Zabuni ya Mradi wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi jijini Dar ulipitia kwenye misukosuko ya urasimu wa hali ya juu baada ya wanachama na makada maarufu wa ccm kuteka mchakato mzima,
Mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm na Katibu mkuu wa ccm ndugu Abdulahman Kinana ndie aliyeileta nchini Tanzania Kampuni ya Strabag ya Ukandarasi wa Ujenzi iliyoanzishwa na Muastria katika mji wa Villach na kuweka makao yake makuu mjini Vienna Uswisi ambapo kampuni hii ndiyo ilishinda zabuni hiyo
Teh teh teh, hawa CHADEMA vilaza kila kona.Vienna iko Austria na siyo Uswisi
Mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm na Katibu mkuu wa ccm ndugu Abdulahman Kinana ndie aliyeileta nchini Tanzania Kampuni ya Strabag ya Ukandarasi wa Ujenzi iliyoanzishwa na Muastria katika mji wa Villach na kuweka makao yake makuu mjini Vienna Uswisi ambapo kampuni hii ndiyo ilishinda zabuni hiyo
Aaaaaah,,,,,uuuuuuuuuuuufffffffff
sio vizuri kukimbilia kutukana watu maana mleta uzi hakuna alipokutaja wewe ndio umjibu na kasema wazi kuwa mods wakimruhusu ataweka ushahihi, kuwa tu na subira maana issues kubwa kama hizi ni vizuri zikianza na 'utangulizi' kama huu.Hopeless!Thibitisha hoja yako sio kulia lia kama mtoto ambae hajanywa uji
.
Rubbish
Mkuu, atapata wapi hizo nyaraka? zingekuwa zipo, naamini gazeti la Mawio lingeziweka ili kunusuru njaa ya kubenea
Hajafukuzwa, habari hii tu inatosha kumwamini kwasababu ya asili ya ccm ya leo,
Hakuana udaku, la tungesikia wanapelekwa mahakamani.Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
UDAKU umezidi kiasi kwamba geographical facts nazo mnataka kuzibadilisha!!!
Hajafukuzwa, habari hii tu inatosha kumwamini kwasababu ya asili ya ccm ya leo,
hopeless!thibitisha hoja yako sio kulia lia kama mtoto ambae hajanywa uji
.
Rubbish
Hakuana udaku, la tungesikia wanapelekwa mahakamani.
Hopeless!Thibitisha hoja yako sio kulia lia kama mtoto ambae hajanywa uji
.
Rubbish
weka hoja,,,achana na maneno ya kwenye kanga
huu mnyukano ni hatari. hebu ngoja nikanywe maji kwanza nipoze injini.