Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

Kaka m nadhani ubongo wako umejaa maji ya chooni(kunradhi)rejea maazimio ya bunge kuwa rais atengue uwazi wa dalali muongo!!unataka kupingana na kauli ya bunge lenye wabunge 300 akiwemo na Waziri mkubwa??kama bunge liliridhia ina maana liliipokea taararifa ya PAC ambayo ilitoka takukuru na CAG.nikupe changamoto..muongo alifanganya kuhusu kijana mzalendo Mwanasheria wa Tanesco aliyetumwa kumchunguza singa !akasema hakutumwa...mbowe akaleta ushahidi...muongo sura ikawa fupiiii kama kisoda

Si wabunge wote walipitisha Kumbuka wale Wabunge wajanja wajanja hawakuwepo bungeni na hata kama walikuwepo walikaa kiimya , hilo Azimio lilipitishwa na Wabunge wa Kafulila ambao walikuwa wamepewa mashiko na Mengi.
 
Funza utakuwa unakanyagwa na funza wenzio kaa kimya.hujui kitu
 
Jua kali sana. Ebanae, tumechoka na vibaka wa CCM. Mnataka kuaminisha watu kwamba 2 ni 5. Tunaliamini Bunge, tunamwamini CAG na TRA, Mengi kafanya nini? Kama Muhongo alivosema hajahusika, na Mengi anahusikaje wakati wanaoandika ni waandishi wa habari? F..K Off.
 
Si wabunge wote walipitisha Kumbuka wale Wabunge wajanja wajanja hawakuwepo bungeni na hata kama walikuwepo walikaa kiimya , hilo Azimio lilipitishwa na Wabunge wa Kafulila ambao walikuwa wamepewa mashiko na Mengi.

wazimu ukikupanda utavua na tayari ulishapandwa na wazimu! ebu fanya mpango wa kuvua..
 
Funza utakuwa unakanyagwa na funza wenzio kaa kimya.hujui kitu

Nipo kichwani mwako na Tumboni kwako nimekupagawisha mpaka unajiona unajua kitu ! Hivi ww unajua nini sasa? Yaani kumwabudu Mengi tayari unajiona ni mjanja?
 
Jua kali sana. Ebanae, tumechoka na vibaka wa CCM. Mnataka kuaminisha watu kwamba 2 ni 5. Tunaliamini Bunge, tunamwamini CAG na TRA, Mengi kafanya nini? Kama Muhongo alivosema hajahusika, na Mengi anahusikaje wakati wanaoandika ni waandishi wa habari? F..K Off.

Ww Upo Nchi gani? hivi haujui kuwa Michezo yote chanzo ni Mengi na Mkono ! na kama angepata Vitalu vya Gesi huku Mkono akiwa bado ni mwanasheria wa Tanesco hili janga la escrow lisingejulikana na hakuna mtu angejua, Mengi ni Mnafki sana akipata Kitu hukaa kimya, Lakini akikosa Kitu hukimbilia kwa wananchi kuomba msaada na pindi akifanikiwa hula peke yake, Mengi anahusika kwa 100% kwani ndiye amefadhili lile Kundi lote lililokuwa linamshambulia Muhongo.
 
Watetezi wa Mengi mnahaha kumtetea Mtukufu wenu, Lakini Utetezi wenu umefeli na haijawahi tokea kama sasa Mengi kuchanwa kwa kiwango hichi, nina imani sasa Mengi lazima atakuwa anaichukia JF kwa jinsi walivyoruhusu watu kufunguka juu ya Vioja vya Mengi ambaye hapo awali alikuwa akionekana kama ni Nabii, wengi wajanja sasa wamepata picha lote na Mengi huko alipo anajuuuta kumjua Muhongo kwani kamletea balaa watu wamefunua Tabia zake zote live.
 
Ustaadhi funza kaa kimya..tunajua umeshaanza kuwashwa kalio..funza wenzio wameanza kukutekenya makalioni..I wish tungekuwa bongo tungekukuna...ikutoshe tu kuwa Mzee mengi ni MTU muadilifu na msafi.hajawahi kutajwa sehemu yeyote kuwa ni dalali.badala yake serikali inampa tunzo kwa kuwa mshindi aliyetukuka katika ulipaji kodi.bwana ako na laaziz wako kipenzi muongo..yeye katajwa na bunge takukuru na CAG kuwa dalali namba moja.funza rudi chooni kale kinyesi...mjala huuwezi.tutampigania Mzee mengi hadi tone la mwisho
 
attachment.php
[/QUOTE]

Kweli anastahili pongezi,kwani kama angekaa chini nakushika kichwa asingefika hapo alipo,ni wazi ukiwa na nia pamoja na bidii utafanikiwa.
 
Watu wakimtetea mhongo wamelipwa. Na wengine je? Mengi kawalipa? Hata mengi sio msafi ki hivyo na yeye ni mtu mzima hovyo. Kila siku ana zari kuanzia za ki siasa kibiashara mpaka kwa mabibi kutishia wanaume wenzake waliowahi kuwa date mabibi zake. Atulie sasa alee wajukuu wake.
 
Hivi mengi source ya utajiri wake nini kama sio ufisadii nyangumi rejea press conference ya rostam Aziz kempisk hotel na majibu ya mengi kwa rostam utacheka mengi alivyomweupee hamna kitu kichwaniii
 
Haka kamengi nikatapeli tuu hamna kitu kamepewa changamoto na rostam badala ya kujibu kanangimbilia watu wanakufa hospital kwa kukosa madawaa
 
mzee mengi anauchungu na anajua anachokifanya hivyo anakutetea wewe ,yeye hana shida yoyote . wewe hapo mlo mmoja ukiugua waenda kwa mengi na serikali yako ipo ,,,,,,,,,utaelewa baadaye ! pole sana .
 
Mengi anatete maslahi yake kwa kutumia upumbavu wako wewe kishanda hawezi kunilishaa mm tapeli ambaye ameifisidi nchi kwa mgongo wa uzawa tutahakikisha tunamzibiti tuu asitake kutuaribia nchi
 
Huyu mengi wako angekuwa mfanyabiashara kweli asingeua viwanda kama tanpik.chemicotex,body care hawezi biashara kashazoea udalali wa rasilimali ya nchi kama viwanja ,maeneo ya madini kwenye gesi kagonga mwambaa
 
Home plus uko kwenye Siku zako (hedhi)na naona pedi imelowa kabisaaa.ndiyo maana unandika matako ya kuku
 
Wakusoma acha mihemko jibu hoja mfanyabiashara gani ambaye anaonyesha jinsi anavyoshindwa kuendesha vitu vidogo ataweza vikubwaa jibu hoja nilichokiandika ni use ll
 
Wakusoma unatakiwa usiwe unarukia rukia mambo fuatilia watu utajua mauvu yaoo hivi ndo bongoland kwa taarifa yako sisi tulishalijua hilo kama huyu baasha wako mengi ana lolote ni tapeli tuu utajiri wake kaupata kimagumashii tuu
 
Back
Top Bottom