mjepo
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 4,913
- 919
Unafiki wa mengi unaweza kujaa wilaya nzima ya hai mzee ni mnafiki na mwizi sijawahi ona kwenye dunia hii adhabu yake ni kunyongwa kwakweli hakuna msamaha kabisa zee limekaa kuiba na kusingizia watu wengine kakomaa mpaka mishipa ya uso kwa wizi na unafiki.Mengi ni Mnafki sana akipata kitu huwa kiimya na Laiti angepata Vitalu vya Gesi leo hii watanzania wasingekuwa wanamjua Muhongo, si umeona Rostam kauza hisa zako voda kwa dola million 300 akamugawia Mabilioni Mengi ili kumalizana Ugonvi wao na Mengi akamsaidia kuondoka na Hayo Mabilioni pasipo kulipa kodi kutokana na Uzoefu wake wa Ukwepaji kodi, tatizo Mengi kasahau kuwa watanzania wa sasa si wale wa zamani ambao waliokariri kuwa Mengi ni MUNGU hawezi kuwa na doa wala Dhambi.