Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

Hvi unajua ni watanzania wangapi wanafaidika na utajiri wa Mengi theni unijulishe wanaofaidika na ufisadi wa Muhongo kwa hela alizozipata Escrow?

Acha upotoshaji ww, sema Muhongo amepata mgao wa Escrow kupitia benki gani na sh.ngapi?
 
Samahan ungejickiaaje umejieza kwa niaba ya mwizi mda woooote huo halafu hakuna aliyekuelewa kama ungekuwa unahubiri watu wangekuwa wanasoma gazeti hivi hakuna kujio hapo mlangoni kabla post haijaingia humu tumia akili zako ila ww ndio unataka ugomvi wa taifa umefeli pole
 
Hvi unajua ni watanzania wangapi wanafaidika na utajiri wa Mengi theni unijulishe wanaofaidika na ufisadi wa Muhongo kwa hela alizozipata Escrow?

Sema ni wangapi wanafaidika na wizi wa Mengi si Utajiri kwani Mengi si Mtu Saafi kama watu walivyokariri, wafanyakazi wake Anawaibia kwa kuwalipa mishahara mibovu,Mengi si mlipaji kodi, NBC bank hawajamsahau milele, Rostam kampa Mabilioni baada ya kuuza hisa zake za voda kwa dola million 300 akamsaidia kutimua Nchini pasipo kulipa kodi,Mengi kama lilivyo jina lake ana Madhambi Mengi sana.
 
Yani mengi kutetea wananchi wa nchi hii mafisadi hawataki kabisa kusikia.mengi watanzania tupo na wewe wala usihofu.
 
Hivi waliolamba hela za Esrow hawajajinufaisha na familia zao tu?

Alafu hivi ile ripoti ya CAG iliandaliwa na Mengi?

Hivi Mengi ndio alimwambie Muhongo asifanye due diligence?

Ni mengi ndie aliemshauri Muhongo aseme zile pesa hazikuwa mali ya umma?

Hivi ni Mengi ndie aliemshauri Muhongo aseme kuwa ile hukumu ya mahakama ilihusu pia mgawanyo wa hela za Escrow?

Hivi ni Mengi ndie aliemuandalia Muhongo ule utetezi wake wa uongo aliousoma ndani ya bunge na kuwachefua wabunge?

Hivi ni Mengi ndie aliemtia upofu waziri Muhongo asione wala kushituka ukakasi uliokuwa unaendelea katika wizara yake kuhusu account ya Escrow?

Je,ni kwanini Maswi kasimamishwa kazi?

Kama Maswi anawajibika,inakuwaje waziri wake asiwajibike?

Kama Lowassa aliwajibika kwa makosa ya walio chini(siamini sana katika hili kwani nae mwenyewe si msafi) inakuwaje Muhongo nae asiwajibike kwa makosa ya walio chini yake?

Hivi kilichokuwa kinaendelea bungeni kuhusu Escrow kiliKuwa kinarushwa na ITV au TBC1?

Inawezekana kweli Mengi nae ana matatizo yake lakini katika hili, Mengi ame-take advantage tu ya makosa ya mbaya wake na kuvitumia vyombo vyake vya habari kuujulisha umma kuhusu madudu ya Muhongo.

Je,hilo ndio kosa la Mengi?

Je,Kashifa hii inaripotiwa na IPP media tu?

Kwa hali hii, Muhongo kachafuliwa na Mengi au kajichafua mwenyewe?
Hivi ni mengi ndiyo aliwaambia stanbic watoe miamala kwa marumbesa?
Hivi ni mengi ndiye aliyemfundisha muhongo dharau na kejeli?
Hivi ni mengi ndiye aliyemfundisha muhongo uongo?
Muhongo aache utetezi wa kipuuzi, awajibike kwa madudu yake.
 
Mengi uwa ananifurahisha sana anavyowakusanya vilema anawapa pombe na pilao huku waandishi wa habari wanachukuwa picha.

Jamaa huwa anawasanifu sana walemavu, anawakatisha viuno kwenye disco huku wako njwiii, dhambi sana.
 
umesahau kuongeza..."akaanzisha ugomvi na mtoa mada.. akaufanya ugomvi wa taifa zima"
 
Mafisadi hatari zaid tanzania toka 1994 mpaka leo ni jmk,rostam aziz,mkapa,e.rowassa,luhanjo na kalamagi.
 
Nashukuru kwa kututhibishia kuwa system ime corrupt kama Mengi ana mtandao selikarini maana yake selikari ni wala rushwa haifai ndio maana tunai delete CCM kwani ndio source ya selikari mbovu.

Mengi kama lilivyo jina lake ana Madhambi Mengi na mbinu nyingi za kuipelekesha Serikali atakavyo japo sasa kadogo watanzania wameamka na kuamia kumchana live.
 
SERGIO,

Ukija na hoja kuwa UKAWA inalenga kuhakikisha Tanzania haipati Katiba bora huwezi kueleweka, at least kwenye jukwaa hili la watu werevu. Wengi hapa tunafahamu ni CCM, Chenge and company walio/wanaokwamisha upatikanaji Wa Katiba Bora kama ilivyopendekezwa na Tume ya Warioba. Kipengele (m) & (n) kwenye post yako kinanifanya niamini kuwa wewe ni mtu Wa kutunga mambo na ninawajibika kukudharau.

Kweli mkuu hata mimi nakipuuza kipengele (m) pamoja na aliyekiandika. Lakini kwa kipengele (n) yuko sahihi mno.
 
Mengi uwa ananifurahisha sana anavyowakusanya vilema anawapa pombe na pilao huku waandishi wa habari wanachukuwa picha.

naona una utani na ccm maana haya ndioamambo yanayoFanywa na ccm
 
Inakwaje Mengi ambaye ni mfanyabiashara tu aitingishe wizara au serikali?hiyo wizara ya nishati Mhungo anatikisikaje kama yupo salama?hana mistake halafu asumbuliwe na mengi kiasi hicho?bila shaka Mengi amembinya sehemu
Wapi nimetaja Wizara ya Nishati? Awali nikadhani labda umekosea lakini ulipokuja kumtaja Muhongo nikagundua kwamba umemaanisha hususani pale unapomalizia kwamba"bila shaka Mengi amembinya (Muhongo) sehemu!" Is it stereotyping?
 
Mwiba upi ? Kumbuka Mengi alimpa Sendeka na wenzake Mabilioni wamung'oe Mhongo kule kule Dodoma lakini wakashindwa, sasa Mengi kaona amepigwa pesa Mhongo bado yupo na Vitalu vya Gesi hatapata nafasi ya kujilundikia kaamua kujitosa Live huku akihaha kubuni mbinu za kumng'oa Mhongo, Wanjanja wa Mjini wamegundua pa kwenda kuchukua Pesa, yaani Ukienda kwa Mengi na Mbinu za kumung'oa Mhongo lazima uvute pesa, Tatizo kwa sasa lipo hapa, je? Huyo Mengi anayewanyooshea wengine vidole yeye mwenyewe ni msaafi ?

Jamani kumbe evidence mnazo pelekeni mahakamani hii ni rushwa au Nyinyi kwenu rushwa si kosa?
 
Ndio maana Taifa letu haliendelei, mtu ukikomalia maslahi yako unaambiwa kwamba wewe ni mgomvi, ifike mahala watu tubadilike na kufanya kile unachoamini hata kama ni mmoja katika wengi mpaka pale utakapopata maelezo ya kutosha. Kiukweli imekuwa kitu cha kawaida kwetu kwamba mtu akiwa against na watu either walio wengi au mmoja anapewa majina ya MBISHI KWELI HUYU JAMAA kisa wengi wamekubaliana na hoja

Unachosema ni sahihi kabisa, Watanzania walio wengi bado hawajitambui. Mzalendo mmoja anaposimama kidete kutetea maslai ya wanyonge bado kuna mijitu mipuuzi itambeza refer mzee mzee Warioba. Yaani inakera kweli kweli
 
Unachosema ni sahihi kabisa, Watanzania walio wengi bado hawajitambui. Mzalendo mmoja anaposimama kidete kutetea maslai ya wanyonge bado kuna mijitu mipuuzi itambeza refer mzee mzee Warioba. Yaani inakera kweli kweli

Yaani acha tu
 
Ka Mengi,pia kanatajwatajwa kuhusika na uchomwaji moto wa benki kuu miaka ya nyuma kuharibu nyaraka za siri zilizomuhusisha na ufisadi.

Tuwekee ripoti hapa inayoonyesha uhusika wa Mengi ktk kuchoma bank sio unapost ujinga ulionao kichwani.
 
Back
Top Bottom