Huyu ndiye Mungu wa Israel!

Huyu ndiye Mungu wa Israel!

Huyo wa congo ni zoba tuu. Mijitu imekalia kila aina ya madini ardhi yenye rotuba imebaki kuuana kuchukiana na kukata mauno kwenye miziki yao uchwara.
Ndio!!nahitaji mfahamu hivyohivyo na uzoba wake ili tutofautishe na hao wa wengine
 
Hizi bhangi huwa unavutia wapi! Hawa wayahudi feki wa kizungu sio uzao pure wa Abraham,isaka na yakobo pia teknolojia zote kubwa duniani zinatoka area 51 katika Jimbo la Nevada nchini marekani.

Hapo hakuna myahudi feki wa kizungu Wala binadamu yeyote anayehusika na uvumbuzi wa teknolojia hizo,hivyo jifunze kusoma nasio kukalilishwa uongo ambao unadumaza akili Yako.
Haya wewe umeyatoa wapi? Huyo jamaa karefer kwenye biblia ambapo kila mtu anasoma na anaelewa
Wewe je ulienda lini huko area 51? Au ndo Yale ya niaminini Mimi 😃
 
Mbona Malaria 2 hajatia neno humu, yeye amebaki kuandika andika jinsi alla atawapiga Waisrael....
 
Hizi bhangi huwa unavutia wapi! Hawa wayahudi feki wa kizungu sio uzao pure wa Abraham,isaka na yakobo pia teknolojia zote kubwa duniani zinatoka area 51 katika Jimbo la Nevada nchini marekani.

Hapo hakuna myahudi feki wa kizungu Wala binadamu yeyote anayehusika na uvumbuzi wa teknolojia hizo,hivyo jifunze kusoma nasio kukalilishwa uongo ambao unadumaza akili Yako.
Huu ndio uzao wenyewe kwa taarifa yako na wamesambaa hadi yale mataifa 12 na wengi bado wako Ulaya huko na Marekani na wao ndio chimbuko la uvumbuzi wa karibu kila kitu unachokitumia hapa duniani.

Leviticus 26:33; Deuteronomy 4:23–27; 28:25, 37, 64; 1 Nephi 10:12–13; 21:1; 22:3–4.
 
Katikati ya miungu yote hakuna kama Mungu wa Israeli. Atakaye mbariki atabarikiwa, na atakaye mlaani atalaniwa. Kwa kuitambua Siri hii Nchi ya marekani haitakuja kushuka kiuchumi,teknolojia na nguvu ya kijeshi.
Mungu mwenye nguvu. Sio yule mungu wao wanamwita allah ni mpuuzi hawezi hata kuleta mvua
 
Yohana 4:24
[24]Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
God is a Spirit: and they that worship him must worship him in spirit and in truth.

Naomba uelewe neno Roho wamjuao Mungu wanaona kazi zake na ukuu wake rohoni. Hauwezi kuwa mpinga kristo halafu ukajua kazi zake na ukuu wake.
Wapinga Christ ni waislam
 
Mungu mwenye nguvu. Sio yule mungu wao wanamwita allah ni mpuuzi hawezi hata kuleta mvua
Inasikitisha pale ambapo wengine wamefundishwa na kuaminishwa kuwa Waisrael wamelaniwa na wanapaswa kuuawa na kufutwa katika USO wa Dunia. Hawataweza kushindana na Mungu wa Israel abadani!
 
Huu ndio uzao wenyewe kwa taarifa yako na wamesambaa hadi yale mataifa 12 na wengi bado wako Ulaya huko na Marekani na wao ndio chimbuko la uvumbuzi wa karibu kila kitu unachokitumia hapa duniani.

Leviticus 26:33; Deuteronomy 4:23–27; 28:25, 37, 64; 1 Nephi 10:12–13; 21:1; 22:3–4.
Endelea kuota.
 
Mungu mwenye nguvu. Sio yule mungu wao wanamwita allah ni mpuuzi hawezi hata kuleta mvua
Wewe unatukana allah, mungu wa wengine halafu hapohapo unataka mungu wako wa Israel apewe heshima....

Unathibitisha vipi mungu wako wa Israel analeta mvua?

Unathibitisha vipi mungu Allah hawezi kuleta mvua?

Ukishatukana mungu wa wengine na wewe mungu wako unamuweka kwenye nafasi ya kutukanwa pia.

Kwa hiyo kama Allah ni mpuuzi na mungu wa Israel ni mpuuzi vilevile.
 
Yeah. Mungu anayo majina mengi sana kutegemeana na Imani za watu, makabila n.k. n.k. Haipendezi kumtukana wala kuwakashifu wale wanaoamini uwepo wake na kwa kutumia jina fulani la kilugha chao. Ni vyema tulumbane sisi binadamu kwa binadamu na kumwacha Yeye kama alivyo na Uungu wake. i.e. Mwache Mungu aitwe Mungu; na Usimdhihaki kwa sababu hujui siku wala saa atakayoamua kukuadabisha au kukunyenyekesha/kukushusha kutokana na kauli zako.
Ni hayo tu.
 
Mimi siamini uwepo wa huyo Mungu.

Huyo Mungu angekuwepo angesha ni prove wrong kwamba yupo, Na kama ana uwezo kweli angejidhihirisha uwezo wake yeye mwenyewe.

Mungu hayupo, ndio maana wewe una hangaika kumtetea na kumwelezea kwa vitisho na hofu ulivyo pumbazwa na imani yako.

Huyo Mungu hawezi kujitetea mwenyewe kwa vile hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Mnatetea fictional character asiyekuwepo.
 
Hivi, ukiwa Myahudi Dunia kinakupa Ruzuku hata uchukie ukisika Mtu flan na flani anadai kuwa yeye ni Myahudi?. ama nini kinafanya uyahudi muupe u-special fulani hivi hata mseme huyu sio myahudi anajiiingiza tu kwenye uyahudi?.
Kwenye Uovu wao wa kumiliki makampuni ya Porno, Kamali, kuendesha Dark websites etc mnawawataja kwa Uyahudi wao ila ikija kwenye Ardhi yao Jerusalem na viunga vyake mnasema ni wayahudi fake.
Utasikia" Rothchild family ya kiyahudi yenye utajili mkubwa ndiyo inadhili mauaji kadha wa kadha... Ila hiyo hiyo familia ikisema kwao ni mashariki ya kati mnabadili story,mansema ni wayahudi fake.
Confused people everywhere.
Hizi bhangi huwa unavutia wapi! Hawa wayahudi feki wa kizungu sio uzao pure wa Abraham,isaka na yakobo pia teknolojia zote kubwa duniani zinatoka area 51 katika Jimbo la Nevada nchini marekani.

Hapo hakuna myahudi feki wa kizungu Wala binadamu yeyote anayehusika na uvumbuzi wa teknolojia hizo,hivyo jifunze kusoma nasio kukalilishwa uongo ambao unadumaza akili Yako.
 
Katikati ya miungu yote hakuna kama Mungu wa Israeli. Atakaye mbariki atabarikiwa, na atakaye mlaani atalaniwa. Kwa kuitambua Siri hii Nchi ya marekani haitakuja kushuka kiuchumi,teknolojia na nguvu ya kijeshi.
Wewe umeshabarikiwa kwa kiwango gani kwa kuwa braiwashed na dini yako hadi Wayahudi unawaona wadogo zake na Yesu.
 
Back
Top Bottom