Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

Ajira nchi hii zimetengenezwa na watu wengi sana sio mengi peke yakee kwa taarifa yako karibu robo tatu ya watangazaji wa tv za mengi wamehamia azamtv hivi inaonyesha huyu jamaa anawalipa wafanyakazi wake mishahara mbuzi ndo mana wanahama

R.I.P chacha wangwe . Mzimu wa chacha umecharuka. Mfadhili wa Unyama ule Mengi ameumbuliwa sana na bado Safari hii atajuta juu ya Tabia zake Sugu.
 
Kama sikosei we utakuwa umetumwa na wahindi.
 
Ajira nchi hii zimetengenezwa na watu wengi sana sio mengi peke yakee kwa taarifa yako karibu robo tatu ya watangazaji wa tv za mengi wamehamia azamtv hivi inaonyesha huyu jamaa anawalipa wafanyakazi wake mishahara mbuzi ndo mana wanahama

Mengi alidhani kajificha kwenye Msitu mkubwa na wengine wapo Jangwani , kumbe na yeye yupo kwenye kichaka cha Wazi tu watu wanamwona na Uovu wake woote inafahamika kama si kujulikana, Mengi sasa anajuuuta kumjua Muhongo kwani tokea aanze Fitina zake kwa Mawaziri hajawahi kutana na Upinzani kama aliokutana nao Safari hii licha ya kusaidiwa na Mkono bado anahangaika tena kwa gharama kubwa, kule miaka ya nyuma alikuwa akiwavua Uwaziri kirahisi sana tena pasipo kutumia pesa nyingi kama kipindi hiki. R.I.P chacha wangwe.
 
Regnard Mengi ni jizi kama yalivyo majizi mengine tu hapa nchini. Amevaa ngozi ya kondoo wakati ukweli halisi yeye ni Chui tena mwenye njaa mbaya sana anayekula chochote kilicho mbele yake. Yeye anadhani ataendelea kujificha kwa slogans zake za UZAWA na WANYONGE lakini ipo siku Mungu atamuumbua hadharani. Naitamani sana siku hiyo itokee nikiwa bado hai. Bila shaka, Watanzania waamini kuwa Mzee huyo hana hata chembe ya "moral authority" ya kuwanyoshea vidole wenzie. Hiyo forum anayoiratibu na kuigharamia ya kuwakusanya watu wenye ulemavu kutoka katika kona za nchi hii na kuwalisha ubwabwa na muziki wa kizazi kipya ni mradi kabambe wa kuitafuta huruma ya jamii kila anapobanwa na wapinzani wake wa biashara na deals mbalimbali. Ndugu zangu Watanzania fungueni macho muone yote haya!!

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Africa.

King Cobra.

Za Mwizi ni 40 na Mengi sasa ni siku ya 37 bado 3 tu atanasa kwenye mitego .Mzimu wa Chacha wangwe umemganda kinoma ndio maana Safari hii watu waneamua kumpa Makavu live.
 
Mengi tunamjua mtetezi wawanyonge na huyo muongo wenu na kibaraka wa waekezaji mlamba miguu wa wazungu na wahindi.

Mtetezi wa wanyonge gani na wa wapi? Mengi hamtetei Mtu kwa taarifa yako Mengi hutetea Tumbo lake kwa kuwatumia nyie ambao hamjazinduka.R.I.P chacha Wangwe.
 
Vita dnidi ya Mengi imechukua sura mpya kwasababu akina ESCROW wote wanalipa watu kupambana nae, simply because pesa za ESCOW zimeneemesha hadi wazee wa intelijensia

Tunasahau kitu kimoja tu, information technology imefanya the whole game ya mapambano ya kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kwa tofauti, IT is a game changer

Na hata wale masikini kabisa siku hizi wana simu, wassap, facebook, jamiiforums etc. Endeleeni kumshambulia Mengi huku mnatengeneza more enemies kwa kushindwa ku-FIX where it is broken and kuendelea kubreak others kwa namna yoyote ile ili wote muwe broken... ACHENI UFISADI NA MTAACHA KUCHAFUANA, MUHONGO NI KAMA AMEKUA NAJISI KWA TANZANIA WITH HIS BAD BLOOD

GUYS, ENOUGH IS ENOUGH, TUMECHOKA SASA.... THE POOR WILL USE POOR TECH TO SAY NO!!
 
Watanzania kweli ni machizi..sio kila anaetoka nje ni msomi....wengine walikuwa ma house boy ulaya...wanakuja hapa wanasema wataalam wa miamba...hivi mmemsahau Daudi balali?MTU anarudia LA 7mara 4...eti Leo professor??? Na nyie mnaamin??wengine ni ma professor wa kufua na kupika chai ulaya
..watanzania acheni upuuzi. Wa kuamini hovyo..ebo!!!!

Akili ni nywele kila Mtu ana zake awe house boy asiwe aludue shule hata mara 100 hiyo sisi haituhusu kwani Akutukanaye hakuchagulii Tusi, kumbukumbu hata Mengi aliwahi kuishi UK na watu wanaweza kusema alikuwa house boy pia, huyo Mengi na yeye ana PHD anaitwa Dr je? Kasoma wapi na chuo gani? Tatizo kubwa hapa ni Watu kuishi kwa Mazoea kuwa Mengi ni Mtu asiye na Udhaifu wala mapungufu ya kibinadamu na yale anayoyatenda kuonekana anayafanya kwa niaba ya Watanzania wote, kumbe hawajui kuwa Mengi analitetea Tumbo lake binafsi kwa kutumia kivuli cha wananchi. Watu wengi sasa wamegutuka hawataki kuburuzwa wanajua kupima hoja za kila Upande na hili ndilo limepelekea Mengi kupata wakati mgumu kuwashawishi watu kumuunga Mkono kwenye vita yake binafsi na Muhongo.
 
Vita dnidi ya Mengi imechukua sura mpya kwasababu akina ESCROW wote wanalipa watu kupambana nae, simply because pesa za ESCOW zimeneemesha hadi wazee wa intelijensia

Tunasahau kitu kimoja tu, information technology imefanya the whole game ya mapambano ya kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kwa tofauti, IT is a game changer

Na hata wale masikini kabisa siku hizi wana simu, wassap, facebook, jamiiforums etc. Endeleeni kumshambulia Mengi huku mnatengeneza more enemies kwa kushindwa ku-FIX where it is broken and kuendelea kubreak others kwa namna yoyote ile ili wote muwe broken... ACHENI UFISADI NA MTAACHA KUCHAFUANA, MUHONGO NI KAMA AMEKUA NAJISI KWA TANZANIA WITH HIS BAD BLOOD

GUYS, ENOUGH IS ENOUGH, TUMECHOKA SASA.... THE POOR WILL USE POOR TECH TO SAY NO!!

inaelekea wewe haumjui Mengi vizuri, Tambua kuwa Mengi kama angepata Vitalu vya Gesi na kama asingenyang'anywa maeneo Viwanja vya Madini ambavyo alijilimbikizia pasipo kuvuendeleza asingekuwa na Chuki na Muhongo na suala la escrow lisingejulikana, Mjue Mengi ni Mnafki mkubwa akiwa anataka kitu mwenyewe kisha akakikosa hugeuza kuwa ni Janga la Kitaifa kupitia vyombo vyake vya Habari, hakuna mtu analipwa na watu wa escrow bali watu wamegutuka wenyewe hawataki kutumiwa kama kwa manufaa binafsi.
 
Mengi ni jizi na fisadi namba moja hapa nchini alivumiliwa sana lakini sasa tumechoka na utapeli na ufisadi wake.
 
inaelekea wewe haumjui Mengi vizuri, Tambua kuwa Mengi kama angepata Vitalu vya Gesi na kama asingenyang'anywa maeneo Viwanja vya Madini ambavyo alijilimbikizia pasipo kuvuendeleza asingekuwa na Chuki na Muhongo na suala la escrow lisingejulikana, Mjue Mengi ni Mnafki mkubwa akiwa anataka kitu mwenyewe kisha akakikosa hugeuza kuwa ni Janga la Kitaifa kupitia vyombo vyake vya Habari, hakuna mtu analipwa na watu wa escrow bali watu wamegutuka wenyewe hawataki kutumiwa kama kwa manufaa binafsi.

Mengi ni mnafiki ndio
mfumo dhaifu uliopo umezaa wanafiki wamelfu kwa maelfu
Tatizo hapa sio Mengi, tatizo ni mfumo uliopo hasa kuweka wanasiasa kwenye serious matter

Like i said, enough is enough, maskini wanajua, watawachukia wanasiasa, na watawachukia mafisadi

chuki hiyo mbaya, tutatafutana mazee
 
Vita dnidi ya Mengi imechukua sura mpya kwasababu akina ESCROW wote wanalipa watu kupambana nae, simply because pesa za ESCOW zimeneemesha hadi wazee wa intelijensia

Tunasahau kitu kimoja tu, information technology imefanya the whole game ya mapambano ya kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kwa tofauti, IT is a game changer

Na hata wale masikini kabisa siku hizi wana simu, wassap, facebook, jamiiforums etc. Endeleeni kumshambulia Mengi huku mnatengeneza more enemies kwa kushindwa ku-FIX where it is broken and kuendelea kubreak others kwa namna yoyote ile ili wote muwe broken... ACHENI UFISADI NA MTAACHA KUCHAFUANA, MUHONGO NI KAMA AMEKUA NAJISI KWA TANZANIA WITH HIS BAD BLOOD

GUYS, ENOUGH IS ENOUGH, TUMECHOKA SASA.... THE POOR WILL USE POOR TECH TO SAY NO!!
Hapana ,hapana,mengi ni mwizi na anasemwa na wazalendo kama sisi ambao tunajua vinsi mengi anavyofanya wizi na utapele ahsante muhongo kwa kulidhibiti jizi hili la kichaga.
 
Kila Jambo huwa lina mwisho wake, huko nyuma kila Waziri aliyegusa masilahi ya Mengi aliishia kupoteza kazi hata wananchi hawakutaka kuhoji kiundani juu ya Fitina na Mengi walikuwa wakiwahukumu Mawaziri kwa maneno ya kulishwa na Mengi pasipo kutafakari kwanza. Mwaka 2015 watu wamezinduka wapo makini wanapenda kujua undani kwa kila jambo hawataki Unafiki na wanataka kila Mtu awe saafi kabla ya kuanza kuwakosoa wengine,hii dhana ya kulazimisha masilahi binafsi kupiganiwa na watanzania wote kwa sasa haina nafasi, Mengi jipange jitathimini soma alama za nyakati Tambua watu wameamka wanataka Mtu asiye na Doa .
 
Hapana ,hapana,mengi ni mwizi na anasemwa na wazalendo kama sisi ambao tunajua vinsi mengi anavyofanya wizi na utapele ahsante muhongo kwa kulidhibiti jizi hili la kichaga.

JIna lako tu linatosha.. achilia mbali your join date etc.

Mengi na chenge wote ni wezi tu, ila mmoja mnamtukuza na mwingine mnamlabua

mmesahau Chenge halipi kodi na anafacilitate injustice, mwingine kawekeza hapahapa... zimwi likujualo
 
Hapana ,hapana,mengi ni mwizi na anasemwa na wazalendo kama sisi ambao tunajua vinsi mengi anavyofanya wizi na utapele ahsante muhongo kwa kulidhibiti jizi hili la kichaga.

Mengi anajuuuuta Kumjua Muhongo kwani amemtoa jasho hakuna mfano, hata kama atafanikiwa lengo lake hatakaa amsahau milele.
 
JIna lako tu linatosha.. achilia mbali your join date etc.

Mengi na chenge wote ni wezi tu, ila mmoja mnamtukuza na mwingine mnamlabua

mmesahau Chenge halipi kodi na anafacilitate injustice, mwingine kawekeza hapahapa... zimwi likujualo

Hajawekeza hapa hapa mbona kanunua nyumba nje hata hv karibuni kanunua nyumba south Africa ya ajili ya mke wake mama wa mapacha.
 
Hapana ,hapana,mengi ni mwizi na anasemwa na wazalendo kama sisi ambao tunajua vinsi mengi anavyofanya wizi na utapele ahsante muhongo kwa kulidhibiti jizi hili la kichaga.

Kila Jambo huwa lina mwisho wake huendi huu ukawa mwisho wa Mengi kwenye vita na Watumishi wa Serikali.
 
Kila Jambo huwa lina mwisho wake, huko nyuma kila Waziri aliyegusa masilahi ya Mengi aliishia kupoteza kazi ha

ta wananchi hawakutaka kuhoji kiundani juu ya Fitina na Mengi walikuwa wakiwahukumu Mawaziri kwa maneno ya kulishwa na Mengi pasipo kutafakari kwanza. Mwaka 2015 watu wamezinduka wapo makini wanapenda kujua undani kwa kila jambo hawataki Unafiki na wanataka kila Mtu awe saafi kabla ya kuanza kuwakosoa wengine,hii dhana ya kulazimisha masilahi binafsi kupiganiwa na watanzania wote kwa sasa haina nafasi, Mengi jipange jitathimini soma alama za nyakati Tambua watu wameamka wanataka Mtu asiye na Doa .

Waliokula fedha zake warudishe watu wameanka wabafiki kama Mengi janja yao haipo
 
Back
Top Bottom