kaka km
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 1,336
- 694
Kaka m...tumia ubongo kufikiri..usitumie kalio.nenda TAKUKURU na kwa CAG kaulize.Halafu ujibu hivyo ni vyombo ya Nani?
Sawa,ungenijibu bila kashfa isingewezekana?kua mstaarabu.
Kwa kua umegusia report za cag na pccb hivyo umeenda moja kwa moja kwenye escrow,nikwambie tu report ya cag haijasema kama hela za escrow ni za umma,kama imesema nitajie ukurasa wa ngapi?cag alisema anadhani,tena alipoitwa kwenye kamati[kama report yake ingekua imesema ni za umma hakukua na haja ya kumuita atoe maoni yake]hayo ni maoni yake yeye kama yeye na sio kama ofisi ndio maana hayakujumuishwa kwenye report.
Maoni ya mtu yanabaki kua maoni yake. Report ya pccb sijaiona nadhani haijawekwa public,kama umeipata iweke hapa
je report hizo zimetia muhongo hatiani,ukurasa wa ngapi?zimesema amefanyaje?
Tunarudi,hata kama report zimesema,rais kasema sio za umma,rais ndie msemaji wa mwisho,akishasema unapenda hupendi inakua hivyo,ndio mamlaka aliyonayo kikatiba
Baada ya rais kusema muhongo anaandamwa kwa lipi?