Huyu ndiye Mungu wa Israel!

Huyu ndiye Mungu wa Israel!

Mungu muweza wa yote, mwenye ujuzi wa yote na upendo wote angekuwepo, mabaya yasingeweza kuwepo.

Kuwezekana kuwepo kwa mabaya, pamoja na hiyo dhana ya kukataa kumheshimu Mungu, ni ushahidi kwamba huyo Mungu hayupo.

Hivi unaelewa kwamba tuna sheria za kutungwa na watu tu zinakataza kumhukumu mtoto kwa kosa la baba?

Sasa, inakuwaje sheria za kutungwa na watu ziwe na rehema kubwa kuliko sheria za Mungu?

Yani sheria za kutungwa na watu zitawezaje kuzipita haki sheria za Mungu?

Huoni hapo huyo Mungu ni kikaragosi katungwa na watu tu, tena katungwa enzi za ujinga?
Nimekufuatilia muda mrefu nimeona wewe ni miongoni mwa wale wapambavu ambao wanasema hakuna Mungu

Mpambuvu hawezi kuelimika hata akijua ukweli hata wewe NDANI yako nafsi yako tu inakushuhudia kwamba Kuna kiumbe kingine chenye nguvu kilichokuumba lakini unakaza kwa sababu hauko tayari kuijua kweli

Vilevile napata mashaka level yako elimu na uelewa wako wa kawaida wa mambo ya kawaida tu kabla hujazungumzia hoja nzito za mambo ya kiroho zilizokuzidi uwezo wako

Watu wenye elimu ,na hekima uwezo mkubwa wanasayansi na watu wenye uwezo mzuri wa akili walikubali kwamba Kuna Mungu ambaye ana nguvu ya asili ambao chanzo Cha Kila kiumbe

Hata shetani anajua uwepo wa Mungu aliye hai

Sasa wewe na elimu yako ya kuunga unga unabisha bila hoja uwepo wa Mungu na matendo yake ya ajabu na kazi zake

Ila Mungu ni wa ajabu amekupa uhuru ufanye maamuzi yako ili MWISHO Kama usipotubu ulipwe sawa sawa na matendo yako
 
Ukichofanya hapa ni logical fallacy, inaitwa ad hominem attack.

Ad hominem attack inakuwa hivi.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Kiranga: Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, kwa sababu, Mungu huyo angekuwepo, kwa uwezo wake huo, ujuzi wake huo na upendo wake huo, asingeumba ulimwengu unaoruhusu mabaya kuwepo. Mabaya kuweza kuwepo ni uthibitisho kwamba Mungu hayupo. Hii ni hoja ya kimantiki. Ukitaka kuibishia, ipangue hoja hii kimantiki.

Gift: Wewe Kiranga ni mpumbavu, huna akili, huwezi kumjua Mungu kwa sababu ni mpumbavu. Wewe ni mjinga, mpumbavu.Mungu kakupa akili ila wewe ni mpumbavu. Huna akili. Mungu kakupa uhuru ila wewe ni mpumbavu.

Hapo huja address point ya kimantiki niliyoitoa mimi Kiranga, umeishia kunitukana tu.

Hii fallacy ya ad hominem attack, kumshambulia mtu badala ya kupangua hoja zake, mara nyingi hutolewa na watu wasiojielewa, wasiiweza kufuatikia na kuoangua hoja za kimantiki, wanaoongizwa na emotions badala ya logic, wasio na uwezo wa kusoma jwa ufahamu.

Wewe ni mmoja wa hao watu.

Pangua hoja, usiishie kumshambulia mtoa hoja tu.
 
Hata hitler alivyowaua waisrael pia alidhani yupo pamoja na mungu, mavita na tamaa zenu za kidunia msimhusishe mungu endeleeni na ushetani wenu ila kumbukeni kilaa nafsi itaonjaa umauti na huko ndio haki itatolewa
Hamas waliyataka wenyewe Kwa kuendekeza ugaidi bila kuangalia madhara dhidi ya wapalestina wasiokua na hatia
 
Hoja ni nini na dai ni nini, na nini kinazuia dai kuwa hoja?
Naniii, Bwana Silverstone Mkapa.
Huwezi kula Keki yako na ukaendelea kuwa nayo ila wewe unalazimisha kinyume chake.
Ukishasema Mungu hayupo ilo ni Dai.
Hoja za kuwa kwanini Mungu kafanya hivi na vile achana nazo maana hazikuhusu, hizo hoja acha ziulizwe na waamini.
Unatuchanganya unavyokuwa mbili na moja kwa mmoja.
 
Hamas waliyataka wenyewe Kwa kuendekeza ugaidi bila kuangalia madhara dhidi ya wapalestina wasiokua na hatia
Hapana kwa sababu kabla ya hiyo oct 7 , paleatines walikuwa wakiuliwa na kufungwa na kunyanyaswa bila ya sababu na dunia yote inajua, hilo la oct 7 ni kutaka kuhalalisha tu mauaji thats genocide hata papa na wazungu wote wameliona hilo , sema ndio hivyo duniani hapa hakuna haki mwenye nguvu na pesa ndio anayelindwa ,kama kina gadafi na saddam walivyouliwa bila ya sababu huku dunia ikiangalia
 
Naniii, Bwana Silverstone Mkapa.
Huwezi kula Keki yako na ukaendelea kuwa nayo ila wewe unalazimisha kinyume chake.
Ukishasema Mungu hayupo ilo ni Dai.
Hoja za kuwa kwanini Mungu kafanya hivi na vile achana nazo maana hazikuhusu, hizo hoja acha ziulizwe na waamini.
Unatuchanganya unavyokuwa mbili na moja kwa mmoja.
Silverstone Mkapa ni nani na kaingiaje hapa?

Nikisema Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, kwa sababu angekuwepo asingeumba ulimwengu wenye kuweza kuwa na mabaya, na ulimwengu tulionao una mabaya, na mabaya hayo yanathibitisha Mungu huyo hayupo, huoni kwamba hiyo ni hoja ikiyojengwa katika propositions za kimantiki?

Huoni kuwa hii si tu ni hoja, bali pia ni proof that God does not exist, huoni kuwa hii ni proof by contradiction?
 
Ukichofanya hapa ni logical fallacy, inaitwa ad hominem attack.

Ad hominem attack inakuwa hivi.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Kiranga: Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, kwa sababu, Mungu huyo angekuwepo, kwa uwezo wake huo, ujuzi wake huo na upendo wake huo, asingeumba ulimwengu unaoruhusu mabaya kuwepo. Mabaya kuweza kuwepo ni uthibitisho kwamba Mungu hayupo. Hii ni hoja ya kimantiki. Ukitaka kuibishia, ipangue hoja hii kimantiki.

Gift: Wewe Kiranga ni mpumbavu, huna akili, huwezi kumjua Mungu kwa sababu ni mpumbavu. Wewe ni mjinga, mpumbavu.Mungu kakupa akili ila wewe ni mpumbavu. Huna akili. Mungu kakupa uhuru ila wewe ni mpumbavu.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Hapo huja address point ya kimantiki niliyoitoa mimi Kiranga, umeishia kunitukana tu.

Hii fallacy ya ad hominem attack, kumshambulia mtu badala ya kupangua hoja zake, mara nyingi hutolewa na watu wasiojielewa, wasiiweza kufuatikia na kuoangua hoja za kimantiki, wanaoongizwa na emotions badala ya logic, wasio na uwezo wa kusoma jwa ufahamu.

Wewe ni mmoja wa hao watu.

Pangua hoja, usiishie kumshambulia mtoa hoja tu.
Kumbe tayari unafahamu majibu Ila unatafuta watu wa kubishana nao humu
Na Unaelekeza na namna Unataka ujibiwe ,
Sasa huo ndo upambavu wenyewe nao usema
Kwamba mpumbavu huwezi kumuelimisha maana hata ukifahamu ukweli atapinga maana ndo lengo lake
Kama wewe ni mjinga nikakuita mjinga sijakutuna ndo ukweli wenyewe na nikikuita mpambavu vile vile , maandiko yenyewe yametaja wapambavu karibu au zaidi ya mara 100,

Nimekuuliza level ya elimu nijue uwezo wako wa kuelewa mambo
Hata Kama huna dini yoyote lakini Kama umesoma elimu ya darasani utatambua uwepo wa Mungu kupitia somo la sayansi viumbe biology, phsics ,Geog nk
Kama umefika Adv level kwenye Geog ziko theory nyingi zinaoelezea chanzo unaweza google pia uzisome na uone hitimisho lao walisemaje

Vile vile nimekuambia wanasayansi wasomi , wenye hekima wa kale na wa Sasa waliotumia muda wao mwingi kufanya tafiti yingi waligundua uwepo wa Mungu Kama nguvu ya asili ilijuu ya uwezo wa wanadamu

Sasa unaacha kujibu hoja unakimbilia kusema nimekutukana na kunipangia jinsi ya kukujibu eti,
Sasa Kama wewe ni mpambavu nikuite una hekima kubishana na uhalisia ambao hata nafsi na roho yako inakushuhudia Kila siku

Labda nikuulizie swali unajua ulikotoka ???
 
Again. Ad hominem attack. Logical fallacy.

Unashindwa kuipangua hoja, unamshambulia mtoa hoja.

Hii ni kawaida ya mtu asiye na hoja.

Nimekwambia Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Nimekupa proof by contradiction, kwa problem of evil. Epicurean paradox.

Huelewi logic ni nini, huelewi problem of evil ni nini, huelewi proof by contradiction ni nini. Huelewi Epicurean paradox ni nini. Haya ni mambo yaliyokupita kimo. Hutumii reason, unatumia tantrums.

Unakuja na logical fallacy ya ad hominem attack tu.
 
Silverstone Mkapa ni nani na kaingiaje hapa?

Nikisema Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, kwa sababu angekuwepo asingeumba ulimwengu wenye kuweza kuwa na mabaya, na ulimwengu tulionao una mabaya, na mabaya hayo yanathibitisha Mungu huyo hayupo, huoni kwamba hiyo ni hoja ikiyojengwa katika propositions za kimantiki?

Huoni kuwa hii si tu ni hoja, bali pia ni proof that God does not exist, huoni kuwa hii ni proof by contradiction?

Hopefully umenielewe ninachokosoa.
Haya mengine ngoja nimuite Mtangoo aje akupe Elimu tena. 😂
 
Hivi, ukiwa Myahudi Dunia kinakupa Ruzuku hata uchukie ukisika Mtu flan na flani anadai kuwa yeye ni Myahudi?. ama nini kinafanya uyahudi muupe u-special fulani hivi hata mseme huyu sio myahudi anajiiingiza tu kwenye uyahudi?.
Kwenye Uovu wao wa kumiliki makampuni ya Porno, Kamali, kuendesha Dark websites etc mnawawataja kwa Uyahudi wao ila ikija kwenye Ardhi yao Jerusalem na viunga vyake mnasema ni wayahudi fake.
Utasikia" Rothchild family ya kiyahudi yenye utajili mkubwa ndiyo inadhili mauaji kadha wa kadha... Ila hiyo hiyo familia ikisema kwao ni mashariki ya kati mnabadili story,mansema ni wayahudi fake.
Confused people everywhere.
Mimi mwenyewe huwa nawashangaa sana hao watu. Wanasema wayahudi walioko Israel ni wazungu fake waliovamia hiyo ardhi! Swali sasa linakuja ni mzungu gani mwenye akili timamu ataacha asali na maziwa kwenye nchi zao za ulaya ahamie Israel nchi ambayo karibia nusu ya ardhi ni jangwa na ukame. Aje aache lugha yake ya asili ajifunze lugha ya kiebrania ambayo ni ngumu hata uandishi wake. Aache ukiristo wa kwao huko ulaya aanze kubudu Judaism ambayo waisraeli hao kwa wingi wao wanaubudu judaism
 
Wangekuwa wazungu wa kawaida miaka hiyo wangekubali kupelekwa Uganda.
 
Silverstone Mkapa ni nani na kaingiaje hapa?

Nikisema Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, kwa sababu angekuwepo asingeumba ulimwengu wenye kuweza kuwa na mabaya, na ulimwengu tulionao una mabaya, na mabaya hayo yanathibitisha Mungu huyo hayupo, huoni kwamba hiyo ni hoja ikiyojengwa katika propositions za kimantiki?

Huoni kuwa hii si tu ni hoja, bali pia ni proof that God does not exist, huoni kuwa hii ni proof by contradiction?

Ukisema kuwa" Nikisema" unakuwa hujasema, unakuwa ume-assume kuwa Umesema wakati hujasema.
Inabidi Umesema, na sio kuwa-assume kuwa Umesema na wakati hujasema.
Maeleze yako ya hawali hayakujegwa katika msingi wa assumption ila hapa unataka unijibu kwa kua-assume.
Huku assume kuwa Mungu hayupo, ulisemea Mungu hayupo.
Kwako Mungu ana pande mbili.
Kuna wakati kwako Mungu hayupo na kuna wakati anakuwepo hata unaanza kuhojji kwanini aliumba dunia yenye walemavu, kwanini aliumba dunia yenye watu wenye matitizo akili kama sisi.
Kwa muktadha huo unakuwa unajipinga kabla hujapingwa.
Chagua upande mmoja.. Wa YUPO , ila kwanini kaumba dunia yenye matatizo kibao, hopefully kuna wajuvi humu watakujibu.
Ama upande wa HAYUPO , nako pia wenye mapafu yao watakujibu.
You can't eat your cake and have it.
 
Sisi tutasimama na Mungu wa Israel, nyinyi tafuteni Mungu mwingine. Mungu wa Israel ndiyo Mungu wa kweli. Tutasimama na Israel daima.
 
Mungu wa israeli alishindwa vipi kuzuia shambulio la October 7 kwa watu wake?
Kwanini atumie watu na asionyeshe ukuu wake?

Mungu mwenye nguvu zote za israeli mpaka sasa kashindwa kufahamu ni wapi watu wake waliotekwa walipo,

Ili ukubaliane na dini hizi si ukristo, uyahudi au uislamu inabidi akili isiwe sawa.
Ila Mungu wa Hamas ndiyo anawatetea wapalestina? Au ndiye aliwatu a wakaue watu October 7
 
Ukisema kuwa" Nikisema" unakuwa hujasema, unakuwa ume-assume kuwa Umesema wakati hujasema.
Inabidi Umesema, na sio kuwa-assume kuwa Umesema na wakati hujasema.
Maeleze yako ya hawali hayakujegwa katika msingi wa assumption ila hapa unataka unijibu kwa kua-assume.
Huku assume kuwa Mungu hayupo, ulisemea Mungu hayupo.
Kwako Mungu ana pande mbili.
Kuna wakati kwako Mungu hayupo na kuna wakati anakuwepo hata unaanza kuhojji kwanini aliumba dunia yenye walemavu, kwanini aliumba dunia yenye watu wenye matitizo akili kama sisi.
Kwa muktadha huo unakuwa unajipinga kabla hujapingwa.
Chagua upande mmoja.. Wa YUPO , ila kwanini kaumba dunia yenye matatizo kibao, hopefully kuna wajuvi humu watakujibu.
Ama upande wa HAYUPO , nako pia wenye mapafu yao watakujibu.
You can't eat your cake and have it.
Acha longolongo nyingi.

Silverstone Mkapa ni nani?
 
Kijana Pekee wa Rais Samuel Azuka, Benjamin Ochieng, Sio Colonel Emmanuel Okeze.
He was Good leader that why his Subjects mourning for his Death.
Nakupeleka ignore list, unaharibu viwango vya mazungumzo hapa. Inawezekana una matatizo ya akili.

Umepoteza privileges za kuwasiliana nami moja kwa moja.

Kuanzia hapa sitaona unachoandika.
 
Back
Top Bottom