamini vitabu vya wanadamu kisa vimeandikwa kwa nadharia fulani lakini kuhusu Mungu hutaki kuamini. Sasa huoni unajiweka kwenye kundi la vijana wabaya. Kipi kinafanya husiamini juu ya uwepo wa Mungu?
Mungu ni nini?

Unathibitishaje Mungu yupo na si mawazo yako ya kufikirika tu?

Thibitisha Mungu yupo na si hadithi za kutungwa za maandiko ya kidini..

Maandiko yote ya kidini ni vitabu vya wanadamu pia kueleza fictional character Mungu asiye kuwepo.

Ndio maana hamna uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu zaidi ya ku rely na kutegemea fiction stories za maandiko yenu.
 
Huwezi kuwa kiumbe ambaye hukuumbwa na Mungu.
Hakuna kiumbe aliyeumbwa na Mungu.

Huyo Mungu hayupo.
IPO siku ufahamu utabadilishwa nawe utamjua na kumwabudu Mungu, Mungu wa kweli, Mungu wa Israel!
Mungu huyo wa kweli, Alishindwaje kuumba binadamu wote wamjue na kumwabudu?

Huyo Mungu wa Israel ni mdhaifu sana...
 
Yohana 4:24
[24]Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
God is a Spirit: and they that worship him must worship him in spirit and in truth.

Naomba uelewe neno Roho wamjuao Mungu wanaona kazi zake na ukuu wake rohoni. Hauwezi kuwa mpinga kristo halafu ukajua kazi zake na ukuu wake.
Thibitisha hiyo roho ipo.
 
Hizi bhangi huwa unavutia wapi! Hawa wayahudi feki wa kizungu sio uzao pure wa Abraham,isaka na yakobo pia teknolojia zote kubwa duniani zinatoka area 51 katika Jimbo la Nevada nchini marekani.

Hapo hakuna myahudi feki wa kizungu Wala binadamu yeyote anayehusika na uvumbuzi wa teknolojia hizo,hivyo jifunze kusoma nasio kukalilishwa uongo ambao unadumaza akili Yako.
😂😂🙌😂Wewe ndo umeenda kwenye stori za vijiweni kabisa Tena zakitoto
 
Hizi bhangi huwa unavutia wapi! Hawa wayahudi feki wa kizungu sio uzao pure wa Abraham,isaka na yakobo pia teknolojia zote kubwa duniani zinatoka area 51 katika Jimbo la Nevada nchini marekani.

Hapo hakuna myahudi feki wa kizungu Wala binadamu yeyote anayehusika na uvumbuzi wa teknolojia hizo,hivyo jifunze kusoma nasio kukalilishwa uongo ambao unadumaza akili Yako.
Tulia weweeee judas mgalatia msaliti
 
Ningependa kusikia na ghadhabu za Mungu wa Congo!!
Huyo wa congo ni zoba tuu. Mijitu imekalia kila aina ya madini ardhi yenye rotuba imebaki kuuana kuchukiana na kukata mauno kwenye miziki yao uchwara.
 
Back
Top Bottom